Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Ameweka kubadilisha sura ya siasa katika nchi yetu. Upinzani anauonyesha unelectable hamasa hata kwa wale walikata tamaa ya kupiga kura, hasa kundi la vijana. Haiku’s na maana tena ya kuwa na upinzani kwakua upinzani ulisha minywa mpaka kupoteza nguvu.
Lissu amerudisha hamasa katika siasa za upinzani. Watoto na wajukuu zetu huko mbele watapenda kusoma na kumuelewa Mwanaume aliyetoka Singida Mashariki alipitia changamoto gani mpaka kuleta mabadiliko haya.
Kilichonivutia kuwa na wazo la kuyasoma haya kwenye kitabu ni jinsi alivyopanda mtumbwi ili kufika Ukerewe baada ya Mkuu wa Wilaya kukata za kivuko kisifanye kazi kwa kisingizio cha ubovu.