Kwa Dkt. Dorothy Gwajima, CCM imelamba Dume. 2025 Rais awe yeye kulingana na usomi alio nao

Kwa Dkt. Dorothy Gwajima, CCM imelamba Dume. 2025 Rais awe yeye kulingana na usomi alio nao

Huyu mwanamama Daktari wa Binadamu hana elimu kubwa iliopindukia.
Pili alikuwa Naibu Katibu mkuu,lakini cha kushangaza ni kwanini kwanza kuteuliwa kuwa mbunge nje ya ulingo wakati tuna wabunge wa kumwaga ukiongezea na wabunge wa viti maalum zaidi ya mia mmoja?na kupewa pasi ya kuwa waziri wa Afya (Full Minister)
Tatu yule mama wa shoka Ummy Mwalimu aliojizolea sifa kemkem wakati wa Covid-19 kafanya nini?
Nne Je huyu Dr.Gwajima anazo kazi nyingine maalum kwenye chama na taasisi nyeti zinazompambanua kuwa nafasi hii ndiye binadamu bora nchi hii kwa kazi hii?
Wizara ya afya jiandae kusuka au kunyoa.
 
Huyu mama alivyo mtata. Wizarani wajiandae.
 
Hivi hilo ni baraza la mawaziri au baraza la wasukuma kwenda kupiga porojo?
 
Nampendekeza kwenu Bi Dorothy

Itakuchukua muda mfupi sana baada ya kumtazama katika utekelezaji wa majukumu yake Bi Dorothy kutambua kipawa alicho nacho cha uongozi, nimemsikiliza katika clip inayosambaa akifanya analysis na wadau katika wizara aliyokuwa akihudumu kama Naibu Katibu Mkuu, kikweli CCM msifanye ajizi anzeni sasa kumuandaa na huyu ndie atakuja kuwa Rais wetu baada JPM.
Wasomi gani halo wamewahi kuleta maendeleo! Maendeleo yanaletwa na ugunduzi na vipaji sio elimu ya mtu hata kidogo😂😂 . Jiulize kwanini hatuoni wasomi wetu wakitafuta chanjo tuna ngojea mabeberu au kwanini hatuna ugunduzi wa technologia kama wa akina bill gates au ubber !
 
Huyu mama alivyo mtata. Wizarani wajiandae.
Nimemsikia kwenye clip anatoa mada,lakini yeye kama Naibu katibu mkuu angekuwa ametunga mwongozo kwa maadishi unaojitosheleza,usambazwe kwenye sehemu zote za afya nchini.
Kitabu alichobeba na kunadi ni sera ya CCM,haina details. Ni kazi yake sasa kutayarisha watumishi wake kwanza kabla ya kuwatupia lawama.
 
Alikuwa presidential material mara kayeyuka ghafla
Hakuna mwanamke anayeweza kuwa Presidential material!Yaani yaani sisi wanaume hstutoshi mpaka tuna-handover our duties to woman!Wanaume wenzangu ni aibu,hivi nani katuloga? Vi-NGOs hivi na na maagizo yao kutoka kuzimu.Tukatae jamani.
 
Acha kujiaibisha GWAJIMA hana shule ya kutisha(MD,MPH) wako wengi sana wenye Elimu hiyo bora hata Masters angefanya MMED au MSc
Ana phd ya kupanua mdogo labda naona atendeleza Audui na kadre nyingine kwa kuwa yeye ni dr. Ummy alikuwa so hamble na balanced kwa kadre zote huyo sijui alisema wapi
 
Nimemsikia kwenye clip anatoa mada,lakini yeye kama Naibu katibu mkuu angekuwa ametunga mwongozo kwa maadishi unaojitosheleza,usambazwe kwenye sehemu zote za afya nchini.
Kitabu alichobeba na kunadi ni sera ya CCM,haina details. Ni kazi yake sasa kutayarisha watumishi wake kwanza kabla ya kuwatupia lawama.
Yeye huwa anapenda sana kuwapa watu lawama ili hali hayo Maisha ameyaishi na amna ligand yoyote aliacha kuanzia akiwa rmo dmo
 
Back
Top Bottom