Kwa Gavana tuliyenaye, sikushangaa nilipoona habari ya shilingi ya Tanzania kufanya vibaya zaidi Duniani

Kwa miaka mingi sana, nimekuwa mfuatiliaji wa CV za Magavana wa Benki Kuu za nchi mbalimbali duniani.

Katika ufuatiliaji wangu, miaka yote kwenye mataifa mbalimali Magavana wa Benki Kuu wamekuwa wakiteuliwa wabobezi wa masuala ya Uchumi , Fedha au Sheria na wenye uzoefu wa kufanya kazi katika eneo la uchumi ndani na nje ya nchi zao. Pia wenye uzoefu wa kufanya kazi kwenye Taasisi mbalimbali za kifedha zenye historia ya kufanya vizuri kwenye masuala ya Fedha.

Kwenye mataifa mbaimbali, nafasi ya Gavana wa Benki Kuu inahusisha kuteuliwa watu wenye PhD katika masuala ya Uchumi, Fedha na Biashara au Sheria. Hata kama asipokuwa na PhD basi anapaswa kuwa mtu mwenye rekodi ya outstanding performance kwenye masuala ya Fedha, Uchumi na Sheria.

Kwa utafiti wangu mdogo, haya hayafanyiki kwa bahati mbaya. Gavana wa Benki Kuu anapaswa kuwa kichwa cha nchi kwenye suala nyeti la uchumi. Anapaswa kuwa mshauri wa mwisho pale nchi inapokuwa kwenye crisis yeyote ya kiuchumi.

kwenye kufanya haya anatakiwa awe mbobezi sana kwenye masuala ya uchumi. Anatakiwa kuwa na exposure kubwa sana ya kimataifa na kitaaluma katika masuala ya kiuchumi.

Nakumbuka wakati Emmanuel Tutuba anateuliwa kuwa Gavana wa Benki Kuu niliwahi toa maoni yangu kuwa ule haukuwa uteuzi sahihi.

Kwa haya matokeo ya shilingi yetu kufanya vibaya zaidi nadhani sasa niko sahihi nikisema uteuzi wa Tutuba kuwa Gavana wa Benki Kuu haukuwa sahihi. Ni bahati mbaya sana mamlaka za Uteuzi nchi hii hazihojiwi kutokana na kuwa na Katiba mbovu.

Angalieni wenyewe biography kwa kifupi za Gavana wetu wa Benki Kuu alafu linganisha na Magavana wa Mataifa mengine.

Hii ndo Bio ya Gavana wetu Tutuba
👇- Amesoma Diploma Mzumbe na Master kwenye chuo hiko tena kipindi kinachojulikana kuwa Chuo hiko hakikuwa Chuo chenye hadhi ya Chuo Kikuu hata kwa Tanzania. Zaidi kafanya kazi public sector tu tena Tanzania.
View attachment 3282699
Hii ndo Bio ya Gavana wa Benki Kuu Kenya👇
View attachment 3282700
Hii ndo Bio ya Gavana wa Benki Kuu Uganda👇
View attachment 3282701

Hii ndo Bio ya Gavana wa Benki Kuu ya Marekani. Hana PhD ya Uchumi ila angalia rekodi yake ya utendaji kwenye sekta ya Umma na sekta binafsi hasa kwenye firms zinazotambulika vizuri Marekani kwenye masuala ya Fedha na Mitaji👇
View attachment 3282704

Mwisho.
Ni hitimisho langu kuwa Tanzania tupambane sana kupata Katiba Mpya maana tutapata watu wasiostahili kwenye nafasi za juu hadi tutajikuta tunazikwa kabisa kimaendeleo na Kiuchumi.
Mzumbe hamna kitu humo kichwani
 
Tatizo nchini siasa ni nyingi sana
 
Usiwe mtumwa wa historia wewe

Magavana hawa hizo sifa walikuwa nazo?

Gavana Nyirabu

Gavana Rutihinda

Gavana Idrisa Rashid

Gavana Luoga

Nani kati ya hao alikuwa na sifa ulizotaja?

Kama una chuki na gavana aliyepo go to hell
 
Hiyo wizarà , taasisi na idara zake viongozi wake wote ni tia maji tia maji. Mwingine kapewa desa la kukopa analitumia hilo hilo iwe imf, s. Korea, world bank, afdb nk.
Bila kunadilisha hii Katiba ili kutengezeza mifumo sahihi ya kuwapata Viongozi na Watendaji Wakuu wetu naambieni tutazikwa tunajiona.
 
