Kwa Gavana tuliyenaye, sikushangaa nilipoona habari ya shilingi ya Tanzania kufanya vibaya zaidi Duniani

Hii nchi ina utani sana yani mtu katoka kuwa RAS huko hadi kuwa gavana BOT? Smh

Benno Ndulu and Balali are turning in their graves. Huyu Tutuba hawezi kuwa hata mbeba chai wao.

Ni elimu za hapa na pale from top-bottom.
Ni masikitiko makuu mkuu Bufa
 
Wapi imesemwa kazi ya gavana ni kupandisha thamani ya hela?

Umeishia darasa la ngapi?
basi sio kazi yake acha kutoa shutuma, na pia ni vema ukapata important guide y uchumi kabla ya kumrushia mtu shutuma
 
Kwa miaka mingi sana, nimekuwa mfuatiliaji wa CV za Magavana wa Benki Kuu za nchi mbalimbali duniani.

Katika ufuatiliaji wangu, miaka yote kwenye mataifa mbalimbali, Magavana wa Benki Kuu wamekuwa wakiteuliwa wabobezi wa masuala ya Uchumi , Fedha au Sheria na wenye uzoefu wa kufanya kazi katika eneo la uchumi ndani na nje ya nchi zao. Pia wenye uzoefu wa kufanya kazi kwenye Taasisi mbalimbali za kifedha zenye historia ya kufanya vizuri kwenye masuala ya Fedha.

Kwenye mataifa mbaimbali, nafasi ya Gavana wa Benki Kuu inahusisha kuteuliwa watu wenye PhD katika masuala ya Uchumi, Fedha na Biashara au Sheria. Hata kama asipokuwa na PhD basi anapaswa kuwa mtu mwenye rekodi ya outstanding performance kwenye masuala ya Fedha, Uchumi na Sheria.

Kwa utafiti wangu mdogo, haya hayafanyiki kwa bahati mbaya. Gavana wa Benki Kuu anapaswa kuwa kichwa cha nchi kwenye suala nyeti la uchumi. Anapaswa kuwa mshauri wa mwisho pale nchi inapokuwa kwenye crisis yeyote ya kiuchumi.

kwenye kufanya haya anatakiwa awe mbobezi sana kwenye masuala ya uchumi. Anatakiwa kuwa na exposure kubwa sana ya kimataifa na kitaaluma katika masuala ya kiuchumi.

Nakumbuka wakati Emmanuel Tutuba anateuliwa kuwa Gavana wa Benki Kuu niliwahi toa maoni yangu kuwa ule haukuwa uteuzi sahihi.

Kwa haya matokeo ya shilingi yetu kufanya vibaya zaidi nadhani sasa niko sahihi nikisema uteuzi wa Tutuba kuwa Gavana wa Benki Kuu haukuwa sahihi. Ni bahati mbaya sana mamlaka za Uteuzi nchi hii hazihojiwi kutokana na kuwa na Katiba mbovu.

Angalieni wenyewe biography kwa kifupi za Gavana wetu wa Benki Kuu alafu linganisha na Magavana wa Mataifa mengine.

Hii ndo Bio ya Gavana wetu Tutuba
👇- Amesoma Diploma Mzumbe na Master kwenye chuo hiko tena kipindi kinachojulikana kuwa Chuo hiko hakikuwa Chuo chenye hadhi ya Chuo Kikuu hata kwa Tanzania. Zaidi kafanya kazi public sector tu tena Tanzania.
View attachment 3282699

Hii ndo Bio ya Gavana wa Benki Kuu Kenya👇
View attachment 3282700

Hii ndo Bio ya Gavana wa Benki Kuu Uganda👇
View attachment 3282701

Hii ndo Bio ya Gavana wa Benki Kuu ya Marekani. Hana PhD ya Uchumi ila angalia rekodi yake ya utendaji kwenye sekta ya Umma na sekta binafsi hasa kwenye firms zinazotambulika vizuri Marekani kwenye masuala ya Fedha na Mitaji👇
View attachment 3282704

