Unajua sheria ya offside imeanza mwaka gani ?Ndio maana akafikisha magoli 1000 ingawa mengi yametokana na offside na magoli mengine ya vichochoroni.
Sijui.Hivi inajua sharia ya offside imeanza mwaka gani?
Sheria ya offside ipo kabla Pele hajazaliwa !! Na FIFA kuundwa mzee 1865 huko,ikafanyiwa usahihi 1925Sijui.
Google uniambie
Sheria ya offside ipo kabla Pele hajazaliwa !! Na FIFA kuundwa mzee 1865 huko,ikafanyiwa usahihi 1925
Sheria ya offside ipo kabla Pele hajazaliwa !! Na FIFA kuundwa mzee 1865 huko,ikafanyiwa usahihi 1925
Kwan bando si unalo ..ingia WikipediaWeka evidence hapa tuone unachokisema Mkuu...
Unajua sheria ya offside imeanza mwaka gani ?
Kwan bando si unalo ..ingia Wikipedia
Your zero brain go and sleepMtaongea mpaka basi...wafalme wa soka duniani na hawatokuja kutokea tena may be 1000 years ahead, tena labda...narudia tena labda...
1-King Messi..namba one
2-King Diego..namba two
Pele na Neymar kete yangu naitupa kwa Neymar, wote wana mpira unaofanana ila Neymar anajirusha sana.
Lionel Andres Messi USIMFANANISHE NA YOTOTE YULE, KABLA YAKE, WAKATI HUU NA HATA UJAO. MESSI NI MESSI.
Zero brain washPele na Neymar kete yangu naitupa kwa Neymar, wote wana mpira unaofanana ila Neymar anajirusha sana.
Lionel Andres Messi USIMFANANISHE NA YOTOTE YULE, KABLA YAKE, WAKATI HUU NA HATA UJAO. MESSI NI MESSI.
There's only one King in football ARENA known as;Kweli kabisa...
There's only one King in football ARENA known as;
✓KING RONALDO (Cr7) #forever
HahahaHyu jamaa ni amsha....
Alipiga mwamba mara 3 mfululizo akawaambia goli halinavipimo sawa...
At the wakapima na ku realize kuwa ni kweli so jamaa wakamuita mchawi wa soka