Kwa Gavana tuliyenaye, sikushangaa nilipoona habari ya shilingi ya Tanzania kufanya vibaya zaidi Duniani

Ni jambo la kawaida mjinga kumuita mwerevu mjinga.

Takwimu gani ulizoweka? Umezingatia nini kwenye hizo takwimu zako?
Cv za magavana waliopita niliowataja na huyu aliyepo nikilinganisha na ubwege uliondika kuwa magavana wote waliotangulia walikuwa na CV ulizoandika wakati umeandika uongo kwenye mada yako

Ndio maana nikawataja kwa majina kabisa kuthibitisha kuwa nina takwimu za CV za uhakika kuliko zako za kibwege

Ni me base kwenye Cv

Cv sio takwimu au?
 
Ulvyo mjinga unajua hata elimu ya Idrisa Rashid?

Unajua hata elimu ya Rutihinda wewe.

Ndo mana nakwambia wewe ni mjinga tu.
 
Mimi naamini kwenye kumuappoint Governor na waziri wa fedha Kikwete was not consulted kama angekuwa consulted angetusaidia namna ya kupata watu sahihi kama alivyofanya kwa akina Beno Ndulu
 
Ni ujinga tu wa watawala na kutaka kuweka watu watakaowatumia kuchota fedha za nchi.

Nchi hii ina manguli wa Uchumi wanaotumika kwenye Mataasisi ya Kimataifa Ulaya na Marekani huko.

Hata Asia kuna Watanzania wengi wana uwezo mkubwa sana wanafanya kazi kwenye makampuni makubwa na mashirika makubwa.

Shida ni CCM ambayo viongozi wake kutokana na kuwa wajinga hawapendi kufanya kazi na watu wenye akili wanaojiamini. Wanaofanta maamuzi kitaalamu zaidi na sio kisiasa au kuogopa wanasiasa.
 
Ni ujinga tu wa watawala na kutaka kuweka watu watakaowatumia kuchota fedha za nchi.

Nchi hii ina manguli wa Uchumi wanaotumika kwenye Mataasisi ya Kimataifa Ulaya na Marekani huko.

Hata Asia kuna Watanzania wengi wana uwezo mkubwa sana wanafanya kazi kwenye makampuni makubwa na mashirika makubwa.

Shida ni CCM ambayo viongozi wake kutokana na kuwa wajinga hawapendi kufanya kazi na watu wenye akili wanajiamini na kufanya maamuzi kitaalamu zaidi.
kwan kazi ya gavana ni kupandisha thaman ya ela?
 
Kwa miaka mingi sana, nimekuwa mfuatiliaji wa CV za Magavana wa Benki Kuu za nchi mbalimbali duniani.

Katika ufuatiliaji wangu, miaka yote kwenye mataifa mbalimbali, Magavana wa Benki Kuu wamekuwa wakiteuliwa wabobezi wa masuala ya Uchumi , Fedha au Sheria na wenye uzoefu wa kufanya kazi katika eneo la uchumi ndani na nje ya nchi zao. Pia wenye uzoefu wa kufanya kazi kwenye Taasisi mbalimbali za kifedha zenye historia ya kufanya vizuri kwenye masuala ya Fedha.

Kwenye mataifa mbaimbali, nafasi ya Gavana wa Benki Kuu inahusisha kuteuliwa watu wenye PhD katika masuala ya Uchumi, Fedha na Biashara au Sheria. Hata kama asipokuwa na PhD basi anapaswa kuwa mtu mwenye rekodi ya outstanding performance kwenye masuala ya Fedha, Uchumi na Sheria.

Kwa utafiti wangu mdogo, haya hayafanyiki kwa bahati mbaya. Gavana wa Benki Kuu anapaswa kuwa kichwa cha nchi kwenye suala nyeti la uchumi. Anapaswa kuwa mshauri wa mwisho pale nchi inapokuwa kwenye crisis yeyote ya kiuchumi.

kwenye kufanya haya anatakiwa awe mbobezi sana kwenye masuala ya uchumi. Anatakiwa kuwa na exposure kubwa sana ya kimataifa na kitaaluma katika masuala ya kiuchumi.

Nakumbuka wakati Emmanuel Tutuba anateuliwa kuwa Gavana wa Benki Kuu niliwahi toa maoni yangu kuwa ule haukuwa uteuzi sahihi.

