Nyangomboli
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 3,501
- 1,956
Nani kwakwambia Dorothni Msukuma? Hivi unafahamu kama kuna kina Mgaya Iringa na Tanga? Unafahamu kama kuna kuna Nyerere Kenya? Kimaro Mpanda na si mchaga? Chunguza kabla hujahukumu mkuu unatia aibu. Offcourse hata kama ingekuwa hivyo ni sawa tu maana unatakiwa ufanye kazi na watu unaowaamini japo kwa kesi yako siyo kweli na Dorothsi Msukuma.Baraza la wasukuma watupu