Kwa Dhamira yao Ovu ya kutaka Kuivamia Israel ya Afrika (Rwanda) naona Tshisekedi na Ndayishimiye wamechoka Kuishi

NAsubili kaichokoze tena TZ kama kalivyofanya wakatui wa JK. Atarudi kuomba ajira Uganda.
 

Kati ya nchi ya hovyo na yenye rais wa hovyo ni hiyo!!
Raisi mwenyr akili anaweza akawa mkabila??
Raisi mwenye maono serikali nzima jeshi limejaaa kabila moja
Raisi mwenye utu na uzalendo anaweza ua raia wake mamilion na mamilioni
Huyo n raisi wa kabila lake si dhan kama ni rais wa nchi
 
Pole sana kwa Kuvimbiwa Upumbavu.
 
Ndio uongo uliomezeshwa?
ISRAEL Taifa pekee alowahi kulionea ni Syria na Palestina tu.
Lebanon 2006 kapokea kichapo akaacha vifaru watoto wanabembea bint jubeir.
1973 kabondwa na Egypt tena kisawasawa mpaka Waziri wao alijihudhuru kwa aibu.
Na sasa anachezea kichapo hapo Gaza na watoto wadogo hamas wenye wanamgambo 20k ilhali yeye kapeleka majeshi 600k.
 
Kwa hiyo vita ya kisasa IDF mpaka sasa anashindwa kufua dafu kwa hamas.
 
Tumeshindwa na nchi zinazojielewa ila sio Rwanda.
Kama unabisha tuanze kuchambua kuanzia sekta ya afya,usafiri,shule,vyuo,miundombinu na mengineyo.
East Africa ni Kenya pekee inaweza tunishiana misuli na Tanzania kimaendeleo na si vinginevyo.
 
Usijifiche kwenye kivuli cha historia, ukweli ni kwamba Paul Kagame na timu zake wako vizuri na wamejipanga vizuri kwenye tasnia ya medani na intelijensia ktk ukanda huu wa Afrika.
Hii Rwanda mnayoi over rate itaja aibishwa kama Israel mnayoufananisha nayo ilivyokua over rated na ikaja kuaibishwa na hamas.
Kama hiyo Rwanda ina jeshi lenye nguvu na ina intelijensia yenye nguvu mataifa hapa Afrika yangeifuata Rwanda sio Tanzania.
Maana toka zamani hadi sasa mataifa mengi yakiwa na conflict huifuata Tanzania ila sioni Rwanda ikifuatwa.
Hata Rais aliyepinduliwa Madagascar Ravalo Manana alimfuata Rais wa Mozambique rais wa Mozambique alimwambia wazi ni Tanzania pekee ndio inaweza kukutetea dhidi ya mapinduzi ya Andy Rajoelina.
Ila Manana alikataa kwasababu anazozijua yeye.
JWTZ ni moja ya majeshi yaliokuwepo Lebanon ya UN peace keepers.
Nitajie nchi ilokua tata Rwanda ikaenda kuwa peace keeper.
Huna usomi wowote unaongea propaganda tu wewe.
 
Kuna nchi gani afrika mashariki inaizidi tz kwa mtandao wa barabara za lami,huduma za afya,huduma za fedha!?
Akikupa jibu niite nimpe hela.
Anaifananisha Tanzania na Rwanda ambayo 2020 kipindi cha Corona waliwekwa lock down siku nne watu wakaanza kulalama njaa wanakosa hata mlo mmoja.
Na kama Tz tunahamua kupigana Rwanda wala hatuwapigi tunaweka MLRS pale asipenye mtu wafe njaa.
 
Naona unawaza takataka! Unaamini kuwa Isarel ni sifa nzuri au nini? Rwanda ni nchi ya kishenzi tu! Au kupokea wakimbizi wa Ulaya unaona ni sifa ya kupendwa?
Sio tu ya kishenzi bali pia ni nchi ya kimasikini tu.
Rwanda imeendelea Kigali tu kwingine kote vumbi tupu.
Ndio maana hata raia wao wakija TZ hawataki kuondoka maana pia wanalalamika Rwanda hakuna freedom of speech.
Hata hilo jeshi lao lisumbue tu Congo ilokua unstable ila isithubutu ikasumbua Hata Kenya wataona maisha machungu.
Hao wanaopaisha Rwanda ukiwaambia walete facts hawana facts hata moja ni PUMBA tupu.
 
Watutsi ni janga ktk ukanda huu , km hii jamaa ipigwe ban , moderetas walipige ban linatukana sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…