Kwa haya matokeo ya shilingi yetu kufanya vibaya zaidi nadhani sasa niko sahihi nikisema uteuzi wa Tutuba kuwa Gavana wa Benki Kuu haukuwa sahihi. Ni bahati mbaya sana mamlaka za Uteuzi nchi hii hazihojiwi kutokana na kuwa na Katiba mbovu.

Angalieni wenyewe biography kwa kifupi za Gavana wetu wa Benki Kuu alafu linganisha na Magavana wa Mataifa mengine.

Hii ndo Bio ya Gavana wetu Tutuba
👇- Amesoma Diploma Mzumbe na Master kwenye chuo hiko tena kipindi kinachojulikana kuwa Chuo hiko hakikuwa Chuo chenye hadhi ya Chuo Kikuu hata kwa Tanzania. Zaidi kafanya kazi public sector tu tena Tanzania.
View attachment 3282699

Hii ndo Bio ya Gavana wa Benki Kuu Kenya👇
View attachment 3282700

Hii ndo Bio ya Gavana wa Benki Kuu Uganda👇
View attachment 3282701

Hii ndo Bio ya Gavana wa Benki Kuu ya Marekani. Hana PhD ya Uchumi ila angalia rekodi yake ya utendaji kwenye sekta ya Umma na sekta binafsi hasa kwenye firms zinazotambulika vizuri Marekani kwenye masuala ya Fedha na Mitaji👇
View attachment 3282704

Mwisho.
Ni hitimisho langu kuwa Tanzania tupambane sana kupata Katiba Mpya maana tutapata watu wasiostahili kwenye nafasi za juu hadi tutajikuta tunazikwa kabisa kimaendeleo na Kiuchumi.
Lwts assume Gavana wa TZ ni kiazi.

Hiyo wa Kenya kafanya nini cha ajabu?
 
Yaani Gavana mzima wa Benki kuu an Masters tu! Tena ya chuo cha kawaida kama Mzumbe!! Kweli Watanzania tumerogwa. Huyu alifaa kuwa afisa tu au mkurugenzi kwenye idara ya fedha na uchumi.

Gavana wa benki kuu kama ilivyosema mtoa mada, anatakiwa awe na CV iliyoshiba! Yaani kuanzia elimu, uzoefu na pia exposure! Huku akiwa na sifa ya ziada ya uzalendo (ambayo kimsingi haipo kwa Watanzania walio wengi kutokana na kukithiri kwa vitendo vya rushwa na ufisadi).
 
Vielelezo muruwa ulivyoweka vimenifanya nikose la kuandika na kiukweli kwa mara ya pili najuta kuwa Mtanganyika
 
Unadhani wanafanya kwa bahati mbaya kuweka kilaza?

Wanajua wakimweka mwerevu atawakatalia kuchota mafedha hovyo. Matokeo yake ndo haya. Tunaanguka kiuchumi.
Bila shaka hii ndiyo itakuwa sababu ya msingi ya huyo Mheshimiwa kupewa hiyo nafasi. Yaani amewekwa kama picha tu huku maamuzi mengi ya kifedha yakifanywa na wajuaji akina Lameck.

Na hapa ndipo umuhimu wa kuikataa katiba ya hovyo ya mwaka 1977 unapo onekana! Rais amepewa mamlaka makubwa kupitiliza, na ambayo hayahojiwi na mtu yeyote yule!!

Halafu ni ujinga wa hali ya juu kwenye karne hii ya 21 kwa nchi inayojipambanua kama nchi ya kidemokrasi, kuendelea kuikumbatia katiba mbovu na inayompa Rais wa nchi mamlaka ya Kifalme.
 
Yaani Gavana mzima wa Benki kuu an Masters tu! Tena ya chuo cha kawaida kama Mzumbe!! Kweli Watanzania tumerogwa. Huyu alifaa kuwa afisa tu au mkurugenzi kwenye idara ya fedha na uchumi.