Mwisho.
Ni hitimisho langu kuwa Tanzania tupambane sana kupata Katiba Mpya maana tutapata watu wasiostahili kwenye nafasi za juu hadi tutajikuta tunazikwa kabisa kimaendeleo na Kiuchumi.
Cv, CV. Hao wenye CV zilishiba wameifanyia nini cha maana nchi hii? Wengi wao ni mafisadi
tu. Wizara ya Fedha ambayo Gavana yupo chini yake inaongozwa na Waziri mwenye taaluma ya Uchumi na mambo ya fedha tena mwenye Cv iliyoshiba. Ingekuwa CV iliyoshiba inasaidia, angeweza kusaidia shilingi isiporomoke.
Tutafute sababu nyingine tusisingizie mamboya CV kwenye suala hili.
 
Huna akili
huoni kama wewe ndo unaonekana sasa huna akili ushasema sio kazi yake then cut the crap, ulitakiwa uje na mada useme kwamba kushuka kwa shilingi tatizo haswa ni nn then watu wakupe majibu, maaana gharama za kupandisha shilingi najua hutatamani kuzifanya,
 
Kwa miaka mingi sana, nimekuwa mfuatiliaji wa CV za Magavana wa Benki Kuu za nchi mbalimbali duniani.

Katika ufuatiliaji wangu, miaka yote kwenye mataifa mbalimbali, Magavana wa Benki Kuu wamekuwa wakiteuliwa wabobezi wa masuala ya Uchumi , Fedha au Sheria na wenye uzoefu wa kufanya kazi katika eneo la uchumi ndani na nje ya nchi zao. Pia wenye uzoefu wa kufanya kazi kwenye Taasisi mbalimbali za kifedha zenye historia ya kufanya vizuri kwenye masuala ya Fedha.

Kwenye mataifa mbaimbali, nafasi ya Gavana wa Benki Kuu inahusisha kuteuliwa watu wenye PhD katika masuala ya Uchumi, Fedha na Biashara au Sheria. Hata kama asipokuwa na PhD basi anapaswa kuwa mtu mwenye rekodi ya outstanding performance kwenye masuala ya Fedha, Uchumi na Sheria.

Kwa utafiti wangu mdogo, haya hayafanyiki kwa bahati mbaya. Gavana wa Benki Kuu anapaswa kuwa kichwa cha nchi kwenye suala nyeti la uchumi. Anapaswa kuwa mshauri wa mwisho pale nchi inapokuwa kwenye crisis yeyote ya kiuchumi.

kwenye kufanya haya anatakiwa awe mbobezi sana kwenye masuala ya uchumi. Anatakiwa kuwa na exposure kubwa sana ya kimataifa na kitaaluma katika masuala ya kiuchumi.

Nakumbuka wakati Emmanuel Tutuba anateuliwa kuwa Gavana wa Benki Kuu niliwahi toa maoni yangu kuwa ule haukuwa uteuzi sahihi.

Kwa haya matokeo ya shilingi yetu kufanya vibaya zaidi nadhani sasa niko sahihi nikisema uteuzi wa Tutuba kuwa Gavana wa Benki Kuu haukuwa sahihi. Ni bahati mbaya sana mamlaka za Uteuzi nchi hii hazihojiwi kutokana na kuwa na Katiba mbovu.

Angalieni wenyewe biography kwa kifupi za Gavana wetu wa Benki Kuu alafu linganisha na Magavana wa Mataifa mengine.

