Kwa Dkt. Dorothy Gwajima, CCM imelamba Dume. 2025 Rais awe yeye kulingana na usomi alio nao

Kwa Dkt. Dorothy Gwajima, CCM imelamba Dume. 2025 Rais awe yeye kulingana na usomi alio nao

Yaan kwa hyo clip tu tayari anafaa kuwa Rais? Yule Ni manager na Sio leader, Bora ungesema hata Ummy Ana elements nyingi za leadership kuliko huyu.
Huyu mama yupo vizuri....kamuacha mbali sana best wako Ummy
 
Yaan kwa hyo clip tu tayari anafaa kuwa Rais? Yule Ni manager na Sio leader, Bora ungesema hata Ummy Ana elements nyingi za leadership kuliko huyu.
Ummy mwalimu sio vocal kama Dorothy, aina ya uongozi wa Magufuli aliotuanzishia unafaa kurithiwa na Dr Gwajima na mashuhuda wazuri ni wafanyakazi wenziea katika wizara aliohudumu awali
 
Huyu mama yupo vizuri....kamuacha mbali sana best wako Ummy
Uzuri wake uko wapi .mkuu mtu kubweka vile ndo mzuri naona huyo mama ataleta taharuki bure pale wwizarani.Maana huyo mama mpaka umefika hapo umepotea ngazi mbali mbali dmo rmo swali je alikopita ameacha nini cha tujifunze. Au ni yale ya kudeal na matatizo abdala ya chanzo chemyew cha matatizo
 
Nampendekeza kwenu Bi Dorothy

Itakuchukua muda mfupi sana baada ya kumtazama katika utekelezaji wa majukumu yake Bi Dorothy kutambua kipawa alicho nacho cha uongozi, nimemsikiliza katika clip inayosambaa akifanya analysis na wadau katika wizara aliyokuwa akihudumu kama Naibu Katibu Mkuu, kikweli CCM msifanye ajizi anzeni sasa kumuandaa na huyu ndie atakuja kuwa Rais wetu baada JPM.
Acha kujiaibisha GWAJIMA hana shule ya kutisha(MD,MPH) wako wengi sana wenye Elimu hiyo bora hata Masters angefanya MMED au MSc
 
Siku CCM imeweka mgombea wa kike ndo siku watajifunga na bao la mkono.
Katika bunge hili tutapitisha sheria ya kuvilazimisha vyama vyote vya siasa nchini kuweka wanawake kuwa wagombea wa urais na wagombea wenza kwenye uchaguzi mkuu wa 2025. Wanaune hawataruhusiwa kugombea nafasi hizo mwaka 2025 kwa mjibu wa sheria za mwaka huo.
Mweleka itaopigwa CDM hautasaulika mwaka huo! Mweleka wa 2020 utakuwa cha mtoto. Kwani hata majembe yao ya kike wameshayatupa mwaka huu.
 
Nampendekeza kwenu Bi Dorothy

Itakuchukua muda mfupi sana baada ya kumtazama katika utekelezaji wa majukumu yake Bi Dorothy kutambua kipawa alicho nacho cha uongozi, nimemsikiliza katika clip inayosambaa akifanya analysis na wadau katika wizara aliyokuwa akihudumu kama Naibu Katibu Mkuu, kikweli CCM msifanye ajizi anzeni sasa kumuandaa na huyu ndie atakuja kuwa Rais wetu baada JPM.
Nothing new kwa dr.Gwajina, it is the system brother...
 
Nampendekeza kwenu Bi Dorothy

Itakuchukua muda mfupi sana baada ya kumtazama katika utekelezaji wa majukumu yake Bi Dorothy kutambua kipawa alicho nacho cha uongozi, nimemsikiliza katika clip inayosambaa akifanya analysis na wadau katika wizara aliyokuwa akihudumu kama Naibu Katibu Mkuu, kikweli CCM msifanye ajizi anzeni sasa kumuandaa na huyu ndie atakuja kuwa Rais wetu baada JPM.
2025 hakutakuwa na kura za mabegini/ makaratasi zitapigwa kwa kadi unawachezea wazungu wewe wapo hapa wana pilot hiyo project.
Unaweza ukawa msomi mjinga na mpuuzi tu kama huyu aliyepo .amepora watu ushindi akisha anawarudisha kwa nguvu kupitia vitu maalum???? Na wao kama majuha wanakubali kama HAYAWANI/ ZUZU
 
Nampendekeza kwenu Bi Dorothy

Itakuchukua muda mfupi sana baada ya kumtazama katika utekelezaji wa majukumu yake Bi Dorothy kutambua kipawa alicho nacho cha uongozi, nimemsikiliza katika clip inayosambaa akifanya analysis na wadau katika wizara aliyokuwa akihudumu kama Naibu Katibu Mkuu, kikweli CCM msifanye ajizi anzeni sasa kumuandaa na huyu ndie atakuja kuwa Rais wetu baada JPM.
Hongera kwa kutumia vyema uhuru wa kujieleza ingefaa kuweka hiyo clip hapa na wasifu (CV) zake kwanza, ili tukupinge au kuunga mkono wazo lako kwa hoja badala ya hisia!
 
Hongera kwa kutumia vyema uhuru wa kujieleza ingefaa kuweka hiyo clip hapa na wasifu (CV) zake kwanza, ili tukupinge au kuunga mkono wazo lako kwa hoja badala ya hisia!
1
CURRICULUM VITAE
DR. DOROTHY ONESPHORO GWAJIMA (MD/MPH).
Deputy Permanent Secretary for Health (DPSH)
President’s Office, Regional Administration and Local Government Authority
(PORALG)
PERSONAL DETAILS
Surname: Gwajima
Other names: Dorothy Onesphoro
Date of Birth: 21 March 1971
Place of Birth: Singida-Iramba-Kiomboi Hospital
Nationality: Tanzanian, Sex: Female
Marital Status: Married to Methuselah Steven Gwajima.
Present address; Presidents Office, Regional Administration and Local
Government Authority, P.O. Box 1920, DODOMA.
Official landline telephone numbers; +255 (0) 026 232 1312
Mobiles phone: 0765-l, 0682-,
E-mail official: dorothy.gwajima@tamisemi.go.tz,
Email private; .com
ACADEMIC PROFILE AND CAREER DEVELOPMENT:
Master’s degree Program
Qualification: Masters of Public Health (MPH)
Institute: Royal Tropical Institute of Netherlands.
Period: September, 2008-September, 2009
Bachelor degree Program
Qualification: First Degree in Medicine
Institute: Nizhniy Novgorod Medical Academy-Russia,
 
Asante kwa wasifu, ni mzuri , uchaguzi umekwisha ,Serikali imeshaundwa nadhani hapa kikubwa ni kumpa ushirikiano achape kazi kuthibitisha na kutumia vyema nafasi na fursa aliyopewa kuiletea Nchi maendeleo katika sekta ya Afya. Haya mengine kama yapo ni mbele kwa mbele! JPM alipopewa unaibu waziri 1995 alichoangalia ni kazi haya mengine ni matokeo!
 
Back
Top Bottom