Gavana wa benki kuu kama ilivyosema mtoa mada, anatakiwa awe na CV iliyoshiba! Yaani kuanzia elimu, uzoefu na pia exposure! Huku akiwa na sifa ya ziada ya uzalendo (ambayo kimsingi haipo kwa Watanzania walio wengi kutokana na kukithiri kwa vitendo vya rushwa na ufisadi).
Kasoma Mzumbe lakini unaweza kukuta kwao ni Turiani!
 
mimi sio muumini wa hizi theories tulizosoma vyuoni saana lakini nakuunga mkono kwenye experience. huyu jamaa kama hiyo ndiyo CV yake basi hana experience ya kutosha.
kazi yoyote cha kwanza ni experience.

hata kut-o-mba kunahitaji experience.
Mkuu Daby Habari Yako.Long Time sana sijakuona.Mimi Ni Muumini Sana Wa Maandiko Yajo.Respect
 
Usiwe mtumwa wa historia wewe

Magavana hawa hizo sifa walikuwa nazo?

Gavana Nyirabu

Gavana Rutihinda

Gavana Idrisa Rashid

Gavana Luoga

Nani kati ya hao alikuwa na sifa ulizotaja?

Kama una chuki na gavana aliyepo go to hell
Kwa hiyo kwa vile hao uliowataja hawakuwa na sifa basi ni sahihi tu kuendelea kuwa na huyu Tatuba ambaye naye pia hana sifa? Mbona una reasoning ya kijinga sana kma limtu ambalo halijaenda shule?

Majitu kama wewe ndio huwa mnatetea Uozo wa Samia kwa kuutaja uozo wa Magufuli, kwamba mbona fulani na yeye alikuwa hivi...? Hzo ni akili za bata.

Eti "go to hell", wewe ndio uende huko kuzimu na akili zako ndogo kama njiti ya kiberiti...hakuna anayemchukia huyo mjomba yako, na kama hutaki akosolewe mwambie aachie huo wadhifa alionao arudi kijijini kulima viazi
 
Kwa miaka mingi sana, nimekuwa mfuatiliaji wa CV za Magavana wa Benki Kuu za nchi mbalimbali duniani.

Katika ufuatiliaji wangu, miaka yote kwenye mataifa mbalimbali, Magavana wa Benki Kuu wamekuwa wakiteuliwa wabobezi wa masuala ya Uchumi , Fedha au Sheria na wenye uzoefu wa kufanya kazi katika eneo la uchumi ndani na nje ya nchi zao. Pia wenye uzoefu wa kufanya kazi kwenye Taasisi mbalimbali za kifedha zenye historia ya kufanya vizuri kwenye masuala ya Fedha.

Kwenye mataifa mbaimbali, nafasi ya Gavana wa Benki Kuu inahusisha kuteuliwa watu wenye PhD katika masuala ya Uchumi, Fedha na Biashara au Sheria. Hata kama asipokuwa na PhD basi anapaswa kuwa mtu mwenye rekodi ya outstanding performance kwenye masuala ya Fedha, Uchumi na Sheria.

Kwa utafiti wangu mdogo, haya hayafanyiki kwa bahati mbaya. Gavana wa Benki Kuu anapaswa kuwa kichwa cha nchi kwenye suala nyeti la uchumi. Anapaswa kuwa mshauri wa mwisho pale nchi inapokuwa kwenye crisis yeyote ya kiuchumi.

kwenye kufanya haya anatakiwa awe mbobezi sana kwenye masuala ya uchumi. Anatakiwa kuwa na exposure kubwa sana ya kimataifa na kitaaluma katika masuala ya kiuchumi.

Nakumbuka wakati Emmanuel Tutuba anateuliwa kuwa Gavana wa Benki Kuu niliwahi toa maoni yangu kuwa ule haukuwa uteuzi sahihi.

Kwa haya matokeo ya shilingi yetu kufanya vibaya zaidi nadhani sasa niko sahihi nikisema uteuzi wa Tutuba kuwa Gavana wa Benki Kuu haukuwa sahihi. Ni bahati mbaya sana mamlaka za Uteuzi nchi hii hazihojiwi kutokana na kuwa na Katiba mbovu.

Angalieni wenyewe biography kwa kifupi za Gavana wetu wa Benki Kuu alafu linganisha na Magavana wa Mataifa mengine.

