zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Mkuu hivi mwaka 1999 ukiwauliza wangapi walikuwa wamemuona pele akicheza si ungepata 10 tu ila maradona kastaafu 1994 hivyo mamillion walikuwa wamemshuhudia ndio maana akashinda kura zilizopigwa na mashabikiMkuu usijitoe ufahamu. Maradona ndiye alipata 53 Wakati pele kaambulia 18. Sasa hapo nani mwenye nyingi!
Since 1991, FIFA have had awards for FIFA World Player of the Year and they decided to bring in the new millennium by conducting a public vote to decide the FIFA Player of the Century. This was to be decided by votes on their official website, their official magazine and a grand jury. Maradona won the Internet-based poll by wide margins, garnering 53.6% of the votes against 18.53% for Pelé.
View attachment 686643
Ila walipokaa jopo la fifa lililojaa wataalam wa soka na utafiti na makocha wazoefu wakaja na hitimisho kwamba hakuna kama MFALME PELE