Usiwe mtumwa wa historia wewe

Magavana hawa hizo sifa walikuwa nazo?

Gavana Nyirabu

Gavana Rutihinda

Gavana Idrisa Rashid

Gavana Luoga

Nani kati ya hao alikuwa na sifa ulizotaja?

Kama una chuki na gavana aliyepo go to hell
Tatizo CCM wamenajisi ubongo wako. Somaga mada uielewe ndo u comment.
 
Kwa miaka mingi sana, nimekuwa mfuatiliaji wa CV za Magavana wa Benki Kuu za nchi mbalimbali duniani.

Katika ufuatiliaji wangu, miaka yote kwenye mataifa mbalimali Magavana wa Benki Kuu wamekuwa wakiteuliwa wabobezi wa masuala ya Uchumi , Fedha au Sheria na wenye uzoefu wa kufanya kazi katika eneo la uchumi ndani na nje ya nchi zao. Pia wenye uzoefu wa kufanya kazi kwenye Taasisi mbalimbali za kifedha zenye historia ya kufanya vizuri kwenye masuala ya Fedha.

Kwenye mataifa mbaimbali, nafasi ya Gavana wa Benki Kuu inahusisha kuteuliwa watu wenye PhD katika masuala ya Uchumi, Fedha na Biashara au Sheria. Hata kama asipokuwa na PhD basi anapaswa kuwa mtu mwenye rekodi ya outstanding performance kwenye masuala ya Fedha, Uchumi na Sheria.

Kwa utafiti wangu mdogo, haya hayafanyiki kwa bahati mbaya. Gavana wa Benki Kuu anapaswa kuwa kichwa cha nchi kwenye suala nyeti la uchumi. Anapaswa kuwa mshauri wa mwisho pale nchi inapokuwa kwenye crisis yeyote ya kiuchumi.

kwenye kufanya haya anatakiwa awe mbobezi sana kwenye masuala ya uchumi. Anatakiwa kuwa na exposure kubwa sana ya kimataifa na kitaaluma katika masuala ya kiuchumi.

Nakumbuka wakati Emmanuel Tutuba anateuliwa kuwa Gavana wa Benki Kuu niliwahi toa maoni yangu kuwa ule haukuwa uteuzi sahihi.

Kwa haya matokeo ya shilingi yetu kufanya vibaya zaidi nadhani sasa niko sahihi nikisema uteuzi wa Tutuba kuwa Gavana wa Benki Kuu haukuwa sahihi. Ni bahati mbaya sana mamlaka za Uteuzi nchi hii hazihojiwi kutokana na kuwa na Katiba mbovu.

Angalieni wenyewe biography kwa kifupi za Gavana wetu wa Benki Kuu alafu linganisha na Magavana wa Mataifa mengine.

Hii ndo Bio ya Gavana wetu Tutuba
👇- Amesoma Diploma Mzumbe na Master kwenye chuo hiko tena kipindi kinachojulikana kuwa Chuo hiko hakikuwa Chuo chenye hadhi ya Chuo Kikuu hata kwa Tanzania. Zaidi kafanya kazi public sector tu tena Tanzania.
View attachment 3282699
Hii ndo Bio ya Gavana wa Benki Kuu Kenya👇
View attachment 3282700
Hii ndo Bio ya Gavana wa Benki Kuu Uganda👇
View attachment 3282701

Hii ndo Bio ya Gavana wa Benki Kuu ya Marekani. Hana PhD ya Uchumi ila angalia rekodi yake ya utendaji kwenye sekta ya Umma na sekta binafsi hasa kwenye firms zinazotambulika vizuri Marekani kwenye masuala ya Fedha na Mitaji👇
View attachment 3282704

Mwisho.
Ni hitimisho langu kuwa Tanzania tupambane sana kupata Katiba Mpya maana tutapata watu wasiostahili kwenye nafasi za juu hadi tutajikuta tunazikwa kabisa kimaendeleo na Kiuchumi.
shilingi kupanda ama kushuka haimaanishi uchumi unapanda ama shilingi kushuka haimanishi uchumi kuporomoka, kuna nchi zina ela kubwa tu ila uchumi wao ni mbovu mfano rwanda tu apo ela yao ni kubwa sana, sisemi tsh kupanda ni vibaaya ile unachotaki kushika zaidi ni asilimia ya uchumi kupanda sio tsh kua imara
 
mimi sio muumini wa hizi theories tulizosoma vyuoni saana lakini nakuunga mkono kwenye experience. huyu jamaa kama hiyo ndiyo CV yake basi hana experience ya kutosha.
kazi yoyote cha kwanza ni experience.

