Kwa gari hii niliyonunua jinsi watu wanavyonipa heshima, sasa sijui ingekuaje ningenunua BIMA!

Umasikini ni kitu hatari Sana
yaani nimenunua gari ya-kawaida lakini huku mtaani watu wananipa heshima kubwa Sana

Hii Chuma ni normal kwa kijana yoyote Mpambanaji asiyeendekeza Ngono na Pombe anaweza nunua tu

Sasa Kama mnashangaa hivi je ningenunua BIMA ingekuaje ?

Watoto wa kike mtapewa Ngoma bure acheni shobo na watu Kama sisi ambao tupo 2040 na sio 2022

View attachment 2427237
Kama kiuana NIVYEMA kuvuta chuma mapema ,
Nlinunua FANcargo mwaka Jana nkiwa na 23, hom hawakunielewa ila mtaa ulitia salute nyingi,
Si nijambo Zur kua na kipando jap Cha bei rahis.
 
Pamoja na kwamba hiyo sio gari kabisa!,
Bali ni chombo cha usafiri tu, tena cha kawaida sana!.....

Kwako wewe inaonyesha bado ni mashikolo mageni!

Bado una tongotongo za ( utu kuja!)__ wise word...tenh teh!....sijaweka ushago...ili kupunguza ukali wa hilo neno........checks & balance.
 
Umasikini ni kitu hatari Sana
yaani nimenunua gari ya-kawaida lakini huku mtaani watu wananipa heshima kubwa Sana

Hii Chuma ni normal kwa kijana yoyote Mpambanaji asiyeendekeza Ngono na Pombe anaweza nunua tu

Sasa Kama mnashangaa hivi je ningenunua BIMA ingekuaje ?

Watoto wa kike mtapewa Ngoma bure acheni shobo na watu Kama sisi ambao tupo 2040 na sio 2022

View attachment 2427237
Yaani ghetto tu linanipa heshima sijui itakuwaje nikinunua na "BIMA".
 
Umasikini ni kitu hatari Sana
yaani nimenunua gari ya-kawaida lakini huku mtaani watu wananipa heshima kubwa Sana

Hii Chuma ni normal kwa kijana yoyote Mpambanaji asiyeendekeza Ngono na Pombe anaweza nunua tu

Sasa Kama mnashangaa hivi je ningenunua BIMA ingekuaje ?

Watoto wa kike mtapewa Ngoma bure acheni shobo na watu Kama sisi ambao tupo 2040 na sio 2022

View attachment 2427237
Unamaanisha BIMA ya NHIF au JUBILEE?
 
Hiyo heshima unayopewa hapo mtaani haitoshi ukija huku kijijini kwetu Namanyere utapewa mke bure tena mtoto wa balozi wa nyumba kumi
 
Umasikini ni kitu hatari Sana
yaani nimenunua gari ya-kawaida lakini huku mtaani watu wananipa heshima kubwa Sana

Hii Chuma ni normal kwa kijana yoyote Mpambanaji asiyeendekeza Ngono na Pombe anaweza nunua tu

Sasa Kama mnashangaa hivi je ningenunua BIMA ingekuaje ?

Watoto wa kike mtapewa Ngoma bure acheni shobo na watu Kama sisi ambao tupo 2040 na sio 2022

View attachment 2427237
Mkuu hongera sana, naona umeamua kununua Baby walker, vipi wife anakaribia kujifungua nini!!??
 
Pamoja na kwamba hiyo sio gari kabisa!,
Bali ni chombo cha usafiri tu, tena cha kawaida sana!.....

Kwako wewe inaonyesha bado ni mashikolo mageni!

Bado una tongotongo za ( utu kuja!)__ wise word...tenh teh!....sijaweka ushago...ili kupunguza ukali wa hilo neno........checks & balance.
Pamoja na kwamba iyo sio gari ""πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ forum nyoko
 
Umasikini ni kitu hatari Sana yaani nimenunua gari ya-kawaida lakini huku mtaani watu wananipa heshima kubwa Sana.

Hii Chuma ni normal kwa kijana yoyote Mpambanaji asiyeendekeza Ngono na Pombe anaweza nunua tu.
Sasa Kama mnashangaa hivi je ningenunua BIMA ingekuaje?

Watoto wa kike mtapewa Ngoma bure, acheni shobo na watu Kama sisi ambao tupo 2040 na sio 2022

View attachment 2427237
Ngono ya nyoko
 
Back
Top Bottom