History yake fupiMimi naomba kujua from 2001 alikuwa wapi hadi akaibukia u-RAS 2020
View attachment 3282712
History yake fupiMimi naomba kujua from 2001 alikuwa wapi hadi akaibukia u-RAS 2020
View attachment 3282712
Ana uwezo gani?Unaujua uwezo wake wa kazi au ni kelele zetu zile zile za kitanzania?.
Kazi zake zinakwenda kwa mujibu ya vigezo alivyopewa na waajiri wake. Haya malalamiko yetu ambayo pengine yanatokana na chuki zetu binafsi ni sifa ya watanzania, huwa fitina inamrudia mhusika.Ana uwezo gani?
Unajua majukumu ya unyeti wa nafasi ya gavana?
Sheria ya benki kuu imesema Ili uteuliwe kuwa Gavana wa benki kikuu unatakiwa uwe na degree ya economics, finance, banking, au LawAna uwezo gani?
Unajua majukumu ya unyeti wa nafasi ya gavana?
siyo necessarily ni bora kuliko graduate wa BA Economics
Huko Serikalini wamejaa wahitimu wa Mzumbe...Anzia na Chief Hangaya....Halafu yule CPA al-maarufu majira haya, sio mhitimu wa IDM kweli
![]()
Shida tukitoaga ushauri humu tunaonekana tuna wivu mara hamnazo haya sasa wapambane na hali zao.Huu unaweza kuwa uzi Bora wa Robo ya kwanza ya mwaka kwa 2025
zinaitwa koneksheniShida tukitoaga ushauri humu tunaonekana tuna wivu mara hamnazo haya sasa wapambane na hali zao.
Tutuba hastahili kuwa hata Katibu Mkuu. Ndo matokeo ya kupeana vyeo kwa kujuana na kuteua vilaza kimkakati ili watu wapige mahela.
Nchi hii inasikitisha sana ndugu yangu.zinaitwa koneksheni
Una pwenti. Baada ya nchi kuongozwa na wenye elimu za kuungaunga, unategemea nini? Siku hizi, hutakiwi kuwa na elimu wala ujuzi bali uwe tayari kugeuzwa au kujigeuza chaawa.Kwa miaka mingi sana, nimekuwa mfuatiliaji wa CV za Magavana wa Benki Kuu za nchi mbalimbali duniani.
Katika ufuatiliaji wangu, miaka yote kwenye mataifa mbalimbali, Magavana wa Benki Kuu wamekuwa wakiteuliwa wabobezi wa masuala ya Uchumi , Fedha au Sheria na wenye uzoefu wa kufanya kazi katika eneo la uchumi ndani na nje ya nchi zao. Pia wenye uzoefu wa kufanya kazi kwenye Taasisi mbalimbali za kifedha zenye historia ya kufanya vizuri kwenye masuala ya Fedha.
Kwenye mataifa mbaimbali, nafasi ya Gavana wa Benki Kuu inahusisha kuteuliwa watu wenye PhD katika masuala ya Uchumi, Fedha na Biashara au Sheria. Hata kama asipokuwa na PhD basi anapaswa kuwa mtu mwenye rekodi ya outstanding performance kwenye masuala ya Fedha, Uchumi na Sheria.
Kwa utafiti wangu mdogo, haya hayafanyiki kwa bahati mbaya. Gavana wa Benki Kuu anapaswa kuwa kichwa cha nchi kwenye suala nyeti la uchumi. Anapaswa kuwa mshauri wa mwisho pale nchi inapokuwa kwenye crisis yeyote ya kiuchumi.
kwenye kufanya haya anatakiwa awe mbobezi sana kwenye masuala ya uchumi. Anatakiwa kuwa na exposure kubwa sana ya kimataifa na kitaaluma katika masuala ya kiuchumi.
Nakumbuka wakati Emmanuel Tutuba anateuliwa kuwa Gavana wa Benki Kuu niliwahi toa maoni yangu kuwa ule haukuwa uteuzi sahihi.
Kwa haya matokeo ya shilingi yetu kufanya vibaya zaidi nadhani sasa niko sahihi nikisema uteuzi wa Tutuba kuwa Gavana wa Benki Kuu haukuwa sahihi. Ni bahati mbaya sana mamlaka za Uteuzi nchi hii hazihojiwi kutokana na kuwa na Katiba mbovu.
