Kwa documentary ya Pele hii iliyotoka nitakuwa mpuuzi kuendelea kumlinganisha na watoto wadogo kina Messi

Mtaongea mpaka basi...wafalme wa soka duniani na hawatokuja kutokea tena may be 1000 years ahead, tena labda...narudia tena labda...

1-King Messi..namba one
2-King Diego..namba two
 
Hyu jamaa ni amsha....
Alipiga mwamba mara 3 mfululizo akawaambia goli halinavipimo sawa...
At the wakapima na ku realize kuwa ni kweli so jamaa wakamuita mchawi wa soka
 
Hakuna ubishi ila kama upenda sifa kama Uingland sitosangaa.
 
Mtaongea mpaka basi...wafalme wa soka duniani na hawatokuja kutokea tena may be 1000 years ahead, tena labda...narudia tena labda...

1-King Messi..namba one
2-King Diego..namba two
Your zero brain go and sleep
✓king RONALDO
✓King PELE
FOOTBALL KING'S FOREVER MIAKA 1,000,000
 
Pele na Neymar kete yangu naitupa kwa Neymar, wote wana mpira unaofanana ila Neymar anajirusha sana.

Lionel Andres Messi USIMFANANISHE NA YOTOTE YULE, KABLA YAKE, WAKATI HUU NA HATA UJAO. MESSI NI MESSI.
 
Kweli kabisa...
 
Zero brain wash
 
Back
Top Bottom