kigongoi
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 430
- 193
Wee jamaa huipendi yanga kiasi hikiيا رب العدل ، من يقدر أن ينصر نفسه يجب أن ينصر ، ومن لا يستطيع أن يساعد نفسه يجب أن يتعلم
Ashura cheupe njoo uone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee jamaa huipendi yanga kiasi hikiيا رب العدل ، من يقدر أن ينصر نفسه يجب أن ينصر ، ومن لا يستطيع أن يساعد نفسه يجب أن يتعلم
Wape masaburi yako kabisa ili ufurahi vizuri.Paka Saba (7) wamekufa kwa kitabu tu, halafu kuna mahala nimeona refa wa mchezo naye kashika filimbi na anaipa dole la furaha na kicheko Klabu ya Al Hilal.
Ewe Mungu saidia Al Hilal ishinde!
Kutoka chuo cha kataGenta popoma mwenye degeree ya mchongo
Kati ya hao saba umeambulia angalao mishikaki🏃🏃Paka Saba (7) wamekufa kwa kitabu tu, halafu kuna mahala nimeona refa wa mchezo naye kashika filimbi na anaipa dole la furaha na kicheko Klabu ya Al Hilal.
Ewe Mungu saidia Al Hilal ishinde!
Mtu anaelekea kugongewa hawara jioni hii hasa kipindi hiki cha piliPaka Saba (7) wamekufa kwa kitabu tu, halafu kuna mahala nimeona refa wa mchezo naye kashika filimbi na anaipa dole la furaha na kicheko Klabu ya Al Hilal.
Ewe Mungu saidia Al Hilal ishinde!
Genta bhanaPaka Saba (7) wamekufa kwa kitabu tu, halafu kuna mahala nimeona refa wa mchezo naye kashika filimbi na anaipa dole la furaha na kicheko Klabu ya Al Hilal.
Ewe Mungu saidia Al Hilal ishinde!
Kweli kabisa mkuuHata ukiwapa vya kwako mwenyewe Hilal anakufa leo
يا رب العدل ، من يقدر أن ينصر نفسه يجب أن ينصر ، ومن لا يستطيع أن يساعد نفسه يجب أن يتعلم
Ngoma imegeuka imekua taarabuAl hilal atapigwa kama ngoma 🥁🥁🥁
Iwe anataka au hataki Leo anapigwa kama ngoma
Daah dada niache tu Nina hali mbaya sana maana nilitamba vya kutosha.Ngoma imegeuka imekua taarabu
Shukrani Jaziilah [emoji120]Ewe Mola muadilifu,anaeweza kuinusuru nafsi yake inampasa kuinusuru,na asieweza kuisaidia nafsi yake basi inampasa ajifunze