Kwa faida ya Yanga princes twende na Prisca Kishamba, atavutia wanawake wengi

Kwa faida ya Yanga princes twende na Prisca Kishamba, atavutia wanawake wengi

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,154
Reaction score
17,491
Prisca Kishamba ni mwanamke pekee anaegombea ujumbe wa kamati ya utendaji wa timu ya Yanga. Kwa heshima ya Rais Samia, wanawake na timu ya wanawake ya Yanga tumchague huyu binti kuwa kwenye uongozi wa Yanga.

Wagombea wote ni wazuri sana lakini Kishamba anaweza kuongeza idadi ya wanawe kuwa wanachama, mashabiki na viongozi Yanga.

Ni maoni yangu
 
Back
Top Bottom