Hii ndo Bio ya Gavana wetu Tutuba
👇- Amesoma Diploma Mzumbe na Master kwenye chuo hiko tena kipindi kinachojulikana kuwa Chuo hiko hakikuwa Chuo chenye hadhi ya Chuo Kikuu hata kwa Tanzania. Zaidi kafanya kazi public sector tu tena Tanzania.
View attachment 3282699

Hii ndo Bio ya Gavana wa Benki Kuu Kenya👇
View attachment 3282700

Hii ndo Bio ya Gavana wa Benki Kuu Uganda👇
View attachment 3282701

Hii ndo Bio ya Gavana wa Benki Kuu ya Marekani. Hana PhD ya Uchumi ila angalia rekodi yake ya utendaji kwenye sekta ya Umma na sekta binafsi hasa kwenye firms zinazotambulika vizuri Marekani kwenye masuala ya Fedha na Mitaji👇
View attachment 3282704

Mwisho.
Ni hitimisho langu kuwa Tanzania tupambane sana kupata Katiba Mpya maana tutapata watu wasiostahili kwenye nafasi za juu hadi tutajikuta tunazikwa kabisa kimaendeleo na Kiuchumi.
Ilipofanya vizuri gavana alikuwa nani?
 
Una ujinga mwingi sana wewe
usimkejeli jamaa ana point, sisi ni wazuri sana kurusha shutuma ila hali halisi hatuzijui, uko tayar kuacha kuagiza magari kutoka nje na kuendesha gari za umeme za kipanya? si unataka tsh ipande, uko tayar kuacha kuagiza iphone na kusubiria simu zitengenezwe bongo? kama hauko tayar basi usitoe lawama
 
Naishauru mamlaka ya uteuzi iteue gavana kutoka kwenye haya majina. Wana elimu kubwa;
1. Joseph Mbilinyi
2. Godbless Lema
3. Mdude Nyagali
4. Yericko Nyerere
Nonsense, hata kama unatania. Achana na uchawa, uchawa unaendelea kuliangamiza hili taifa mbele ya macho yetu. Shame on you chawa wote popote mlipo.
 
I beg to differ, kutokuwa na gavana asie na vigezo kunaweza leta
Sera za kifedha zisizofaa: Maamuzi mabaya ya sera yanaweza kusababisha mfumuko wa bei kupanda au akiba ya fedha za kigeni kupungua, na hivyo kusababisha shilingi kushuka thamani.
Kukosa imani katika uchumi: Kukosekana kwa uongozi thabiti katika benki kuu kunaweza kupunguza imani ya watu na wawekezaji katika uchumi, na kusababisha wao kuuza shilingi, hivyo kuipunguzia thamani.
Usimamizi mbovu wa sekta ya fedha: Gavana anayefaa pia anasimamia sekta ya fedha. Kutokuwa na gavana sahihi kunaweza kusababisha usimamizi mbovu, ambao unaweza kuathiri utulivu wa kifedha na thamani ya shilingi.
Kwa kifupi, nafasi ya gavana wa benki kuu ni muhimu sana kwa utulivu wa sarafu ya nchi. Gavana asiyefaa anaweza kusababisha matatizo mbalimbali ya kiuchumi, ikiwa ni pamoja na kushuka kwa thamani ya shilingi.
stakehigh soma hapa
 
Kwahiyo ulitaka awe mwigulu, dakitari wa uchumi pekee to anzania, mbobevu anayejua uchumi TZ nzima hakuna [emoji23][emoji23]
 
Kwa miaka mingi sana, nimekuwa mfuatiliaji wa CV za Magavana wa Benki Kuu za nchi mbalimbali duniani.

Katika ufuatiliaji wangu, miaka yote kwenye mataifa mbalimbali, Magavana wa Benki Kuu wamekuwa wakiteuliwa wabobezi wa masuala ya Uchumi , Fedha au Sheria na wenye uzoefu wa kufanya kazi katika eneo la uchumi ndani na nje ya nchi zao. Pia wenye uzoefu wa kufanya kazi kwenye Taasisi mbalimbali za kifedha zenye historia ya kufanya vizuri kwenye masuala ya Fedha.

Kwenye mataifa mbaimbali, nafasi ya Gavana wa Benki Kuu inahusisha kuteuliwa watu wenye PhD katika masuala ya Uchumi, Fedha na Biashara au Sheria. Hata kama asipokuwa na PhD basi anapaswa kuwa mtu mwenye rekodi ya outstanding performance kwenye masuala ya Fedha, Uchumi na Sheria.

