Kwa Experience yangu ya muda mfupi kwenye "Betting" nimegundua mambo machache

Pole pia namshukuru MUNGU cjawahi fanya hiyo mishe yani sinaga mzuka nayo kabisa hapa nlipo nampango wa kuwa wakala wa kubeti yani ninunue mashine nipige pesa habari ya mimi kubeti .... hapana
 
Jackpot M bet nimeshinda mechi 14 nimelipwa 13000 ni sahihi?
 
Sijaelewa kabisa mkuu.
Wanasemaga ukishinda pungufu unagawana hela na wengine walioshinda mechi 14 kama wew ila mara nyingi wanaandika idadi ya Uongoo ili mradi upewe hela kidogooo...!!
 
Andikeni mtakavyoandika,

1. Hakuna mbinu/technic nzuri ya kushinda betting (ni kubahatisha tu).

2. Baada ya muda betting lazima ikufanye kuwa mrahibu (addicted)

3. Betting haipaswi kuwa chanzo cha mapato, unatakiwa kuwa na chanzo cha mapato betting inakuwa starehe tu.

4. Maamuzi ni yako, lakini usitegemee kutoka kimaisha kwa sababu ya betting. Wanaoliwa ni wengi ndio maana makampuni ya betting yanachipuka na kutajirika kila mara.

Note: Kama kuchomeka USB Flash tu kwenye PC ambayo ina Probability ya 1/2 unakosea, unawezaje kuwa na uhakika wa mchezo ambao una probability ya 1/12?

Mwisho kabisa wadogo zangu, Bet responsibly.
 

Stake what you can afford to lose!!
Betting watu inatupea pesa tunasongesha life kila uchwao mkuu
 
Mimi naomba mjuzi anipe elimu kidogo tu, hivi hizi number mfano ukiona 5/3 au 1/4 zinamaanisha nini? na je ni kweli washindi huwa wanalipwa na mchezo ni nini hasa kubashiri tu mshindi sasa wakitokea watu wengi wamebashiri sawa inakuwaje. Msione nauliza maswali ya kijinga nataka kujifunza tu japo sina nia wala kuingia huko mambo ya betting basi nataka elimu tu.
 
Kuna muda huwa napita maeneo nawaona vijana wakowako, tena mibonge bonge mingine. Saa nne, tano mtu yupo kibarazani. Kumbe betting anasubiri mida ifike
 
You will never be rich by speculation,

Mtu anayebet anaweza kufanikiwa Kula hela nyingi, some reason huwa haiendi kwenye uwekezaji endelevu
 
Bet biashara ya watu na wanaishi wengine ,kama huwezi achana nao , bodaboda na bet kipi cha maana? Kwangu bora wanao bet kuliko boda ambayo kila siku nguvu ya taifa inapotea kwa ajali ,by the way hii ni biashara ndo maana serikali inachukua kodi , napendekeza kubeti iwe njia mbadala kwa watu wetu jipatia kipato kama sio kukosa , acha kila mtu afuate njia zake ili mradi hakuna uvunjifu wa sheria kuliko biashara ya bodaboda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…