Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Bora Rais muislamu asee angalau tutakula keki kidogoAkitoka mkristo ni zamu ya muislamu Ili nasi wa chini tufaidi keki. Huyo dada yake na rashid labda awe rais wa wanawake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora Rais muislamu asee angalau tutakula keki kidogoAkitoka mkristo ni zamu ya muislamu Ili nasi wa chini tufaidi keki. Huyo dada yake na rashid labda awe rais wa wanawake
Kwa wale wenzetu waliotutangulia a.k.a "MABEBERU" huwa wanaangalia sana professional/academic background kabla ya kupewa wizara yoyote ile, sasa huku kwetu in particular kwa donor kantre kama Tanzania tunapeana wizara kiushikaji/kikanda, finally unatumika kama rubber stamp!Waja wanaikuza kuliko uhalisia wake, tumpe mda, ummy naye did well KWA hyo wizara hasa kipindi kigumu Cha corona
Mbona ni mnyiramba, au wanyiramba hawana haki ya uongoziSema ni ngosha mwenzako wala hakuna lolote
Kwani huyu ni wa kanda ipi au ndio hizo ndoto za mchanaKwa wale wenzetu waliotutangulia a.k.a "MABEBERU" huwa wanaangalia sana professional/academic background kabla ya kupewa wizara yoyote ile, sasa huku kwetu in particular kwa donor kantre kama Tanzania tunapeana wizara kiushikaji/kikanda, finally unatumika kama rubber stamp!
Uko sahihi aisee bongo experience and exposure doesn't matter, kinacho matter ni connection na wazito tu basiKwa wale wenzetu waliotutangulia a.k.a "MABEBERU" huwa wanaangalia sana professional/academic background kabla ya kupewa wizara yoyote ile, sasa huku kwetu in particular kwa donor kantre kama Tanzania tunapeana wizara kiushikaji/kikanda, finally unatumika kama rubber stamp!
Hao ni wale wapigaji wa miaka kabla JPM hajawa rais. Wanazeeka na vinyongo mioyoni.Kwani Dorothy ni Msukuma? Aweso, Byabato, Nchemba,Lukuvi, Mkuchika,Ndumbaro, Mkande, Ummmy, Jaffo, Kitila , Bashungwa, Pinda just to mentioned the few
Ruduia vizuri kusoma nilichokiandika.....punguza kukurupuka!Kwani huyu ni wa kanda ipi au ndio hizo ndoto za mchana
Kusoma sana ndo kuwa rais bora??Nampendekeza kwenu Bi Dorothy
Itakuchukua muda mfupi sana baada ya kumtazama katika utekelezaji wa majukumu yake Bi. Dorothy kutambua kipawa alicho nacho cha uongozi, nimemsikiliza katika clip inayosambaa akifanya analysis na wadau katika wizara aliyokuwa akihudumu kama Naibu Katibu Mkuu, kikweli CCM msifanye ajizi anzeni sasa kumuandaa na huyu ndie atakuja kuwa Rais wetu baada Dr. Magufuli
Gwajima ni mnyiramba?Mbona ni mnyiramba, au wanyiramba hawana haki ya uongozi
Hiyo Biblia imeletwa na hao hao wazungu kumbuka.Mwanamke for President!I am sorry,mwananke hapaswi kumuongoza mwanamna.That is Biblical.Nipigeni madongo na mawe,lakini huo utabaki kuwa ukweli,sitapepesa macho ng'o.We man were created to be leaders,not women.Hii dhana ya wanawake kuongoza wanaume imetoka kuzimu jamani,tuwe makini.
Kwa bahati mbaya sisi bila kujua tumeikumbatia.Halafu mianaume mingine nayo,noma sana, bila aibu inaipigia chapuo.Sijui imelambishwa nini na Wazungu.Shameful indeed.
NGOs hizi zinatuletea vitu vya ajabu sana,mara mfumo dume,mara tohara kwa wanaume,aibu tupu.Mfume dume ndio mnyama gani?
Haya kampeni ndio zimeanza ili 'Gwajima' awe rais? Nchi hii na wananchi wake mnawadharau sana sasa.Nampendekeza kwenu Bi Dorothy
Itakuchukua muda mfupi sana baada ya kumtazama katika utekelezaji wa majukumu yake Bi. Dorothy kutambua kipawa alicho nacho cha uongozi, nimemsikiliza katika clip inayosambaa akifanya analysis na wadau katika wizara aliyokuwa akihudumu kama Naibu Katibu Mkuu, kikweli CCM msifanye ajizi anzeni sasa kumuandaa na huyu ndie atakuja kuwa Rais wetu baada Dr. Magufuli
Wana utu sababu ufuata diniBora Rais muislamu asee angalau tutakula keki kidogo
Usipinge tu in three minutes za hiyo video mama kawafundisha hospital inventory management ya dawa, kawapa tips za kufanya audits wakurugeni vitu vingine ni commonsense ata kama wao sio medics, kazungumzia succession planning; halafu yeye ni daktari wa binadamu.Uko sahihi aisee bongo experience and exposure doesn't matter, kinacho matter ni connection na wazito tu basi
Ni Mzaliwa wa Iramba - SingidaBaraza la wasukuma watupu
Yap , yaani huyo Dada Dr Dorothy Onesphory Gwajima, Mbona Mwigula Nchemba ni wa huko huko na sio Mnyamwezi au Msukuma au kuna Mtu anaitwa Kaseka lakini waweza mpata Rukwa na Tabora, au Mgaya utampata Njombe na UpareniGwajima ni mnyiramba?
Kwa msisitizo rangi red kbshuyu mama nimempa miezi minne tu atakuwa jipu.waziri wa afya ni Dr Godwin mollel
Ova
#mda utaongea
Sio kila Mzungu ni muovu,ila tunafanya makosa tu kujumuisha Wazungu wote.I meant the Deep State.Most Wazungus are extremely good people,wameingizwa mkenge tu kama sisi.Achana na kunipa majina,hivyo haifanyi ukweli kuwa uwongo,ukweli utabaki kuwa ukweli.Msituletee mawazo ya kuzimu,it is simply not acceptable.Hiyo Biblia imeletwa na hao hao wazungu kumbuka.
Hivi Nzinga Ndambi alikua mwanaume?
Hivi Merina wa Madagascar alikua mwanaume?