kingkongtz
JF-Expert Member
- Dec 28, 2019
- 1,058
- 3,613
kama hivi sindio mkuu hahahaTafuta odds chache kama 2 mpk 3 weka mpunga wa kutosha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama hivi sindio mkuu hahahaTafuta odds chache kama 2 mpk 3 weka mpunga wa kutosha
boss nisaidie mechi za leo kombe la dunia
Hizo hapoboss nisaidie mechi za leo kombe la dunia
Duuh mbet nao majanga sanaaJackpot M bet nimeshinda mechi 14 nimelipwa 13000 ni sahihi?View attachment 2423653
Sijaelewa kabisa mkuu.Duuh mbet nao majanga sanaa
Wanasemaga ukishinda pungufu unagawana hela na wengine walioshinda mechi 14 kama wew ila mara nyingi wanaandika idadi ya Uongoo ili mradi upewe hela kidogooo...!!Sijaelewa kabisa mkuu.
Wahuni tu kama betpawa si bora ukacheze jackpot Sportpesa hiyo mechi 14 si ungeambulia ata laki mbiliJackpot M bet nimeshinda mechi 14 nimelipwa 13000 ni sahihi?View attachment 2423653
Niweke mkeka wa milion 10 wakati huo ndani nimebakiza akiba ya shingapi?
Na hiyo milion 10 niliipataje? Si bora kutumia hiyo njia niliyotumia kupata hoyo 10M kuliko betting?
Anyway ila betting sometimes zina hamasa, kwenye zile jackpot watu wameshinda mpaka milion 100 huwa inachamgia sana kuwapa motivation vijana waingie mazima kwenye huu mchezo
Haaahaaaaaa,haaàaUnaongea tu
Bet biashara ya watu na wanaishi wengine ,kama huwezi achana nao , bodaboda na bet kipi cha maana? Kwangu bora wanao bet kuliko boda ambayo kila siku nguvu ya taifa inapotea kwa ajali ,by the way hii ni biashara ndo maana serikali inachukua kodi , napendekeza kubeti iwe njia mbadala kwa watu wetu jipatia kipato kama sio kukosa , acha kila mtu afuate njia zake ili mradi hakuna uvunjifu wa sheria kuliko biashara ya bodabodaNiweke mkeka wa milion 10 wakati huo ndani nimebakiza akiba ya shingapi?