Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemaliza kila kituBora umeghairi mkuu, hujafikia level ya kuoa. Subiri muda upite ukomae kwanza
Hakuna ishu ya kukufanya ughailishe kitu kama ndoa Kwa jibu lake Hilo. Ni either hujatosha kuwa mume na baba wa familia au hukuwa umempenda Manka
Ni kweli,lakini dedication ni kipimo tosha huyo mtu anakuwazia nn time hiyo....mfano akikutumia song Akinipenda mama inatosha🥴unajua ndo imeisha hiyo au nasema uongo jirani yangu Smart911 ?Wenzio wanataka miamala walipe Vicoba wewe unatuma dedication.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]jamani
Hii punch line naitumia kwa mtuMimi kuna mmoja aliniita mlugaluga na kama haitoshi akaniita mshamba..na kama haitoshi akanipa block kwenye simu[emoji16][emoji16]........nikajisemea tu hewalaaa na mimi nikaweka block, nikakata mazoea , naona alitaka nimnyenyekee na kumbembeleza...alivyoona sina muda nae akapanic......njlimuambia sentensi moja tu ambayo inamuumiza mpaka leo "nilikupa nafasi ukashindwa kuitumia"
Kwa vyovyote vile alikuwa anakupenda sana lakini wewe ulitaka kumtumia gadem zako.Habari wakuu
Me kiukweli nadhani sitaoa maana niko sensitive mno.
Imagine kitendo cha huyu shingo kukejeli dedication yangu ya huu wimbo nlomtumia, nimehairisha mipango yote juu yake maana nimeona ana dharau hata kama anajifanyaga ananipenda sana.
View attachment 2353965
Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
Speaking from experience 😂Kwenye mahusiano,
Ukiwa too serious utateseka Sana[emoji4]
Uzi ufungwe [emoji3][emoji3][emoji3]Wenzio wanataka miamala walipe Vicoba wewe unatuma dedication.
Hakika jirani...Ni kweli,lakini dedication ni kipimo tosha huyo mtu anakuwazia nn time hiyo....mfano akikutumia song Akinipenda mama inatosha🥴unajua ndo imeisha hiyo au nasema uongo jirani yangu Smart911 ?
Kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]hata vile vilugha lugha vya dharau vya kuwasema watu wengine pia usivipuuze. Unakuta mtu anakuheshumu wewe tu kwa kuwa anamatarajio ya kumuoa. Lakini kiukweli hana adabu.
Kabisa mkuu me niko makini sana kwenye kupigia mstari points muhimu nnapoanzisha mahusiano yeyote.Na watu wengi imewakost kwa kupuuzia vitu hatari wakiviita vidogo vidogo
Hapana yuko mbali namie ila tulikua na mipango mikubwa.mkuu ushakula mbususu