Kwa Dkt. Dorothy Gwajima, CCM imelamba Dume. 2025 Rais awe yeye kulingana na usomi alio nao

Yap , yaani huyo Dada Dr Dorothy Onesphory Gwajima, Mbona Mwigula Nchemba ni wa huko huko na sio Mnyamwezi au Msukuma au kuna Mtu anaitwa Kaseka lakini waweza mpata Rukwa na Tabora, au Mgaya utampata Njombe na Upareni
Ndugu yake na Askofu Rashid
 
Nampendekeza kwenu Bi Dorothy

Itakuchukua muda mfupi sana baada ya kumtazama katika utekelezaji wa majukumu yake Bi. Dorothy kutambua kipawa alicho nacho cha uongozi, nimemsikiliza katika clip inayosambaa akifanya analysis na wadau katika wizara aliyokuwa akihudumu kama Naibu Katibu Mkuu, kikweli CCM msifanye ajizi anzeni sasa kumuandaa na huyu ndie atakuja kuwa Rais wetu baada Dr. Magufuli

William Lukuvi ndiyo jembe linalofaa kuvaa viatu vya JPM. Angalia hata alivyoweza kunyoosha wizara korofi (ya Ardhi...), iliyokuwa imejaa vimungu mtu vingi na ukiritimba mwingi! His age shouldn’t disqualify him, kwa sababu Katiba haimzuii.
 
Nampendekeza kwenu Bi Dorothy

Itakuchukua muda mfupi sana baada ya kumtazama katika utekelezaji wa majukumu yake Bi. Dorothy kutambua kipawa alicho nacho cha uongozi, nimemsikiliza katika clip inayosambaa akifanya analysis na wadau katika wizara aliyokuwa akihudumu kama Naibu Katibu Mkuu, kikweli CCM msifanye ajizi anzeni sasa kumuandaa na huyu ndie atakuja kuwa Rais wetu baada Dr. Magufuli
Rais ajaye lazima awe mwislam .sasa huyu dorothy ni mwislam?
 
Viongozi wote waliopita bila kupigwa hawana mamalka ya ki-Mungu ya kuongoza.
Viongozi wote walioshiriki kuiba kura wao pia hawana mamlaka ya ki- Mungu ya kutuongoza.
 
Uko sahihi aisee bongo experience and exposure doesn't matter, kinacho matter ni connection na wazito tu basi

Wapi Hakuna connection. Danganyeni wajinga wenzenu ambao kila afanyalo JPM Mna allergy nalo. Hakuna kipindi kinachoheshimu prof kama cha JPM. Kuna mambo mengi Sisi watu wa kawaida hatuyajui. Kazi kuropoka as if Rais kaamka tu na kuteua.
 
Mkuu umetoa povu la bure, nchi usipokuwa na connection hata umbeya hupati sembuse vyeo
 
Nampendekeza kwenu Bi Dorothy

Itakuchukua muda mfupi sana baada ya kumtazama katika utekelezaji wa majukumu yake Bi. Dorothy kutambua kipawa alicho nacho cha uongozi, nimemsikiliza katika clip inayosambaa akifanya analysis na wadau katika wizara aliyokuwa akihudumu kama Naibu Katibu Mkuu, kikweli CCM msifanye ajizi anzeni sasa kumuandaa na huyu ndie atakuja kuwa Rais wetu baada Dr. Magufuli
Uraisi wa CCM hauangalii hayo.
 
Ummy mwalimu sio vocal kama Dorothy, aina ya uongozi wa Magufuli aliotuanzishia unafaa kurithiwa na Dr Gwajima na mashuhuda wazuri ni wafanyakazi wenziea katika wizara aliohudumu awali
Uongozi wa JPM anapaswa kuondoka nao, hauna la maana la kijifunza.
 
Back
Top Bottom