Kwa dua kali na ya aina yake iliyofanywa Al Hilal asubuhi hii, wakifungwa nawapa hawara yangu mhangaike naye

Wee jamaa huipendi yanga kiasi hiki
Ashura cheupe njoo uone
 
Paka Saba (7) wamekufa kwa kitabu tu, halafu kuna mahala nimeona refa wa mchezo naye kashika filimbi na anaipa dole la furaha na kicheko Klabu ya Al Hilal.

Ewe Mungu saidia Al Hilal ishinde!
Wape masaburi yako kabisa ili ufurahi vizuri.
 
Paka Saba (7) wamekufa kwa kitabu tu, halafu kuna mahala nimeona refa wa mchezo naye kashika filimbi na anaipa dole la furaha na kicheko Klabu ya Al Hilal.

Ewe Mungu saidia Al Hilal ishinde!
Mtu anaelekea kugongewa hawara jioni hii hasa kipindi hiki cha pili
 
Ewe Mola muadilifu,anaeweza kuinusuru nafsi yake inampasa kuinusuru,na asieweza kuisaidia nafsi yake basi inampasa ajifunze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…