Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Omar al Bashir, Omar Bongo, Sani Abacha, Gaddafi, Zia Ul Haq, Iddi Amin ..... Na wale wafalme wa Mashariki ya Kati wote ni wamisheni. Ni nchi chache sana zinazojiita za kiislamu ambazo zina uongozi wa kupigiwa kura na wananchi wake.Waislamu uthamini utu uthamini maendeleo ya watu kuliko vitu.
Dini imewashape na kuwapa hekima na busara.Viongozi wa Kikristo wameacha wajibu wao thus asilimia 90% ya madikteta wote ni Wakristo fanya research.
Usipende sana u dini. Hamna dini yenye monopoly ya uovu. Pima mtu kwa anacho kitenda, sio dini yake. Usipofanya hivyo utakubali dhulma kwa sababu tu anaefanya hivyo ni muislamu mwenzako.
Amandla...