Angalieni wenyewe biography kwa kifupi za Gavana wetu wa Benki Kuu alafu linganisha na Magavana wa Mataifa mengine.
Hii ndo Bio ya Gavana wetu Tutuba
👇- Amesoma Diploma Mzumbe na Master kwenye chuo hiko tena kipindi kinachojulikana kuwa Chuo hiko hakikuwa Chuo chenye hadhi ya Chuo Kikuu hata kwa Tanzania. Zaidi kafanya kazi public sector tu tena Tanzania.
View attachment 3282699
Hii ndo Bio ya Gavana wa Benki Kuu Kenya👇
View attachment 3282700
Hii ndo Bio ya Gavana wa Benki Kuu Uganda👇
View attachment 3282701
Hii ndo Bio ya Gavana wa Benki Kuu ya Marekani. Hana PhD ya Uchumi ila angalia rekodi yake ya utendaji kwenye sekta ya Umma na sekta binafsi hasa kwenye firms zinazotambulika vizuri Marekani kwenye masuala ya Fedha na Mitaji👇
View attachment 3282704
Mwisho.
Ni hitimisho langu kuwa Tanzania tupambane sana kupata Katiba Mpya maana tutapata watu wasiostahili kwenye nafasi za juu hadi tutajikuta tunazikwa kabisa kimaendeleo na Kiuchumi.
Daaah😅😅😅😅😀😀 Utaskia mchumi mchamachama chawa, anakwambia "it is our strategy to attract exports, since foreign countries will be attracted to purchase from here, worry out...after some times we will build it back easily"
Anameza kidogo Safari baridi, sindikiza na nyama choma kipande. Kisha My aim is to use disruptive methods and ignore some traditional economics.
Bia zikikolea, fvck balance of payments, trade whatever....inflation...subiri kidogo sisi tutatwanga bei elekezi mpaka kwenye kuku wa broiler hahah anyway tulikosea kidogo kuagiza kuku
![]()
PreGE2025 - Heche: Serikali ya Samia Iliagiza Mayai, Nyama na Vipapatio vya Kuku kutoka Marekani kwa Dola Milioni 24.8
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, John Heche amesema Serikali ya CCM kupitia Rais Samia mwaka jana iliagiza Mayai, Nyama na Vipapatio vya Kuku kutoka Marekani kwa Dola Milioni 24.8 Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na...www.jamiiforums.com
Cheki umuhimu wa kuwa mbobezi, wasaidizi kufahamu unguli wa bosi wao, bosi anayeweza kuelewa ushauri akaongezea na chake, pia kuonesha kukibeba cheo cha u gavana kwa umahiri
Alafu mnategemea miujiza kwenye maendeleoCv haina exposure kabisa.
TISSHistory yake fupi
Waokoa jahazi kwa kumtuma safari hii Naibu gavana katika mkutano wa mwaka wa magavana wa benki kuu ambao ni wajumbe wa Bodi ya AfDB Benki ya Maendeleo ya Afrika kama wawakilishi wa nchi yao yenye mtaji ktk AfDB
ebu tuambie majukumu ya gavana ni yapiAna uwezo gani?
Unajua majukumu ya unyeti wa nafasi ya gavana?
Cheki umuhimu wa kuwa mbobezi, wasaidizi kufahamu unguli wa bosi wao, bosi anayeweza kuelewa ushauri akaongezea na chake, pia kuonesha kukibeba cheo cha u gavana kwa umahiri
View: https://m.youtube.com/watch?v=zBNik_gStH8
Hotuba ya gavana wetu ilikuwa nyepesi ili kwenda na viwango vyake gavana ambavyo wasaidizi wake walishavibaini
View: https://m.youtube.com/watch?v=qNHGSLrsgII
Hotuba ya gavana wa banki kuu ya Kenya inavutia imejaa mada nzito. Wasaidizi walioandaa hotuba na gavana wanaonekana kuwa na viwango vinavyokaribiana.
Annual Meetings 2022: Governor Statement, Zambia
View: https://m.youtube.com/watch?v=mLn-XyRbatA