Kasinja jr
JF-Expert Member
- Aug 4, 2017
- 1,034
- 1,812
HakikaJopo la wataalam lilimpa ushindi pele.... Hizo kura za mashabiki 90% hawakuwahi muona pele na wengi waliopiga kura ilikuwa ulaya ila wataalam sababu wanajua mpira ndio wakasuggest tuzo iende kwa pele
Ndio maana wakashare tuzo.... Ila shirikisho la wachezaji wa zamani wote lilimpa tuzo pele kma mchezaji wa karne pia kamati ya olympic ilimpa pele mwanamichezo bora wa karne akimzidi kura muhammad ali na magwiji kma Michael jordan na Michael Schumacher wa formula 1
Pele hana mfano
Mkuu sio fifa tu ila taasisi zaidi ya 10 zilimpa tuzo ya mchezaji wa karneNaonba tukubaliane kutokubaliana kuwa Pele ni sehemu ya chombo cha propaganda cha fifa. Diego Maradona yeye alikuwa na uadui na fifa kwa kuwa yu Maeadona alikuwa akidai fifa inawanyonya wachezaji.
Hiyo kamati unayosema iliundwa na fifa haina tofauti na mambo wanayofanya ccm hapa nchini. Yaani ulitegemea fifa wamtangaze Maradona wamwache pele. Ningeshindwa kushangaa.
Nimeona goli pele alilowafunga Juve. [emoji1] [emoji1] [emoji1] ni ajabu. Kwanza yupo slow mabeki wanamwangalia tu kama wanashangaa wenzao wakipigwa kanzu. Mabeki aina ya marceily Desaily hawezi kukuacha. Anakutoa kwenye reli na mpira anachukua.
Diego ni zaidi ya pele
Ebu wekeni vitu vƴa maradona na pele tulinganishe hapaNi kweli kabisa Mkuu.
Ligi za mwaka 47. Alizocheza Pele hazikua na ushindani Mkubwa na tough kama tuuonao leo.
Sioni ni kwa.namna gani atawesa kua na ubora wa Cristiano Ronaldo.
Pele ameshindwa kukubalika kama namba moja nchini kwake na wachezaji wazawa.
Ukweli Mchungu ni kua Maradona ameshamshinda Pele waliposhindanishwa.
FiFa ninshirika la kibepari, ambapo mtazamo wake Maradona amekua akiwapinga sana. Kua wanawanyonya wachezaji pesa zao.nk.
Maradona anamtazamo wa kina Che Guavara and the like...
Si rahisi ukasikia Maradona ameitwa FiFa kwenye sherehe zao na matamasha kama wafanyavyo kwa Pele na hii ni kwasababu ya Uadui wao na Maradona. Pele na FiFa ni Damudamu
Dalili zinaonyesha kama angekua anaelewana nao si ajabu leo hii wangembatiza Maradona kua Mfalme wa Soka na sio pele.
Labda nipate Muda nije nishushe flow ndefu hapa yenye kutafakarisha...
Pele anajituma sana kuizungumza uingereza kwa mazuri. Hata majuzi alipozimia . utaona tu jinsi anavyoitaja uingereza..
Hizi ni siasa
Mkuu sio fifa tu ila taasisi zaidi ya 10 zilimpa tuzo ya mchezaji wa karne
Kamati ya olimpiki
UNICEF
Shirikisho la wachezaji wa soka wazamani
REUTERS n.k
Je hao wote ni propaganda za FIFA???
Hivi kwenye mafanikio ya mpira kipi ambacho maradona anamzidi pele
Magoli pele zaidi ya 1000 ila maradona hajafika hta 400
World cup pele 3 maradona 1
Pele aliweka rekodi ya hatrick 92
Pele ana magoli mengi ya timu ya taifa kuliko maradona.....ana 77
Dah nikianza kuwalinganisha hapa nitakesha nikiandika wasifu ila kwa hizo statistics maradona hana lolote mbele ya pele
Mkuu unadangqnyaMaradona is more Gifted than Pele.
