Kwa documentary ya Pele hii iliyotoka nitakuwa mpuuzi kuendelea kumlinganisha na watoto wadogo kina Messi

Pele ni mfalme wa soka duniani na hicho ni cheo chake miaka yote.

Diego Maradona ni kama mwana mfalme.

Wanaofuatia hapo ndio hao wengine.

Tumheshimu Pele kwa cheo chake kimpira.

Hakuwa na lolote.

Wafalme asilia ni wawili tu ulimwenguni na wanatoka taifa moja,, KING MESSI & KING DIEGO na ndio pele wako anawachukia kwa sababu ni waargentina na wanaujuwa mpira kweli kweli na wamempita mbali sana,, inshort huyo babu uzee unamsumbua.
 

Mfalme wa soka duniani ni Pele.

Hio ndio historia ya mpira inavyosema kwa kiingereza inasemwa, "The greatest football player of all time".

Ila hakuna ubishi kwamba Diego Maradona na Messi nao ni wataalam wa mpira.

Lakini mwaka 1999 Pele alipigiwa kura na kutuzwa tuzo iitwayo World Player of the Century na taasisi ya kimataifa ya historia ya mpira duniani iitwayo IFFHS.

Na mwaka huohuo wa 1999 Pele akachaguliwa na kamati ya kimataifa ya Olimpiki IOC kuwa mwanamichezo wa karne au "Athlete of the century".

Pele alicheza mechi 1361 na akafunga magoli 1281 na magoli hayo hayajumuishi mechi za kirafiki.

Na wakti huo Pele ndiye alikuwa mchezaji alielipwa pesa nyingi kuliko wote duniani.

Hiyo ndiyo historia fupi ya kandanda ya mfalme wa soka duniani Edson Arantes do Nascimento au Pele.

Tusichafue kabisa historia za watu kama huyu.
 

THE GREATEST FOOTBALL PLAYER OF ALL TIME

2-1 King freekick "like playing poker with a witch, you're gonna lose.too much space & time for him to adjust all the gyroscopes in that head of his, & again he makes the ball defy the laws of phisics. He knows the laws. But the laws don't know Messi"
 
Alafu cha kushangaza kila stail anayocheza mtu maarufu Pele alishaicheza,

Yaan

Iniesta+Messi+figo+Zidane+Cristiano Ronaldo+Messi+Màradona+Ljumberg+Antonia de stephano+ Van Bernstein+ Kaka+Ronaldinho Gaucho+Romario+ Neymar+Rooney+ Henry+ The real Ronaldo + Carlos= Edson Nas smentos Pele
 
Kwa hiyo video kweli Pele ni noma..naomba wanaosema Maradona ni hatari watupie video tuone mambo yake

Mtazame diego na ukitaka zaidi utakutananazo nyingi tu though kacheza mda mfupi sana. Lakini mambo aliyoyafanya sio ya sport sport.







 
ye mwenyewe alikopi
 
huyu mpira wa darasani..hamna kitu..mchezaji gani anakimbilia kufunga tu!!.. chenga hajui..chenga yake moja hyohyo..anachosha
 
Much respect to you too mkuu
 
Mungu wangu huyu sio kiumbe ila kwa kuwa mtu mweusi tu hapewi heshima inayotakiwa
 
Kuna sehemu unakosea ilq haina haja itazalisha ubishani ambao hauna kichwa wala miguu, tuachie hapo.
 
Pela alikuwa ni forward sipingi hilo ila wakati mwingine alikuwa anacheza as a playmaker world cup kacheza games 14 goli ni 12 na assists ni 10.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…