Kennedy
Platinum Member
- Dec 28, 2011
- 62,832
- 77,037
πππππππππ€£π€£π€£π€£ππππUnapiga Mshono Unafumuka PooWazee wa masomo ya jioni
πππππππππ€£π€£π€£π€£ππππUnapiga Mshono Unafumuka PooWazee wa masomo ya jioni
Mimi naomba kujua from 2001 alikuwa wapi hadi akaibukia u-RAS 2020
View attachment 3282712
Janja Janja Nyingi Sana Bongo, Ras Simba Lazima Ampige TutionHaipo duniani zaidi ya hiki kipandeView attachment 3283196
NAKAZIAKigezo kikubwa uwe ni mwana CCM na uko tayari kumtaja rais kwa kila kitu
CCM wametuharibia sana hili Taifa. Hiki chama wakitolewa madarakani wanastahili kufutwa kabisa.Kama kawaida tena, ujinga wa CCM.
Mtu hana international exposure yeyote unampa licheo likubwa la ugavana halafu unategemea matokeo chanya.
Sio kila kazi inahitaji Kada wa Chama au chawa wa fulani, kazi nyingine zinahitaji international exposure, career achievement in decision making positions nk.
Ndio yale yale anaibuka mtu na kuwaambia graduates waende VETA ilihali hajawahi kuset mfumo wowote kusaidia/kulinda ajira za hao graduate baada ya graduation.
Hoja kwa Hoja na siyo MATUSI....Kwa upumbavu ulionao sikushangaa kuandika huu uchafu uliooza
Ndiyo UkweliTuseme magavana wa benki kuu za Africa mashariki wakiwa na kikao wa kwetu asiende?
Kingine uwe ndiyo mzee. Ukiambiwa chota Bil 5 leta hapa hata hukatai unachota na kuwapelekea tu wakajineemeshe na familia zao na zingine zika fund uchaguzi mkuu kukibeba chama chao.NAKAZIA
Kuna mdau kasema hapa ni connection ya Makamu wa Rais kwa sababu ni home boy wake Kigoma line.Jamaa stakuwa na kamzizi kakali. Labda atakuwa alisoma na Maza hapo Mzumbe.... si Maza aliingia pale kama Mature...!!
Kuna mdau kasema hapa ni connection ya Makamu wa Rais kwa sababu ni home boy wake Kigoma line.
Nimemuelewa kwa sababu Mpango alivyotoka Uwaziri wa Fedha it seems ndo aliwapeleka huyu jamaa na Mwigulu pale Hazina. Baadae akamshawishi Samia ampeleke jamaa BOT.
CCM ni kujuana na kutengenezeana ulaji na madili tu. Huyu wawemweka pale kama boshen tu it seems ili maamuzi yote wafanye wao.
Hili Watalifanyia KaziBado Gavana hajapewa udaktari wa heshima kutoka MU..
CCM wanatukosea sana.Ok. Yaani ni sawa na kumpa Mradi wa barabara Mhitimu wa VETA badala ya Engineer.
Nchi inaongozwa na watu janja janja sana hiiπJanja Janja Nyingi Sana Bongo, Ras Simba Lazima Ampige Tution
Kwa miaka mingi sana, nimekuwa mfuatiliaji wa CV za Magavana wa Benki Kuu za nchi mbalimbali duniani.
Katika ufuatiliaji wangu, miaka yote kwenye mataifa mbalimbali, Magavana wa Benki Kuu wamekuwa wakiteuliwa wabobezi wa masuala ya Uchumi , Fedha au Sheria na wenye uzoefu wa kufanya kazi katika eneo la uchumi ndani na nje ya nchi zao. Pia wenye uzoefu wa kufanya kazi kwenye Taasisi mbalimbali za kifedha zenye historia ya kufanya vizuri kwenye masuala ya Fedha.
Kwenye mataifa mbaimbali, nafasi ya Gavana wa Benki Kuu inahusisha kuteuliwa watu wenye PhD katika masuala ya Uchumi, Fedha na Biashara au Sheria. Hata kama asipokuwa na PhD basi anapaswa kuwa mtu mwenye rekodi ya outstanding performance kwenye masuala ya Fedha, Uchumi na Sheria.
Kwa utafiti wangu mdogo, haya hayafanyiki kwa bahati mbaya. Gavana wa Benki Kuu anapaswa kuwa kichwa cha nchi kwenye suala nyeti la uchumi. Anapaswa kuwa mshauri wa mwisho pale nchi inapokuwa kwenye crisis yeyote ya kiuchumi.
kwenye kufanya haya anatakiwa awe mbobezi sana kwenye masuala ya uchumi. Anatakiwa kuwa na exposure kubwa sana ya kimataifa na kitaaluma katika masuala ya kiuchumi.
Nakumbuka wakati Emmanuel Tutuba anateuliwa kuwa Gavana wa Benki Kuu niliwahi toa maoni yangu kuwa ule haukuwa uteuzi sahihi.
Kwa haya matokeo ya shilingi yetu kufanya vibaya zaidi nadhani sasa niko sahihi nikisema uteuzi wa Tutuba kuwa Gavana wa Benki Kuu haukuwa sahihi. Ni bahati mbaya sana mamlaka za Uteuzi nchi hii hazihojiwi kutokana na kuwa na Katiba mbovu.
