Kwa Dkt. Dorothy Gwajima, CCM imelamba Dume. 2025 Rais awe yeye kulingana na usomi alio nao

Kwa Dkt. Dorothy Gwajima, CCM imelamba Dume. 2025 Rais awe yeye kulingana na usomi alio nao

50%uko sawa ila kwa fala mollel umeni let down,au unasemaje Msukuma mwenzangu
mkuu ,mollel atatufaa tofauti na huyu mama.huyu mama katoa rushwa ya papuchi ndio kapata uteuzi ama kamchawia ummy
Ova😁
 
Mwanamke for President!I am sorry,mwananke hapaswi kumuongoza mwanamna.That is Biblical.Nipigeni madongo na mawe,lakini huo utabaki kuwa ukweli,sitapepesa macho ng'o.We man were created to be leaders,not women.Hii dhana ya wanawake kuongoza wanaume imetoka kuzimu jamani,tuwe makini.

Kwa bahati mbaya sisi bila kujua tumeikumbatia.Halafu mianaume mingine nayo,noma sana, bila aibu inaipigia chapuo.Sijui imelambishwa nini na Wazungu.Shameful indeed.

NGOs hizi zinatuletea vitu vya ajabu sana,mara mfumo dume,mara tohara kwa wanaume,aibu tupu.Mfume dume ndio mnyama gani?
Hujatahiriwa mkuu[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
 
Nampendekeza kwenu Bi Dorothy

Itakuchukua muda mfupi sana baada ya kumtazama katika utekelezaji wa majukumu yake Bi Dorothy kutambua kipawa alicho nacho cha uongozi, nimemsikiliza katika clip inayosambaa akifanya analysis na wadau katika wizara aliyokuwa akihudumu kama Naibu Katibu Mkuu, kikweli CCM msifanye ajizi anzeni sasa kumuandaa na huyu ndie atakuja kuwa Rais wetu baada JPM.
sawa kabisa
 
Wanasema kabila la Dkt.Gwajima Dorothy si msukuma bali mnyiramba !
Sina uhakika na hilo ila tunawatakaTanzania Wildlife Management Authority kuomba radhi kwa kuweka picha ya Marehemu Dr. Irene Masanja kama Naibu Waziri badala ya ile ya Mary Masanja. Wamewapa muda ngumu sana familia ya huyo Marehemu.
 
Kwenye baadhi ya mambo huwa namkumbuka sana jakaya,kuna nyazifa za juu zakijeshi nafikiri ni ma brigedia ambao kina mama ni wachache sana,jakaya wakati anawasimika cheo hiki alisema kwa nafasi hizi kwa kinamama lazima twende taratibu,jeshini ni tofauti kidogo na kazi nyingine.
 
Ili uwe Mbunge lazima uwe mwanachama wa Chama cha Siasa

Sina hakika kama Dr Gwajima ni Mwanachama wa CCM
 
Nampendekeza kwenu Bi Dorothy

Itakuchukua muda mfupi sana baada ya kumtazama katika utekelezaji wa majukumu yake Bi Dorothy kutambua kipawa alicho nacho cha uongozi, nimemsikiliza katika clip inayosambaa akifanya analysis na wadau katika wizara aliyokuwa akihudumu kama Naibu Katibu Mkuu, kikweli CCM msifanye ajizi anzeni sasa kumuandaa na huyu ndie atakuja kuwa Rais wetu baada JPM.
Sema ni ngosha mwenzako wala hakuna lolote
 
Back
Top Bottom