1. Maradona anatumia Mguu wa kushoto kama Messi. Kisayansi inasemwa kua wachezaji ama athelets wanaotumia Mguu wa kushoto wanakua bora zaidi ya wanaotumia Mguu wa kulia. kwasababu ni upande wa Moyo ambapo heartbeat inakua kasi sana kulinganisha na wanaotumia mguu wa kulia.
2. Ukiona video za Pele, utagundua ni aina ya mchezaji anaetumia nguvu nyingi zaidi kwa mfano wa Ronaldo De Lima.
Wakati Maradona haonyeshi matumizi makubwa ya nguvu hizo kama za Pele. Lakini anaonyesha yupo more skillful. Kama mpira wa kisasa ulivyo.
Maradona ni mtoa pasi za uhakika kwa vile anawaona wenzake uwanjani. Hii hali unaweza kuiona kwa wachezaji kama vile alivyo Xavi na Messi.
3. Maradona Anaweza chezesha teammates wenzake akatoa pasi sahihi kwakua ana shabaha.
Huwezi ona skills yoyote kwenye mpira wa Pele zaidi ya maguvu. Msaada wa. Wachezaji wenzake ndio ulikua ubora wa timu yake.
4./Kushusu Pele, Inshort wengi hudanganywa hizo stunts footages zinazo onyeshabakifunga magoli tu. Of course zinawekwa kwa makusudi ili kum-propagandaize Pele. Ambapo hata ukiziangalia he's not even close to Ronaldonho Gaucho.
Stylewise Maradona is the best of the best.
**********
Tukiachana na hayo tuangalie hali halisi
1. Maradona amecheza zama ambapo matumizi ya madawa ya kuongeza nguvu yanadhibitiwa (dopping). Cheaters wana nyakwa. Hali ni tofauti na zama za Akina Pele ambapo hakukua na control ya dope. Anythinh would happen.
Maradona Amecheza zama ambazo mpira unatumia nguvu na akili. Hasa huko ulaya kwenye wachezaji wa kila aina na ushindani mkubwa.
Pele amecheza zama za wachezaji wengi dhaifu na wasio na ufundi na ushindani mdogo sana. Akaonekana bora.
2. Pia ..Miongoni mwa wachezaji wa miaka 1950s na 60s hawawezi kutimiza zile vigezo vya basic Health examinations vinavyohitajika kwa wachezaji katika club za leo duniani.
Kwa mfano.
Wachezaji kama:-
Robert Schlienz,
View attachment 689054View attachment 689055View attachment 689056
Robert Schlienz juu pichani
View attachment 689053
El.manco akifunga goli juu. Mwenye mkono mmoja
View attachment 689051
View attachment 689052
Héctor Castro “El Manco” (Juu) ambao walistahili kucheza Paralympics. Lakini alishiriki DFB League in 1950.
View attachment 689049
Manuel Francisco dos Santos, “Garrincha”, winga mkongwe wa Brazil (Juu) aliecheza 1958, 1962 and 1966.
Miguu ya "Garincha" ambaye alimbiti pele kiuwezo mwaka 1966.
3. Ukiangalia Mechi za Santosi aliyocheza Pele.
Mechi za Santos miaka ya mwishoni mwa 1950s na mwanzoni mwa miaka ya 1960s. Ushindani ulikua ni closer to zero. Sikuhizi matokeo kama haya tunaita "netiboli"
Santos 10 x 0 Nacional (1958)
Santos 6 x 1 Corinthians (1958)
Santos 12 x 1 Ponte Preta (1959)
Santos 6 x 1 Corinthians (1960)
Santos 10 x 1 Juventus-SP (1961)
Santos 5 x 1 Corinthians (1961)
Santos 11 x 0 Botafogo-SP (1964)
Santos 7 x 4 Corinthians (1964)
Santos 11 x 1 Grêmio Maringá (1965)
...
Inshort yapo mambo mengi yanayomshusha pele... Haya ni kwa ufupi.tu.