Hii ndo Bio ya Gavana wetu Tutuba
👇- Amesoma Diploma Mzumbe na Master kwenye chuo hiko tena kipindi kinachojulikana kuwa Chuo hiko hakikuwa Chuo chenye hadhi ya Chuo Kikuu hata kwa Tanzania. Zaidi kafanya kazi public sector tu tena Tanzania.
View attachment 3282699

Hii ndo Bio ya Gavana wa Benki Kuu Kenya👇
View attachment 3282700

Hii ndo Bio ya Gavana wa Benki Kuu Uganda👇
View attachment 3282701

Hii ndo Bio ya Gavana wa Benki Kuu ya Marekani. Hana PhD ya Uchumi ila angalia rekodi yake ya utendaji kwenye sekta ya Umma na sekta binafsi hasa kwenye firms zinazotambulika vizuri Marekani kwenye masuala ya Fedha na Mitaji👇
View attachment 3282704

Mwisho.
Ni hitimisho langu kuwa Tanzania tupambane sana kupata Katiba Mpya maana tutapata watu wasiostahili kwenye nafasi za juu hadi tutajikuta tunazikwa kabisa kimaendeleo na Kiuchumi.
Kwa miaka mingi sana, nimekuwa mfuatiliaji wa CV za Magavana wa Benki Kuu za nchi mbalimbali duniani.

Katika ufuatiliaji wangu, miaka yote kwenye mataifa mbalimbali, Magavana wa Benki Kuu wamekuwa wakiteuliwa wabobezi wa masuala ya Uchumi , Fedha au Sheria na wenye uzoefu wa kufanya kazi katika eneo la uchumi ndani na nje ya nchi zao. Pia wenye uzoefu wa kufanya kazi kwenye Taasisi mbalimbali za kifedha zenye historia ya kufanya vizuri kwenye masuala ya Fedha.

Kwenye mataifa mbaimbali, nafasi ya Gavana wa Benki Kuu inahusisha kuteuliwa watu wenye PhD katika masuala ya Uchumi, Fedha na Biashara au Sheria. Hata kama asipokuwa na PhD basi anapaswa kuwa mtu mwenye rekodi ya outstanding performance kwenye masuala ya Fedha, Uchumi na Sheria.

Kwa utafiti wangu mdogo, haya hayafanyiki kwa bahati mbaya. Gavana wa Benki Kuu anapaswa kuwa kichwa cha nchi kwenye suala nyeti la uchumi. Anapaswa kuwa mshauri wa mwisho pale nchi inapokuwa kwenye crisis yeyote ya kiuchumi.

kwenye kufanya haya anatakiwa awe mbobezi sana kwenye masuala ya uchumi. Anatakiwa kuwa na exposure kubwa sana ya kimataifa na kitaaluma katika masuala ya kiuchumi.

Nakumbuka wakati Emmanuel Tutuba anateuliwa kuwa Gavana wa Benki Kuu niliwahi toa maoni yangu kuwa ule haukuwa uteuzi sahihi.

Kwa haya matokeo ya shilingi yetu kufanya vibaya zaidi nadhani sasa niko sahihi nikisema uteuzi wa Tutuba kuwa Gavana wa Benki Kuu haukuwa sahihi. Ni bahati mbaya sana mamlaka za Uteuzi nchi hii hazihojiwi kutokana na kuwa na Katiba mbovu.

Angalieni wenyewe biography kwa kifupi za Gavana wetu wa Benki Kuu alafu linganisha na Magavana wa Mataifa mengine.

Hii ndo Bio ya Gavana wetu Tutuba
👇- Amesoma Diploma Mzumbe na Master kwenye chuo hiko tena kipindi kinachojulikana kuwa Chuo hiko hakikuwa Chuo chenye hadhi ya Chuo Kikuu hata kwa Tanzania. Zaidi kafanya kazi public sector tu tena Tanzania.
View attachment 3282699

Hii ndo Bio ya Gavana wa Benki Kuu Kenya👇
View attachment 3282700

Hii ndo Bio ya Gavana wa Benki Kuu Uganda👇
View attachment 3282701

Hii ndo Bio ya Gavana wa Benki Kuu ya Marekani. Hana PhD ya Uchumi ila angalia rekodi yake ya utendaji kwenye sekta ya Umma na sekta binafsi hasa kwenye firms zinazotambulika vizuri Marekani kwenye masuala ya Fedha na Mitaji👇
View attachment 3282704

Mwisho.
Ni hitimisho langu kuwa Tanzania tupambane sana kupata Katiba Mpya maana tutapata watu wasiostahili kwenye nafasi za juu hadi tutajikuta tunazikwa kabisa kimaendeleo na Kiuchumi.
WORST PERFORMING CURRENCTY IN THE WORLD!

View: https://www.youtube.com/watch?v=5rhsnIlEcuU
 
Back
Top Bottom