Maradona is more Gifted than Pele.
1. Maradona anatumia Mguu wa kushoto kama Messi. Kisayansi inasemwa kua wachezaji ama athelets wanaotumia Mguu wa kushoto wanakua bora zaidi ya wanaotumia Mguu wa kulia. kwasababu ni upande wa Moyo ambapo heartbeat inakua kasi sana kulinganisha na wanaotumia mguu wa kulia.
2. Ukiona video za Pele, utagundua ni aina ya mchezaji anaetumia nguvu nyingi zaidi kwa mfano wa Ronaldo De Lima.
Wakati Maradona haonyeshi matumizi makubwa ya nguvu hizo kama za Pele. Lakini anaonyesha yupo more skillful. Kama mpira wa kisasa ulivyo.
Maradona ni mtoa pasi za uhakika kwa vile anawaona wenzake uwanjani. Hii hali unaweza kuiona kwa wachezaji kama vile alivyo Xavi na Messi.
3. Maradona Anaweza chezesha teammates wenzake akatoa pasi sahihi kwakua ana shabaha.
Huwezi ona skills yoyote kwenye mpira wa Pele zaidi ya maguvu. Msaada wa. Wachezaji wenzake ndio ulikua ubora wa timu yake.
4./Kushusu Pele, Inshort wengi hudanganywa hizo stunts footages zinazo onyeshabakifunga magoli tu. Of course zinawekwa kwa makusudi ili kum-propagandaize Pele. Ambapo hata ukiziangalia he's not even close to Ronaldonho Gaucho.
Stylewise Maradona is the best of the best.
**********
Tukiachana na hayo tuangalie hali halisi
1. Maradona amecheza zama ambapo matumizi ya madawa ya kuongeza nguvu yanadhibitiwa (dopping). Cheaters wana nyakwa. Hali ni tofauti na zama za Akina Pele ambapo hakukua na control ya dope. Anythinh would happen.
Maradona Amecheza zama ambazo mpira unatumia nguvu na akili. Hasa huko ulaya kwenye wachezaji wa kila aina na ushindani mkubwa.
Pele amecheza zama za wachezaji wengi dhaifu na wasio na ufundi na ushindani mdogo sana. Akaonekana bora.
2. Pia ..Miongoni mwa wachezaji wa miaka 1950s na 60s hawawezi kutimiza zile vigezo vya basic Health examinations vinavyohitajika kwa wachezaji katika club za leo duniani.
Kwa mfano.
Wachezaji kama:-
Robert Schlienz,
View attachment 689054View attachment 689055View attachment 689056
Robert Schlienz juu pichani
View attachment 689053
El.manco akifunga goli juu. Mwenye mkono mmoja
View attachment 689051
View attachment 689052
Héctor Castro “El Manco” (Juu) ambao walistahili kucheza Paralympics. Lakini alishiriki DFB League in 1950.
View attachment 689049
Manuel Francisco dos Santos, “Garrincha”, winga mkongwe wa Brazil (Juu) aliecheza 1958, 1962 and 1966.
Miguu ya "Garincha" ambaye alimbiti pele kiuwezo mwaka 1966.
3. Ukiangalia Mechi za Santosi aliyocheza Pele.
Mechi za Santos miaka ya mwishoni mwa 1950s na mwanzoni mwa miaka ya 1960s. Ushindani ulikua ni closer to zero. Sikuhizi matokeo kama haya tunaita "netiboli"
Santos 10 x 0 Nacional (1958)
Santos 6 x 1 Corinthians (1958)
Santos 12 x 1 Ponte Preta (1959)
Santos 6 x 1 Corinthians (1960)
Santos 10 x 1 Juventus-SP (1961)
Santos 5 x 1 Corinthians (1961)
Santos 11 x 0 Botafogo-SP (1964)
Santos 7 x 4 Corinthians (1964)
Santos 11 x 1 Grêmio Maringá (1965)
...
Inshort yapo mambo mengi yanayomshusha pele... Haya ni kwa ufupi.tu.