Mwana utakuwa umezaliwa juzi kwa sisi tuliouona mpira wa kweli Sasa hivi hakuna kitu hata kimoja kinavutia au ushindani kwenye soka... Mpira umekuwa mchezo rahisi ambao hauna mabeki wakatili, hauna viungo wakabaji wakatili, washambuliaji wenye uchu, na mawinga machachari.... Kizazi cha watu hao kilimalizikia1975, kikaja Kizazi cha pili 1975, mpaka 1990 na kikaanza Kizazi cha Tatu kilichoishia 2006.... Vizazi hivi vitatu asikuambie mtu ndio maana ilikuwa ni vigumu kumuongelea mtu mmoja Leo hii tunamuongelea Ronaldo na Messi sababu wengine hawapo lakini kipindi hicho wakina Messi na Ronaldo walikuwa wengi......... Angalia hata hapa Tanzania mpira walioucheza kina kibadeni, manara, mogela, mkwasa, lunyamila, chama na Akina Peter tino, haupo Tena.....mpira wenye mabeki wakatili kama kina frank Kassanga, fikiri magoso, bakari tall, George Masatu, Salum kabunda, leodgar Tenga...... Kijana temea mate Pembeni mungu anakuona..... Sasa hivi kuna hela mpira hakunaNi kweli kabisa Mkuu.
Ligi za mwaka 47. Alizocheza Pele hazikua na ushindani Mkubwa na tough kama tuuonao leo.
Sioni ni kwa.namna gani atawesa kua na ubora wa Cristiano Ronaldo.
Pele ameshindwa kukubalika kama namba moja nchini kwake na wachezaji wazawa.
Ukweli Mchungu ni kua Maradona ameshamshinda Pele waliposhindanishwa.
FiFa ninshirika la kibepari, ambapo mtazamo wake Maradona amekua akiwapinga sana. Kua wanawanyonya wachezaji pesa zao.nk.
Maradona anamtazamo wa kina Che Guavara and the like...
Si rahisi ukasikia Maradona ameitwa FiFa kwenye sherehe zao na matamasha kama wafanyavyo kwa Pele na hii ni kwasababu ya Uadui wao na Maradona. Pele na FiFa ni Damudamu
Dalili zinaonyesha kama angekua anaelewana nao si ajabu leo hii wangembatiza Maradona kua Mfalme wa Soka na sio pele.
Labda nipate Muda nije nishushe flow ndefu hapa yenye kutafakarisha...
Pele anajituma sana kuizungumza uingereza kwa mazuri. Hata majuzi alipozimia . utaona tu jinsi anavyoitaja uingereza..
King of freekick anajulikana kwa Jina la Juninho PenambucanoView attachment 686780
THE GREATEST FOOTBALL PLAYER OF ALL TIME
2-1 King freekick "like playing poker with a witch, you're gonna lose.too much space & time for him to adjust all the gyroscopes in that head of his, & again he makes the ball defy the laws of phisics. He knows the laws. But the laws don't know Messi"
ah ah ah hapa tatizo ni age yako tu mkuu na uwezo wa kupata reliable info vlevle na unazi wako ambao nahis utakua shabik wa spain hv au lig ile,but in reality wanaojua mpira zaid yetu ndo wamempa uo unamba one,mind you mpira kwa wenzetu ni ndani na nje a uwanja,uliexpect fifa wamkumbatie maradona na uteja wake,be serious hta tff wangempotezea,hii ndo soka,ina nidham yake,ubrazamen peleken kwny basket...Pele hamsogelei Diego Aemando Maradona. Historia inaonyesha Pele na Maradona
Wamewahi kushindanishwa
1. Pele Akashika namba Mbilidhidi ya Maaradona aliekua namba moja.
2. Pia Pele amewahi kushindanishwa na mchezaji nyumbani kwake Brazil akapata nafasi ya Pili.
Kitendo hiki cha Yeye kua namba mbili kimemfanya Diego Maradona kumsema vibaya Pele kua yeye hastahili namba moja.
Hata hivyo pele amekua akinufaika na nidhamu kwani Maradona pamoja na ubora wake amekua mtumiaji wa madawa ya kulevya mara kadhaa.
