Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Wapo mkuu waaminifu kwenye inshu za pesa, niliwahi kuishi na mwanamke, ninatabia ya kuhifadhi pesa ovyo au kuacha pesa kihasarahasara ila nilikuwa nakuta zimewekwa mahali salama na kuichukua ni mpaka nimpatue au aniombe. hivyo waaminifu upande huo wapo.Jumapili nilisahau pesa kidogo tu elfu 50 kwenye suruali yangu sasa jana jioni nimekuta shemeji yenu kaifua, mimi nikavunga, na leo ile suruali nimeitinga π
Ili kujihakikishia kama ni kweli nimesahau au laa, nakumbuka jumapili nilikuwa na elfu 80 dogo alikuwa anaumwa hivyo nikachomoa elfu 30 nikampa ampeleke hospital, ikabakia 50, sasa asubuhi zile haraka haraka zangu nikavaa suruali nyingine nikabeba na wallet waya.
Baadae nakumbuka kuna 50 yangu ninayo home, kufika home nikakuta imefuliwa, nikavunga, leo asubuhi pia nimetoka kimya ngoja nirudi jioni nione.o
Wapo mkuu, mimi wangu anajua pesa ninapowekaga, hathubutu kuchukua mpaka aombe, sembuse hiyo kufulia kama ilikuwa ndogo na akaitumia ataniambia, usikute amekutunzia ukimuuliza anakuonyesha tu, pengine naye anataka ajue kama unakumbukumbuJumapili nilisahau pesa kidogo tu elfu 50 kwenye suruali yangu sasa jana jioni nimekuta shemeji yenu kaifua, mimi nikavunga, na leo ile suruali nimeitinga π
Ili kujihakikishia kama ni kweli nimesahau au laa, nakumbuka jumapili nilikuwa na elfu 80 dogo alikuwa anaumwa hivyo nikachomoa elfu 30 nikampa ampeleke hospital, ikabakia 50, sasa asubuhi zile haraka haraka zangu nikavaa suruali nyingine nikabeba na wallet waya.
Baadae nakumbuka kuna 50 yangu ninayo home, kufika home nikakuta imefuliwa, nikavunga, leo asubuhi pia nimetoka kimya ngoja nirudi jioni nione.o
Mimi naona kichwa cha uzi kiwe:- HIVI MUME ANASHINDWA KUMUULIZA MKE WAKE.nikavunga, leo asubuhi pia nimetoka kimya ngoja nirudi jioni nione
Akishakuwa muaminifu wa hela atakuwa muaminifu wa vyoteWapo mkuu waaminifu kwenye inshu za pesa, niliwahi kuishi na mwanamke, ninatabia ya kuhifadhi pesa ovyo au kuacha pesa kihasarahasara ila nilikuwa nakuta zimewekwa mahali salama na kuichukua ni mpaka nimpatue au aniombe. hivyo waaminifu upande huo wapo.
sure mkuu.Akishakuwa muaminifu wa hela atakuwa muaminifu wa vyote
Mke wangu hachukui hata TSH 50.Jumapili nilisahau pesa kidogo tu elfu 50 kwenye suruali yangu sasa jana jioni nimekuta shemeji yenu kaifua, mimi nikavunga, na leo ile suruali nimeitinga π
Ili kujihakikishia kama ni kweli nimesahau au laa, nakumbuka jumapili nilikuwa na elfu 80 dogo alikuwa anaumwa hivyo nikachomoa elfu 30 nikampa ampeleke hospital, ikabakia 50, sasa asubuhi zile haraka haraka zangu nikavaa suruali nyingine nikabeba na wallet waya.
Baadae nakumbuka kuna 50 yangu ninayo home, kufika home nikakuta imefuliwa, nikavunga, leo asubuhi pia nimetoka kimya ngoja nirudi jioni nione.