Kwa Experience yangu ya muda mfupi kwenye "Betting" nimegundua mambo machache

Daaah
 
Betting ni kimbilio kwa vijana wasiokuwa na ajira, inahitaji mtaji mdogo, elimu ndogo ya kujua kusoma na kuandika ni mfumo usio rasmi wa kujiingizia kipato
Nikiwangaalia maafisa wengi wenye nafasi katika ofisi za umma na binafsi wanaobeti kwa siri, nadhani kwa sasa betting ni kimbilio la watu wengi.
 
Jema. Lakin kwa Mfano wale Wawili walioshinda Milioni 80 na kugawana kila moja Milioni 400, watakuwa Hawajoboa??
 
Nikiwangaalia maafisa wengi wenye nafasi katika ofisi za umma na binafsi wanaobeti kwa siri, nadhani kwa sasa betting ni kimbilio la watu wengi.
Duh mimi nilijua ni kwasisi ambao hatuna ajira, kumbe hadi maafisaπŸ€£πŸ€ΈπŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…