Hivyo basi Kwakua Pele amekua akishika namba mbili kila wakati ikapelekea wapewe uzani sawa Diego Maradona ikiwa kama shinikizo ili ku balance mambo.
Jambo hili limekua likimuudhi Maradona anayeamini yeye ni Bora kuliko Pele. Na kupelekea uhusiano wake na FiFa kua Mbaya.
Mbali na FiFa kuonekana ikimkumbatia Pele pia FiFa imekua shirika la kinyonyaji na kifisadi mbele ya macho ya Maradona. Tuombe Mungu kama matatizo haya yaliishia na Sepp Blatter.
Maradona ameshawahi kua kocha wa timu ya taifa lake Argentina. Pele hajawahi kua Kocha.
Kitu kimoja alichokofanya Pele ni kuwasifia waingereza na kuwatabiria ubingwa. Kitendo hiki kimemfanya apendwe na FiFA na Waingereza. Hata kujaa kwenye headlines duniani.
Pamoja na unafiki huu wa Pele bado Uingereza ambayo ni timu yenye jina kubwa imekua ikifanya Vibaya sana kwenye michuano mikubwa.
Wakati huohuo imemfanya Pele kuonekana kua hajui kubashiri matokeo kwakua amekua Bingwa wa kufeli.
Pele haachi kuipamba uingereza ili tu iendelee kumpenda na kumpamba duniani.
Huyu ndiye Edson Arantes des Nacimentos "Pele".
Kwangu atabaki kua mchezaji bora asiye na sifa ya kulinganishwa na wachezaji kama Maradona. Messi, Ronaldo, Ronaldino, wala Cristiano wachezaji wa leo.
Albert Mangwea[emoji3] [emoji3]Bruce Lee
Mohamed ali (the great )
Bob marley
Michael Jordan
Michael Jackson
Pele wa brazil
Hawa viumbe walifanya yao endeleeni tu kuwafananisha ila kwangu mimi walikuwa na vipaji na vipawa vya hali ya juu sana
Sadlyah ah ah hapa tatizo ni age yako tu mkuu na uwezo wa kupata reliable info vlevle na unazi wako ambao nahis utakua shabik wa spain hv au lig ile,but in reality wanaojua mpira zaid yetu ndo wamempa uo unamba one,mind you mpira kwa wenzetu ni ndani na nje a uwanja,uliexpect fifa wamkumbatie maradona na uteja wake,be serious hta tff wangempotezea,hii ndo soka,ina nidham yake,ubrazamen peleken kwny basket...
pele the best of the best,wengne wooooooooote wapo chini yake
Mkuu ninemfuatilia sana kuna channel moja inaitwa ESPN classics ilikuwepo enzi hizo dstv ilikuwa inaweka mechi kabisa za dakika 90 za mpira wa enzi hizo kuanzia 1930 mpaka 1990.... Humo nlipata fursa ya kuona malegends wakisukuma mpira kuanzia era ya kina Didi hadi pele hadi socrates na kina romario hivyo nmeona pele akicheza mechi kibao tu ndio maana nampa credit zake kwa clip tu ni ngumu kujudge ukizingatia wanachukua mambo mazuri tu ila mechi ndio unaona uhalisia wote ndio naconclude PELE hana mfanoKamati ya wahuni nayo ni kamati hiyo?
Wewe pelle umemshuhudia au ni umemuona kwenye video clip?
