Kwa Gavana tuliyenaye, sikushangaa nilipoona habari ya shilingi ya Tanzania kufanya vibaya zaidi Duniani

Dr. Musukuma je atafaa? Maana issue kama ni U Dr hata Musukuma si Dr tu, watu wanafanya utani sana na Elimu. Just as a reminder, Elimu bora na sahihi haina alternative hadi sasa, period.
Jaribu kuwa serious kwenye mambo serious.

Kuleta utani kwenye masuala ya msingi ndo man's wanasiasa wanawaendesha watakavyo. Msiwe wajinga hivi.
 
Afisa tu hapo Wizara ya Fedha. Alipanda hadi kuwa Kamishna ya Bajeti kama sikosei vyeo ambavyo vinajulikana vya kupeana tu ili unyooshe vizuri masuala ya Wanasiasa hasa wizi. Baadae alikuwa Katibu Mkuu kabisa.

Pathetic Nation.
Sio kwa ubaya,huyu Tutuba ni kawaida sana....kwa hakika maisha ni bahati! Niliwahi kuwa naye kwa wiki Moja kwenye majukumu Fulani, anaonekana kabisa kuwa amesoma IDM MZUMBE!
 
Kwa miaka mingi sana, nimekuwa mfuatiliaji wa CV za Magavana wa Benki Kuu za nchi mbalimbali duniani.

Katika ufuatiliaji wangu, miaka yote kwenye mataifa mbalimbali, Magavana wa Benki Kuu wamekuwa wakiteuliwa wabobezi wa masuala ya Uchumi , Fedha au Sheria na wenye uzoefu wa kufanya kazi katika eneo la uchumi ndani na nje ya nchi zao. Pia wenye uzoefu wa kufanya kazi kwenye Taasisi mbalimbali za kifedha zenye historia ya kufanya vizuri kwenye masuala ya Fedha.

Kwenye mataifa mbaimbali, nafasi ya Gavana wa Benki Kuu inahusisha kuteuliwa watu wenye PhD katika masuala ya Uchumi, Fedha na Biashara au Sheria. Hata kama asipokuwa na PhD basi anapaswa kuwa mtu mwenye rekodi ya outstanding performance kwenye masuala ya Fedha, Uchumi na Sheria.

Kwa utafiti wangu mdogo, haya hayafanyiki kwa bahati mbaya. Gavana wa Benki Kuu anapaswa kuwa kichwa cha nchi kwenye suala nyeti la uchumi. Anapaswa kuwa mshauri wa mwisho pale nchi inapokuwa kwenye crisis yeyote ya kiuchumi.

kwenye kufanya haya anatakiwa awe mbobezi sana kwenye masuala ya uchumi. Anatakiwa kuwa na exposure kubwa sana ya kimataifa na kitaaluma katika masuala ya kiuchumi.

Nakumbuka wakati Emmanuel Tutuba anateuliwa kuwa Gavana wa Benki Kuu niliwahi toa maoni yangu kuwa ule haukuwa uteuzi sahihi.

Kwa haya matokeo ya shilingi yetu kufanya vibaya zaidi nadhani sasa niko sahihi nikisema uteuzi wa Tutuba kuwa Gavana wa Benki Kuu haukuwa sahihi. Ni bahati mbaya sana mamlaka za Uteuzi nchi hii hazihojiwi kutokana na kuwa na Katiba mbovu.

Angalieni wenyewe biography kwa kifupi za Gavana wetu wa Benki Kuu alafu linganisha na Magavana wa Mataifa mengine.

Hii ndo Bio ya Gavana wetu Tutuba
👇- Amesoma Diploma Mzumbe na Master kwenye chuo hiko tena kipindi kinachojulikana kuwa Chuo hiko hakikuwa Chuo chenye hadhi ya Chuo Kikuu hata kwa Tanzania. Zaidi kafanya kazi public sector tu tena Tanzania.
View attachment 3282699

Hii ndo Bio ya Gavana wa Benki Kuu Kenya👇
View attachment 3282700

Hii ndo Bio ya Gavana wa Benki Kuu Uganda👇
View attachment 3282701

Hii ndo Bio ya Gavana wa Benki Kuu ya Marekani. Hana PhD ya Uchumi ila angalia rekodi yake ya utendaji kwenye sekta ya Umma na sekta binafsi hasa kwenye firms zinazotambulika vizuri Marekani kwenye masuala ya Fedha na Mitaji👇
View attachment 3282704

Mwisho.
Ni hitimisho langu kuwa Tanzania tupambane sana kupata Katiba Mpya maana tutapata watu wasiostahili kwenye nafasi za juu hadi tutajikuta tunazikwa kabisa kimaendeleo na Kiuchumi.

