Kwahiyo itakuwa kila anayegaragazwa anashauliwa kutunga kitabu chenye changamoto za kugaragazwa??Ameweka kubadilisha sura ya siasa katika nchi yetu. Upinzani anauonyesha unelectable hamasa hata kwa wale walikata tamaa ya kupiga kura, hasa kundi la vijana. Haiku’s na maana tena ya kuwa na upinzani kwakua upinzani ulisha minywa mpaka kupoteza nguvu.
Lissu amerudisha hamasa katika siasa za upinzani. Watoto na wajukuu zetu huko mbele watapenda kusoma na kumuelewa Mwanaume aliyetoka Singida Mashariki alipitia changamoto gani mpaka kuleta mabadiliko haya.
Kilichonivutia kuwa na wazo la kuyasoma haya kwenye kitabu ni jinsi alivyopanda mtumbwi ili kufika Ukerewe baada ya Mkuu wa Wilaya kukata za kivuko kisifanye kazi kwa kisingizio cha ubovu.
Alafu kitasaidia nini?Kwahiyo itakuwa kila anayegaragazwa anashauliwa kutunga kitabu chenye changamoto za kugaragazwa??
Haaahaaa. Hawa jamaa wamechanganyikiwaaAlafu kitasaidia nini?
Atakufa Mch kamtikila. Bila ya kupata cho choteAmeweka kubadilisha sura ya siasa katika nchi yetu. Upinzani anauonyesha unelectable hamasa hata kwa wale walikata tamaa ya kupiga kura, hasa kundi la vijana. Haiku’s na maana tena ya kuwa na upinzani kwakua upinzani ulisha minywa mpaka kupoteza nguvu.
Lissu amerudisha hamasa katika siasa za upinzani. Watoto na wajukuu zetu huko mbele watapenda kusoma na kumuelewa Mwanaume aliyetoka Singida Mashariki alipitia changamoto gani mpaka kuleta mabadiliko haya.
Kilichonivutia kuwa na wazo la kuyasoma haya kwenye kitabu ni jinsi alivyopanda mtumbwi ili kufika Ukerewe baada ya Mkuu wa Wilaya kukata za kivuko kisifanye kazi kwa kisingizio cha ubovu.
Usifikiri kila mmoja anawaza uteuzi kama wewe kisha awe kinyume na Lisu kwa njia haramu za kishetani, watanzania wenye Akili timamu hawawezi kuishi kwa kukariri zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCM, wanaishi kwa kujua CCM inawatesa wapinzani na ipo siku Nchi itapata uhuru toka kwa Mkoloni mweusiHuyo hawezi kuandika contents za manufaa -- anaweza tu ile fani yake ya uzushi, matusi, kejeli, pumba, uongo, unafiki, kujikweza, English kiduchu na rumors za ^Nairobi Hosp. then he was quickly airlifted to India; he's in a coma.^
Taifa la waungwana ni kuwabambikia kesi watu? Ungwana ni kufunga biashara, Account, ? Kufunga biashara za watu kuwachukulia mali zao ni ungwana wa aina gani huo? Ukithubutu kuchoma kitabu kilichosheheni kero za wananchi ujue utapata uchizi hapo hapoOle wake eti aandike na kitu inaitwa ameishi maisha ya uimbizi!!! Hicho kitabu nitanunua Kwa Pesa yangu na nitajirekodi nikikiwasha Moto Kwa kitendo cha kuwaongoea Taifa la waungwana
Usifikiri kila mmoja anawaza uteuzi kama wewe kisha awe kinyume na Lisu kwa njia haramu za kishetani, watanzania wenye Akili timamu hawawezi kuishi kwa kukariri zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCM, wanaishi kwa kujua CCM inawatesa wapinzani na ipo siku Nchi itapata uhuru toka kwa Mkoloni mweusi
Tafuta title nyingine ya kumpa huyo mbakaji wa demokrasiaMr President
Tafuta title nyingine ya kumpa huyo mbakaji wa demokrasia
Unaniheshimu? Heshima ya mbwa yafaa nn kwa mwanadamu??Usirudie tena kunijibu, sawa!??? Nakuheshimu
Unaniheshimu? Heshima ya mbwa yafaa nn kwa mwanadamu??