Hahaha Bonus anawezaje kusimama mbele ya Mathias summer, anawezaje kusimama mbele ya Stephen efernberg, anawezaje kusimama mbele ya frank boer, unapitaje kwa Hector Sanchez..... Uliwaona watu Hawa wakicheza lakini?1.mabeki wa sasa ni more skillful hawa wa zamangu nguvu nyingi akili kisoda ndyo maana pelle alionekana bora lakini angekutana na puyol, Bonnuci, Ramos, angeonekana kama chicharito tu huyo pelle
Mkuu acha utani mabeki wa sahivi hawa kina pique au unaongelea wapi hao ?? Enzi hizo mbona mabeki wa ubora wa juu walikuwepo wengi sana kina fachetti na tena enzi hizo wanapiga buti haswaa maana hakuna red card hivi jiulize bila red card mpira huu wa sasa kuna striker angewahi kumaliza msimu akiwa mzima?? Sasa pele alisurvive hicho kipindi1.mabeki wa sasa ni more skillful hawa wa zamangu nguvu nyingi akili kisoda ndyo maana pelle alionekana bora lakini angekutana na puyol, Bonnuci, Ramos, angeonekana kama chicharito tu huyo pelle
UN ilisema pele ndio mwanamichezo wa karne mbona mnashupalia popular votes za fifa ambazo 90% zilipigwa ulaya tu alipoishi maradonaSadly
Hata hao unaoita wataalamu wanakiri wenyewe kua hawana rekodi zozote za Pele za kuishawishi dunia.
Popular votes ilimpa Maradona ubora wake anaostahili.
Maradona ameku hasimu wa miaka mingi dhidi ya wakubwa wa Fifa. Maradona amekua akiwaita wezi na wanyonyaji. Sitegemei wakubwa hawa watakaa na kutulia kuona jina la Maradona likitawala dunia. Na Ifahamike kua regardless ya mapungufu makubwa wa hii Taasisi, bado fifa ilikia na ushawishi mkubwa sana duniani.
Hizo ni official mkuu ila friendlies jumla ana goli 92Pele goals 77 neymar 55 gaucho sijui 20+ ngoja neyma aje kuizika record ya Pele kwanza
Hahaha eti more skillful Sasa nakuweke orodha ya most skillfull central defenders na ndio pia mabeki wenye roho ngumu... Fernando couto, Marius tresor, Jose andrada, Antonio Cabrini, Jaap Stam, Gaetano scirea, Jose Antonio Camacho, Berti Vogt, Ronald Koeman, Laurent Blanc, Obdilio Varela, Giuseppe Bergoni, Dany Mc grain, Alex costacuta, Marcel desailly, Jurgen Kohler, Miguel Nadal, Andreas Brehme, John Charles, Roberto Ayala, Tony Adam's, Billy Wright, Lothar matheaus, Elias Figueroa, Alan hansen, kal-heinz schnellinger, nilton Santos, Franz Beckenbauer, Paolo Maldini, boby more, Franco baresi, Dany passarella, Ruud krol, Claudio Gentile, Giacinto Fiacheti, Djilma Santos, Jose Santa marina, Alessandro Nesta, Mathias sammer, Carlos Alberto Torres, Javier Zanetti, Billy menaul, Lilian thuram, Fernando hiero, Stephen efernberg.... Kaangalie shughuli ya Hawa watu ndio utajua.. Kuna mabeki wanauwezo wa kumfanya mshambuliaji msumbufu kuonekana wa kawaida tu..... Na ubora wako unafananishwa na Nani unacheza nae na mpinzani gani umekutananae na changamoto zipi umekutananae nazo na Kila zama inachangamoto zake.... Zama hizi hakuna mabeki wanaoweza kumfanya mchezaji aonekane wa kawaida.. Angalia Cristiano Ronaldo alikuwa akikutana na Ashley Cole basi lazima atapigana maana atawekwa mfukoni mpaka mwisho, Messi alitaka kupigana na Zanetti wa inter Millan kwa namna alivyozibitiwa hata shuti hakupiga golini...1.mabeki wa sasa ni more skillful hawa wa zamangu nguvu nyingi akili kisoda ndyo maana pelle alionekana bora lakini angekutana na puyol, Bonnuci, Ramos, angeonekana kama chicharito tu huyo pelle
UN ilisema pele ndio mwanamichezo wa karne mbona mnashupalia popular votes za fifa ambazo 90% zilipigwa ulaya tu alipoishi maradona
Hamuongelei mashirikia ya habari kma reuters yaliyosema pele hana mfano
Hamuongelei kamati ya Olympic IOC???
Ina maana kote huko pele kabebwa
ExactlyMajority walimchagua maradona kamati zikaja na jina mfukoni huoni hiyo ni international robber ya izo kamati za kijinga?