Angalieni wenyewe biography kwa kifupi za Gavana wetu wa Benki Kuu alafu linganisha na Magavana wa Mataifa mengine.
Hii ndo Bio ya Gavana wetu Tutuba
π- Amesoma Diploma Mzumbe na Master kwenye chuo hiko tena kipindi kinachojulikana kuwa Chuo hiko hakikuwa Chuo chenye hadhi ya Chuo Kikuu hata kwa Tanzania. Zaidi kafanya kazi public sector tu tena Tanzania.
View attachment 3282699
Hii ndo Bio ya Gavana wa Benki Kuu Kenyaπ
View attachment 3282700
Hii ndo Bio ya Gavana wa Benki Kuu Ugandaπ
View attachment 3282701
Hii ndo Bio ya Gavana wa Benki Kuu ya Marekani. Hana PhD ya Uchumi ila angalia rekodi yake ya utendaji kwenye sekta ya Umma na sekta binafsi hasa kwenye firms zinazotambulika vizuri Marekani kwenye masuala ya Fedha na Mitajiπ
View attachment 3282704
Mwisho.
Ni hitimisho langu kuwa Tanzania tupambane sana kupata Katiba Mpya maana tutapata watu wasiostahili kwenye nafasi za juu hadi tutajikuta tunazikwa kabisa kimaendeleo na Kiuchumi.
1. Waziri wa Fedha na Gavana wa BOT wote kwa pamoja Wana mchango wao kwenye suala hili, pamoja na Wataalamu wengine wa Uchumi, ikiwemo na TISS nao hawawezi kabisa kukwepa kuhusishwa na jambo hili.Unamsingizia tu haya mambo aulizwe aliyeforce hela mpya ziprintiwe zikiwa na saini yake..
There is no Meritocracy in Tanzania and the rest of Africa. Nepotism is the best criteria for Appointment of Government Officials in this country.Afisa tu hapo Wizara ya Fedha. Alipanda hadi kuwa Kamishna ya Bajeti kama sikosei vyeo ambavyo vinajulikana vya kupeana tu ili unyooshe vizuri masuala ya Wanasiasa hasa wizi. Baadae alikuwa Katibu Mkuu kabisa.
Pathetic Nation.
Ndo mana tunatakiwa tuwalinde CHADEMA kwa wivu mkubwa sana wanavyopambania Katiba Mpya.Bila shaka hii ndiyo itakuwa sababu ya msingi ya huyo Mheshimiwa kupewa hiyo nafasi. Yaani amewekwa kama picha tu huku maamuzi mengi ya kifedha yakifanywa na wajuaji akina Lameck.
Na hapa ndipo umuhimu wa kuikataa katiba ya hovyo ya mwaka 1977 unapo onekana! Rais amepewa mamlaka makubwa kupitiliza, na ambayo hayahojiwi na mtu yeyote yule!!
Halafu ni ujinga wa hali ya juu kwenye karne hii ya 21 kwa nchi inayojipambanua kama nchi ya kidemokrasi, kuendelea kuikumbatia katiba mbovu na inayompa Rais wa nchi mamlaka ya Kifalme.
TISS ndugu yangu wamelifelisha sana hili Taifa. Ile taasisi imejaa wajinga na wapuuzi hadi initially hasira.Kwa kiasi kikubwa Sana kuna Ukweli kuhusu suala hili. Lakini wa kulaumiwa siyo huyo Gavana peke yake, wapo Watu wengi waliochangia hali hii kutokea.
1. Waziri wa Fedha na Gavana wa BOT wote kwa pamoja Wana mchango wao kwenye suala hili, pamoja na Wataalamu wengine wa Uchumi, ikiwemo na TISS nao hawawezi kabisa kukwepa kuhusishwa na jambo hili.
Mamlaka za Ujasusi kwenye nchi zingine za wenzetu ndio nguzo kuu kabisa za Kuendesha Chumi za Nchi zao, hususani kwenye masuala ya ECONOMIC ESPIONAGE sambamba na kudhibiti masuala yote kabisa ya Uhujumu Uchumi wa Nchi husika.
Wapo Watu wengi sana wanapaswa wawe held accountable kwenye suala hili, siyo Gavana peke yake Wala siyo Waziri wa Fedha peke yake, hata Rais wa nchi naye pia anahusika kwenye suala hili. Si hivyo tu, hata Mamlaka za Ujasusi Kama vile TISS pia nao wanahusika kwenye suala hili.acha chuki zako? ambaye anatakiwa alaumiwe ni waziri wa fedha sio gavana..kingine kuongoza ni karama ya mtu binafsio sio elimu
CCM wanainajisi sana Tanzania. Ni masikitika makuuSiku hizi ukiwa lichawa sugu tu unakuwa umepata tiketi ya kupewa nyadhifa usije kushangaa siku jitu la ovyo kama mwijaku likawa DGIS
Kweli kabisa. Hivi anawezaje kuteua mtu wa namna hii kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Taifa?Wapo Watu wengi sana wanapaswa wawe held accountable kwenye suala hili, siyo Gavana peke yake Wala siyo Waziri wa Fedha peke yake, hata Rais wa nchi naye pia anahusika kwenye suala hili.