God Fearing Person
JF-Expert Member
- Apr 5, 2020
- 767
- 2,570
Umasikini ni kitu hatari Sana yaani nimenunua gari ya-kawaida lakini huku mtaani watu wananipa heshima kubwa Sana.
Hii Chuma ni normal kwa kijana yoyote Mpambanaji asiyeendekeza Ngono na Pombe anaweza nunua tu. Sasa Kama mnashangaa hivi je ningenunua BIMA ingekuaje?
Watoto wa kike mtapewa Ngoma bure, acheni shobo na watu kama sisi ambao tupo 2040 na sio 2022