Kwa utafiti wangu mdogo, haya hayafanyiki kwa bahati mbaya. Gavana wa Benki Kuu anapaswa kuwa kichwa cha nchi kwenye suala nyeti la uchumi. Anapaswa kuwa mshauri wa mwisho pale nchi inapokuwa kwenye crisis yeyote ya kiuchumi.

kwenye kufanya haya anatakiwa awe mbobezi sana kwenye masuala ya uchumi. Anatakiwa kuwa na exposure kubwa sana ya kimataifa na kitaaluma katika masuala ya kiuchumi.

Nakumbuka wakati Emmanuel Tutuba anateuliwa kuwa Gavana wa Benki Kuu niliwahi toa maoni yangu kuwa ule haukuwa uteuzi sahihi.

Kwa haya matokeo ya shilingi yetu kufanya vibaya zaidi nadhani sasa niko sahihi nikisema uteuzi wa Tutuba kuwa Gavana wa Benki Kuu haukuwa sahihi. Ni bahati mbaya sana mamlaka za Uteuzi nchi hii hazihojiwi kutokana na kuwa na Katiba mbovu.

Angalieni wenyewe biography kwa kifupi za Gavana wetu wa Benki Kuu alafu linganisha na Magavana wa Mataifa mengine.

Hii ndo Bio ya Gavana wetu Tutuba
👇- Amesoma Diploma Mzumbe na Master kwenye chuo hiko tena kipindi kinachojulikana kuwa Chuo hiko hakikuwa Chuo chenye hadhi ya Chuo Kikuu hata kwa Tanzania. Zaidi kafanya kazi public sector tu tena Tanzania.
View attachment 3282699

Hii ndo Bio ya Gavana wa Benki Kuu Kenya👇
View attachment 3282700

Hii ndo Bio ya Gavana wa Benki Kuu Uganda👇
View attachment 3282701

Hii ndo Bio ya Gavana wa Benki Kuu ya Marekani. Hana PhD ya Uchumi ila angalia rekodi yake ya utendaji kwenye sekta ya Umma na sekta binafsi hasa kwenye firms zinazotambulika vizuri Marekani kwenye masuala ya Fedha na Mitaji👇
View attachment 3282704

Mwisho.
Ni hitimisho langu kuwa Tanzania tupambane sana kupata Katiba Mpya maana tutapata watu wasiostahili kwenye nafasi za juu hadi tutajikuta tunazikwa kabisa kimaendeleo na Kiuchumi.
Hutaelewana na wadau..
Kwetu bongo, gavana anateuliwa na mshika dola yaani rais. Masharti, akubali kuwa chawa, masharti ya rais hata kama ni ya kitumbuwa au urojo! Asiwe mbishi, asijifanye mjuaji, apike data na kumsifia, kumtetea rais!
Bongo TAMBARARE!
 
Naunga hoja mkono. Umenikumbusha kampuni moja ya simu tulikuwa na engineer mmoja kasoma Cardiff Telecommunication engineering mbongo halafu bwana mdogo ila alikuwa akifanya presentation watu wote.wanakubali.

Kuna vyuo ukisilia mtu ka graduate lazima awe kichwa.

Angalia ya Dr Donald Kaberuka ametokea kuwa waziri wa fedha wa Rwanda mpaka kuwa President wa African development Bank sio rahisi tena mweusi kutoka region hii ya Southern and east.africa.

Ipo shida mahali na inaji manifest now kwenye currency volatility.
 
izi ni political narratives ila kinachosababisha effect za pesa ni TRANSACTIONS, wananchi wananunua sana nje hakuna unachoweza kufanya ndo hali halisi, kila mwananchi anawaza ajira badala ya kufungua biashara zenye exports gavana unamuonea bure
Haiwezi ikatokea tu kila mwananchi anawaza ajira au wananchi wapende biashara za kuimport ujue kuna shida mahali kwenye mfumo
 
Back
Top Bottom