Majority gani mkuu ile ya wapiga kura kutoka ulaya pekee..... Sahivi ningeelewa maana internet iko dunia nzima ssa enzi hizo ipo kwa wazungu tu tena votes 90% zimetoka ulaya unawezaje kupima ukweli wa mamboMajority walimchagua maradona kamati zikaja na jina mfukoni huoni hiyo ni international robber ya izo kamati za kijinga?
Mbona ya hat trick 92 inasemwaZamani walikua wanatumia kigezo cha Pele kufunga magoli 12 kwenye michuano yote ya world cup. Wakaja kukutana na akina Gerd Muller wenye magoli 14 akaja Ronald De lima akavunjavunja criteria. Sasa hivi hawasemi hii kitu.
Ndio nasema enzi hizo hakuna red card hivyo walikuwa wanacheza rafu sana nikimaanisha mastriker wa enzi hizo walipata shida sio sasa hivi mtu anaogopa kadi..... Sijui unaona tofautiKuvunja mtu ndyo ubeki bora?
Pique na wenzake wanatumia akili wanacheza modern football sio hao wavunja miguu wako
Zilijaa wataalam na makocha wa timu za taifa ambao walimshuhudia pele akicheza ila hao wapiga kura wa kizungu hakuna aliyewahi kumuona pele akicheza sasa nani kati yao anafaa kuaminikaKamati zako uchwara zina role gani kwenye football mbaka zimchague mtu aliyegaragazwa vibaya?
Kwa hiyo shirikisho la wachezaji wa zamani lilipompa pele walikuwa na wenyewe propaganda za fifaunfortunately, Uongo ukiongelewa sana unaonekana ni ukweli.
Kwanza. Nimeona huko juu wanaongelea sijui Unicef sijui UN.
UN ni nani katika soka, sikuhizi UN amekua expert wa Soka duniani?.
Kama sio , jiulize ni nani wako nyuma ya UN.
Jibu ni FiFa.
Fifa waliokataa kuistaafisha Jezi nambari kumi ya maradona.
Waliogoma kumweka Maradona kwenye video game zao.
FIFA 100 is a list made by Pelé so it's obviously useless here, not to mention the criteria is questionable.
Tungalie Tuzo binafsi kati ya Pelé 5 na 5 Maradona
FIFA Player of the Century (IFFHS): Pelé [4]
FIFA Player of the Century (popular vote): Maradona [6][emoji123]
World Team of the 20th Century: Pelé and Maradona [4] [6][emoji123]
Mastercard All-Star Team: Pelé (1958, 1970) and Maradona (1986, 1990) [7][emoji123]
FIFA Silver Boot: Pelé (1958) and Maradona (1986) [7][emoji123]
Mchumba ??? Wakati alicheza mechi ya portugal mguu unavuja damu na una ogo sababu hamna substitution Enzi hizo unafkiri hawa watoto kina neymar wanawezaKumbe mpira wa pelle hakuwa na sheria 17?
Kwaiyo haukua tofauti na chandimu sio?
Kama ndyo hivyo basi ni haki yake kufikisha goal 1000 maana kuna jamaa chandimu kazi ile ya kila siku jioni mechi now ana goal 1500 hizi toka 2008 kwaiyo pelle mchumba tu japo wote wamecheza mpira usio na sheria
1. Hakuna contradictions zozote UNICEF ni branch ya umoja wa mataifa hivyo hata nikiishia kusema UN bado sijakosea maana ni UN ile ile kwahyo hakuna contradictions..... Na wao waliita wataalamu wa soka ndio wakafanya uchambuzi wamejifungia sehem wakatoka na jina la pele ndio akapewa tuzo ya mwanamichezo wa karne na akawa balozi wao tokea hapoNaomba majibu clear mkuu
1. Mbona kama unaji contradict mwenyewe kupamba mavi maua Mara unasema tuzo alipewa na UN sjui UNICEF huko ndiko kuna makocha na wachezaji walio muona?
2.Unaweza thibitisha statistically kuwa majority waliompigia kura maradona hawakumuona pelle?
3. Walipo amua kuwashindanisha kwa kura walikuwa hawana akili timamu hadi waje kubatilisha ushindi wa Diego?
4.(a)Umejuaje kuwa Jk nyerere na Jk kikwete kuwa kikwete atashinda wakishindanishwa nani kakuambia?
(b) huoni aibu kusema jk kikwete atashinda kwa opinions zako wewe bila kuonyesha fact kwa kuwashindanisha?
Huoni kuwa waliomchezea rafu walikuwa mashoga ivi uvunjwe na shawcros alafu uingie uwanjani mguu umegawanyika angeweza?
Hebu iweke hapa iyo clip anayocheza na hogo mkuu
1. Utafiti si wataalam wanaangalia statistics ama ulitaka wazunguke barabarani kuhoji watu ilihali vigezo walishaweka1.utafiti wa kujifungia huoni kuwa ni wa kupikwa?
2.mbona umeshindwa kuleta data za ulichokuwa unakiongea ina, maana wewe ni muongo?
Pele alipata fracture kabisa na alifanyiwa operation ila sahvi vikiteguka kidogo tu vinatolewa njeUnaweza kutofautisha kuvunjwa na kuteguliwa?
Mfano angevunjwa kama macarth wa Everton angeendelea?
Kura formality tu kama kura za maoni forbes au CCM ila maamuzi yanafanywa na wataalamKwani mwanzo waliruhusu kura?
Sasa ya mc carthy ni special case ila kudislocate ile kawaida tu wachezaji wengi hawawezi cku hzi ila pele beckanbauer na gunter metzer walicheza na dislocationJibu nilichoandika angevunjika kama macath angecheza?
Kwanza hata màradona Kwanza anamkataa Messi, Kwanza abebe makombe na timu ya Taifa,Kura formality tu kama kura za maoni forbes au CCM ila maamuzi yanafanywa na wataalam
Wengi wasio na utaalamu ina faida gani?? 90% walikuwa washabiki tu ila hawajui vigezo ni sawa na leo wanapiga kura ndio maana kila mwaka messi na christiano ila enzi hizo wasingeshinda mwaka 10 mfululizo hakuna kitu kma hicho ila cku hizi wataalam hawatumiki eti wanapiga kura ila wataalm wangetumika kuamua mpaka ssa xavi iniesta forlan sneijder milito etoo drogba riquelme ribery wangekuwa wameondoka na FIFA player of the year awardHuoni kuwa ni kukataa wengi kwa maslahi ya wahuni wachache wanaijiita wataalam?
Hahahahaha acha utani kina Carlos alberto mashoga???Basi itakuwa walivunjwa na mashoga
Wengi wasio na utaalamu ina faida gani?? 90% walikuwa washabiki tu ila hawajui vigezo ni sawa na leo wanapiga kura ndio maana kila mwaka messi na christiano ila enzi hizo wasingeshinda mwaka 10 mfululizo hakuna kitu kma hicho ila cku hizi wataalam hawatumiki eti wanapiga kura ila wataalm wangetumika kuamua mpaka ssa xavi iniesta forlan sneijder milito etoo drogba riquelme ribery wangekuwa wameondoka na FIFA player of the year award