Kwa dharau hizi, nimeahirisha kumuoa

Bora umeghairi mkuu, hujafikia level ya kuoa. Subiri muda upite ukomae kwanza

Hakuna ishu ya kukufanya ughailishe kitu kama ndoa Kwa jibu lake Hilo. Ni either hujatosha kuwa mume na baba wa familia au hukuwa umempenda Manka
Umemaliza kila kitu
 
Mimi kuna mmoja aliniita mlugaluga na kama haitoshi akaniita mshamba..na kama haitoshi akanipa block kwenye simu😁😁........nikajisemea tu hewalaaa na mimi nikaweka block, nikakata mazoea , naona alitaka nimnyenyekee na kumbembeleza...alivyoona sina muda nae akapanic......njlimuambia sentensi moja tu ambayo inamuumiza mpaka leo "nilikupa nafasi ukashindwa kuitumia"
 
Hii punch line naitumia kwa mtu
 
Kwa vyovyote vile alikuwa anakupenda sana lakini wewe ulitaka kumtumia gadem zako.

Sasa umesaka sababu ukakosa na sasa unaona sababu ishapatikana.

Hili nalo mkaliangalie
 
Ni kweli,lakini dedication ni kipimo tosha huyo mtu anakuwazia nn time hiyo....mfano akikutumia song Akinipenda mama inatosha🥴unajua ndo imeisha hiyo au nasema uongo jirani yangu Smart911 ?
Hakika jirani...

Dedication za nyimbo muda mwingine hua zinafikirisha sana...

Mfano sikiliza hii nyimbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…