Kwa dunia ya sasa gari sio mafanikio sema serikali yetu imefanya kuweka ushuru mkubwa na barabara za siasa

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Kuna mambo unaweza kuonekana una wivu na watu ila wenye wivu na nyie ni ccm kwa nini bado mnataka kujua kwa nini wana wafanya wajinga.

Swala la usafiri sio jambo la kujitafuta wala kupiga step kuwa umejua ndio umefanikiwa.

Usafiri ni kitu ambacho kwa dunia ya sasa ni lazima kama simu unaweza kuchagua wewe kama kumiliki simu.

Kutokana na serikali mbovu nyingi zinazoshindwa kuweka miundo mbinu zinafanya swala la kumiliki gari kama anasa.

Kuna mda tukipata haya tunaweza kuona sio mafanikio sababu haya kupi maisha zaidi kukusogeza eneo tu.
 
Tra,sijui nani aliwaroga,yaani gari nje ya nchi unanunua milioni 3 ushuru bandarini unaambiwa ,milioni sita maajabu matupu.
Nenda znz nunua tv used ukivujs nayo wanataka ulipie,utadhani znz ni uganda.
Tra sijui nani aliwaroga,ndiyo wanafanya watu wasimiliki ndinga lwa maushuru yao.
Hua najiuliza kwani skuli walienda somea ujinga?
 
Inategemea na aina ya gari mkuu
 
Ngoja wachambuzi waje kunogesha hili, usafiri wa umma hapa Dsm changamoto sn ..tunapambana kibishi tu. Kumiliki usafiri Tz ni ngumu kuliko nyumba pia tukiwaona wenye magari brbrn hata no A tuwape maua yao mana siyo jambo jepesi
Waulize wanapokwenda nchi za nje kibinafsi walikuonesha kuwa wao ni wajinga tu ndani ya barabara
 
Tatizo lipo kwa Viongozi Hawana, uwezo wa kuipa mapato Nchi kwa kutumia lasilimali zilizopo zaidi ya kukata Kodi kubwa kwa watu.
PiaTra, imekata kimchongo.
Gari, Nyumba sio Utajiri Hata siku Moja.
Lasimali zilizopo Tanzania, Hiii wakipewa watu Wenye Akili na maarifa, Mtazamia kama ulaya kwa Viongozi wetu Wabinafsi na wanajijari wao tu.
Msikilize Ney Wa Mitegego,
Viongozi wenu waende Ulaya na waulaya wake Tanzania,Baada ya Miaka 5, mtatamani kuzamia Kurudi Tanzania.
 
Tra,sijui nani aliwaroga,yaani gari nje ya nchi unanunua milioni 3 ushuru bandarini unaambiwa ,milioni sita maajabu matupu.
Nenda znz nunua tv used ukivujs nayo wanataka ulipie,utadhani znz ni uganda.
Tra sijui nani aliwaroga,ndiyo wanafanya watu wasimiliki ndinga lwa maushuru yao.
Hua najiuliza kwani skuli walienda somea ujinga?
SIO KOSA LAO MKUU NI CCM, UMAWAHUKUMU TRA BURE!
 
Tra,sijui nani aliwaroga,yaani gari nje ya nchi unanunua milioni 3 ushuru bandarini unaambiwa ,milioni sita maajabu matupu.
Nenda znz nunua tv used ukivujs nayo wanataka ulipie,utadhani znz ni uganda.
Tra sijui nani aliwaroga,ndiyo wanafanya watu wasimiliki ndinga lwa maushuru yao.
Hua najiuliza kwani skuli walienda somea ujinga?
Walikuwa wanasoma skuli ya mpendae
 
Ngoja wachambuzi waje kunogesha hili, usafiri wa umma hapa Dsm changamoto sn ..tunapambana kibishi tu. Kumiliki usafiri Tz ni ngumu kuliko nyumba pia tukiwaona wenye magari brbrn hata no A tuwape maua yao mana siyo jambo jepesi
Hata sisi wenye bajaj mtuheshimu.
 
Gharama ya kumiliki gari moja Tanzania kwa ulaya, Japan, USA ni sawa na kumiliki gari mbili at once.
Gari Hilo Hilo wa nje atalinunua kwa mfano milioni 30 Mtanzania the same ataliendesha kwa milioni 60.
 
Back
Top Bottom