hata kut-o-mba kunahitaji experience.
 
acha chuki zako? ambaye anatakiwa alaumiwe ni waziri wa fedha sio gavana..kingine kuongoza ni karama ya mtu binafsio sio elimu
Kuongoza bila elimu ya fedha? Mjinga mkubwa wewe, nyie ndiyo mnairudisha jamii ya kiafrika nyuma, unajua kuna watu wengine kama nyie hamkutakiwa hata muishi, samahani mimi siyo Mungu, lakini hamko serious na maisha yenu. Mtu anaharibu mnasema ati uongozi siyo elimu ni karama. Pambafu
 
shilingi kupanda ama kushuka haimaanishi uchumi unapanda ama shilingi kushuka haimanishi uchumi kuporomoka, kuna nchi zina ela kubwa tu ila uchumi wao ni mbovu mfano rwanda tu apo ela yao ni kubwa sana, sisemi tsh kupanda ni vibaaya ile unachotaki kushika zaidi ni asilimia ya uchumi kupanda sio tsh kua imara
Endeleeni tu na huo ujinga. Siku taifa likizikwa kabisa ndo mtashtuka
 
Kwa miaka mingi sana, nimekuwa mfuatiliaji wa CV za Magavana wa Benki Kuu za nchi mbalimbali duniani.

Katika ufuatiliaji wangu, miaka yote kwenye mataifa mbalimali Magavana wa Benki Kuu wamekuwa wakiteuliwa wabobezi wa masuala ya Uchumi , Fedha au Sheria na wenye uzoefu wa kufanya kazi katika eneo la uchumi ndani na nje ya nchi zao. Pia wenye uzoefu wa kufanya kazi kwenye Taasisi mbalimbali za kifedha zenye historia ya kufanya vizuri kwenye masuala ya Fedha.

Kwenye mataifa mbaimbali, nafasi ya Gavana wa Benki Kuu inahusisha kuteuliwa watu wenye PhD katika masuala ya Uchumi, Fedha na Biashara au Sheria. Hata kama asipokuwa na PhD basi anapaswa kuwa mtu mwenye rekodi ya outstanding performance kwenye masuala ya Fedha, Uchumi na Sheria.

Kwa utafiti wangu mdogo, haya hayafanyiki kwa bahati mbaya. Gavana wa Benki Kuu anapaswa kuwa kichwa cha nchi kwenye suala nyeti la uchumi. Anapaswa kuwa mshauri wa mwisho pale nchi inapokuwa kwenye crisis yeyote ya kiuchumi.

kwenye kufanya haya anatakiwa awe mbobezi sana kwenye masuala ya uchumi. Anatakiwa kuwa na exposure kubwa sana ya kimataifa na kitaaluma katika masuala ya kiuchumi.

Nakumbuka wakati Emmanuel Tutuba anateuliwa kuwa Gavana wa Benki Kuu niliwahi toa maoni yangu kuwa ule haukuwa uteuzi sahihi.

Kwa haya matokeo ya shilingi yetu kufanya vibaya zaidi nadhani sasa niko sahihi nikisema uteuzi wa Tutuba kuwa Gavana wa Benki Kuu haukuwa sahihi. Ni bahati mbaya sana mamlaka za Uteuzi nchi hii hazihojiwi kutokana na kuwa na Katiba mbovu.

Angalieni wenyewe biography kwa kifupi za Gavana wetu wa Benki Kuu alafu linganisha na Magavana wa Mataifa mengine.

Hii ndo Bio ya Gavana wetu Tutuba
👇- Amesoma Diploma Mzumbe na Master kwenye chuo hiko tena kipindi kinachojulikana kuwa Chuo hiko hakikuwa Chuo chenye hadhi ya Chuo Kikuu hata kwa Tanzania. Zaidi kafanya kazi public sector tu tena Tanzania.
View attachment 3282699
Hii ndo Bio ya Gavana wa Benki Kuu Kenya👇
View attachment 3282700
Hii ndo Bio ya Gavana wa Benki Kuu Uganda👇
View attachment 3282701

Hii ndo Bio ya Gavana wa Benki Kuu ya Marekani. Hana PhD ya Uchumi ila angalia rekodi yake ya utendaji kwenye sekta ya Umma na sekta binafsi hasa kwenye firms zinazotambulika vizuri Marekani kwenye masuala ya Fedha na Mitaji👇
View attachment 3282704

