Kwa documentary ya Pele hii iliyotoka nitakuwa mpuuzi kuendelea kumlinganisha na watoto wadogo kina Messi

Kati ya kura za majority ndyo kila kitu hiko kikundi chako cha FIFA cha wahuni unakijua wewe na ukoo wenu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Bila unazi, Pele ni mkali zaidi yao...kipindi alichocheza kulikuwa na wachezaji wasiolegelege wanaojiangushaangusha.Respect Pele
 
Bruce Lee
Mohamed ali (the great )
Bob marley
Michael Jordan
Michael Jackson
Pele wa brazil
Hawa viumbe walifanya yao endeleeni tu kuwafananisha ila kwangu mimi walikuwa na vipaji na vipawa vya hali ya juu sana
Mkuu umemsaau Tupac
 

Pele huyo jaman ndo umlinganishe na kina Messi wanaokuwa na mabeki kama cavajarii
 
Duuuu. Basi.kweli Pele ni Baba lao. Hawa kina Messi hawana jipya. Ila ukiangalia kizazi cha sasa nadhani Gaucho ndo amejitahidi sana kufuata nyayo za Pele Messi hana manjonjo kama ya Pele
 
Nimeshasema hizo ni kura za washabiki tu ila WATAALAM walioteuliwa na FIFA kwa sauti moja walimpa tuzo Pele sasa unachobisha ni nini..... Hivi mashabiki wanafaham mpira kuliko wataalam???
Naonba tukubaliane kutokubaliana kuwa Pele ni sehemu ya chombo cha propaganda cha fifa. Diego Maradona yeye alikuwa na uadui na fifa kwa kuwa yu Maeadona alikuwa akidai fifa inawanyonya wachezaji.

Hiyo kamati unayosema iliundwa na fifa haina tofauti na mambo wanayofanya ccm hapa nchini. Yaani ulitegemea fifa wamtangaze Maradona wamwache pele. Ningeshindwa kushangaa.

Nimeona goli pele alilowafunga Juve. [emoji1] [emoji1] [emoji1] ni ajabu. Kwanza yupo slow mabeki wanamwangalia tu kama wanashangaa wenzao wakipigwa kanzu. Mabeki aina ya marceily Desaily hawezi kukuacha. Anakutoa kwenye reli na mpira anachukua.

Diego ni zaidi ya pele
 
Bruce Lee
Mohamed ali (the great )
Bob marley
Michael Jordan
Michael Jackson
Pele wa brazil
Hawa viumbe walifanya yao endeleeni tu kuwafananisha ila kwangu mimi walikuwa na vipaji na vipawa vya hali ya juu sana
Hao magenius
 
Correct 100%. Mkuu
Maradona is the best in the world
 
Mie huwa nawatizama tu wanaompinga king pele japo huwa siwashangai na kuwadharau sbabu ndio akili yao, pele nimfatilia kwa karibu mnoo, nakili kwa dhati pele hana mpinzani jamaa alikuwa nux
Mara nyingi shafii dauda ndiye anayewadanganya watoto kuwa hakuna kama mesi!!
 
Hizi ni siasa
 
Huenda jamaa alikuwa hajazaliwa au alikuwa mdogo sana kujua kwamba hawa jamaa walishindanishwa kwenye tunzo ya mwanasoka bora wa karne ya 20 mwaka huo
 
Duuuu. Basi.kweli Pele ni Baba lao. Hawa kina Messi hawana jipya. Ila ukiangalia kizazi cha sasa nadhani Gaucho ndo amejitahidi sana kufuata nyayo za Pele Messi hana manjonjo kama ya Pele
Kabisa
 
Huenda jamaa alikuwa hajazaliwa au alikuwa mdogo sana kujua kwamba hawa jamaa walishindanishwa kwenye tunzo ya mwanasoka bora wa karne ya 20 mwaka huo
Jopo la wataalam lilimpa ushindi pele.... Hizo kura za mashabiki 90% hawakuwahi muona pele na wengi waliopiga kura ilikuwa ulaya ila wataalam sababu wanajua mpira ndio wakasuggest tuzo iende kwa pele

Ndio maana wakashare tuzo.... Ila shirikisho la wachezaji wa zamani wote lilimpa tuzo pele kma mchezaji wa karne pia kamati ya olympic ilimpa pele mwanamichezo bora wa karne akimzidi kura muhammad ali na magwiji kma Michael jordan na Michael Schumacher wa formula 1

Pele hana mfano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…