Mwisho.
Ni hitimisho langu kuwa Tanzania tupambane sana kupata Katiba Mpya maana tutapata watu wasiostahili kwenye nafasi za juu hadi tutajikuta tunazikwa kabisa kimaendeleo na Kiuchumi.
Aiseee kweli hatari sii mchezo.
Ila kama huna degree ya ulaya au marekani hufai kuongoza taasisibyoyote hapa africa. Huna exposure yoyote unaruka ruka
 
Kuongoza bila elimu ya fedha? Mjinga mkubwa wewe, nyie ndiyo mnairudisha jamii ya kiafrika nyuma, unajua kuna watu wengine kama nyie hamkutakiwa hata muishi, samahani mimi siyo Mungu, lakini hamko serious na maisha yenu. Mtu anaharibu mnasema ati uongozi siyo elimu ni karama. Pambafu
Ndo ujinga waliojazwa hawa ngumbaru na wajinga wenzao CCM.

Hawajui kuwa vyeo vinatakiwa viwe on merit sio ujinga wao. Ndo mana kila siku tunazidi kuwa nyuma. Hawaelewi ni kwa sababu ya hawa wajinga wachache wanaotuharibia taifa letu.
 
Tatizo CCM wamenajisi ubongo wako. Somaga mada uielewe ndo u comment.
Vigezo vyako ulivyoweka vya mtu kuwa Gavana ndio nabisha unajitia ujuaji mwingiii kuwa hujawahi ona Gavana kama huyu aliyepo kwa waliopita wote kuwa walikuwa na vigezo ulivyoainisha ndio maana nikakupa majina halisi kabisa ya magavana wa BoT ambao hawakuwa na na vigezo vyako vya kibwege ulivyoweka

Takwimu hupingwa kwa Takwimu mjinga wewe
 
Gavana akitoa ujumbe mzito kwa chama cha mabenki

View: https://m.youtube.com/watch?v=IaDiF0elqII
15 Apr2024
The 2nd TBA Conference on Financial Inclusion Held on 9th February 2024 at Serena Hotel Dar es Salaam.

The theme revolves around "Sustaining Economic Development through Financial Inclusion" Tanzania Bankers Association in efforts towards enhancing Financial Inclusion in the country hosted the event.

The Guest of Honor, The Governor of the Bank of Tanzania Mr. Emmanuel M. Tutuba graced the event and launched the Sustainable Finance Principles for Tanzania.
 
Vigezo vyako ulivyoweka ndio nabisha unajitia ujuaji mwingiii kuwa hujawahi ona Gavana kama huyu aliyepo kwa waliopita wote kuwa walikuwa na vigezo ulivyoainisha ndio maana nikakupa majina halisi kabisa ya magavana wa BoT ambao hawakuwa na na vigezo vyako vya kibwege ulivyoweka

Takwimu hupingwa kwa Takwimu mjinga wewe
Ni jambo la kawaida mjinga kumuita mwerevu mjinga.

Takwimu gani ulizoweka? Umezingatia nini kwenye hizo takwimu zako?

Unawajua hata Magavana walioongoza mapinduzi ya kiuchumi Tanzania?

Unajua hata Magavana wanaosifika Tanzania kwa kuwa bora?

Kwa taarifa yako hujaweka takwimu yeyote umeorodhesha tu magavana mpuuzi wa kijani wewe!
 
Hii nchi inapenda sana watu wa elimu za hapa na pale, mkuu. Jenista kila siku anahamishwa wizara tu anachofanya hukoni ila kila siku anapewa wizara nyingine, begs the qn anafanya nini cha maana ambacho wengine hawawezi?
kwa kweli inasikitisha sana, waziri wa afya ila hajawahi hata kupita vyuo vya afya achilia mbali kufanya kazi za afya
Nchi ina uoza mpaka kero
.
 
Tatizo nchini siasa ni nyingi sana
Ni ujinga wetu tu wananchi. Tunavyoambiwa Katiba iliyopo haifai matokeo yake ndio haya sasa. Uchumi wa nchi unakuwa kituko.

Hatupati watu sahihi kwenye nafasi sahihi kwa sababu Katiba imepawa wanasiasa nguvu ya kufanya maamuzi bila kuhojiwa wala kudhibitiwa.
 
Back
Top Bottom