Machawa tunasingiziwa hapa ile ripoti ya kutokuwa na furaha nayo tuli singiziwa ! Mbona sisi machawa tuna raha na pesa 😂😂😂. Gentleman ! Acheni uongo sisi machawa tunajua pesa ya Tanzania ipo juu sana na uchumi ni mzuri. Kama huna furaha hizo ripoti ni za mabeberu😂 sisi machawa tuko powa tu Gentleman 😂😂 Tanzania tuna chaguzi huru Africa nzima toka 2019, 2020 hata 2024. Tuna amani na demokrasia ya kweli bana

Tlaatlaah

ChoiceVariable
 
Sio kwamba wtu sahihi hawapo, laa hasha, shida tu ni kwamba Tanzania huwezi pata nafasi ya Juu kama ww sio ccm, Lipumba was the best at his time, but they never gave him a single chance. Kisa mpinzani. Na tutazikwa kweli hata siuongo.
 
Pole kwako zaidi kwa kuchelewa kuliona. Yako mengi yenye mfanano wa hoja ysko. Mfano Mkuu wa Mkoa nyeti kuwa form four failure. Badala ya kuukuza Mkoa kiuchumi, anabuni sera za kustarehesha watu kwa kuchinja ngombe.
Yule nae ni masta wa kuulaghai uma na serikali kwa ujumla. Anzia ile mikakati yake ya wanawake waliotelekezwa na waume zao na wanaume kupimwa tezi dume Dar utabaini kitu.
"Manipulator"
 
Kwa kiasi kikubwa Sana kuna Ukweli kuhusu suala hili. Lakini wa kulaumiwa siyo huyo Gavana peke yake, wapo Watu wengi waliochangia hali hii kutokea.

1. Waziri wa Fedha na Gavana wa BOT wote kwa pamoja Wana mchango wao kwenye suala hili, pamoja na Wataalamu wengine wa Uchumi, ikiwemo na TISS nao hawawezi kabisa kukwepa kuhusishwa na jambo hili.

Mamlaka za Ujasusi kwenye nchi zingine za wenzetu ndio nguzo kuu kabisa za Kuendesha Chumi za Nchi zao, hususani kwenye masuala ya ECONOMIC ESPIONAGE sambamba na kudhibiti masuala yote kabisa ya Uhujumu Uchumi wa Nchi husika.
Kiungo cha taifa lolote ni shirika imara la ujasusi...saaa hapa kwetu vyeo ni km zawadi..wanagaiyana mahawara
 
Machawa tunasingiziwa hapa ile ripoti ya kutokuwa na furaha nayo tuli singiziwa ! Mbona sisi machawa tuna raha na pesa 😂😂😂. Gentleman ! Acheni uongo sisi machawa tunajua pesa ya Tanzania ipo juu sana na uchumi ni mzuri. Kama huna furaha hizo ripoti ni za mabeberu😂 sisi machawa tuko powa tu Gentleman 😂😂 Tanzania tuna chaguzi huru Africa nzima toka 2019, 2020 hata 2024. Tuna amani na demokrasia ya kweli bana

Tlaatlaah

ChoiceVariable
Swala la furaha ni personal ,hai make sense kwamba exchange rate ya Tzs vs USD ndio iwanyime furaha kuliko ghasia za wake zenu au njaa 😁😁

So tumia akili sawa sawa
 
huezi regulate thamani ya sarafu, hio ni floating value, ukienda benki kuu kenya wana rate yao tshksh na ukija bongo wana rate yao tsh ksh ukienda mipakani wana rate zao, ukienda byuro de change wana rate zao na hata ukienda black market wana rate zao
Nadhani neno regulation linakuchanganya tu
 
Wivu tu. Tuwekee hapa CV ya Edwin Mtei governor wa kwanza wa BOT, Charles Nyirabu govenor wa pili wa BOT na Gilman Rutihinda governor wa tatu wa BOT.

Ma governor wa Benki ni adminsrators tu ila kila kitengo kina wataalamu walio bobea. Kumhusisha Emmanuel Tutuba na kudorora wa Tsh dhidi ya USD siyo kumtendea haki.

Dawa ya Tsh kupanda thamani ni kuongeza exports tu na kupunguza imports.

Sasa kama nchi inaagiza toothpick, yeboyebo au kiwi kutoka China, CV ya Tutuba inaingiaje hapo??
Kwa uzoefu mkuu wa taasisi kama huna ujuzi wa industry unayoiongoza na unategemea jopo la wataalam walio chini kukushauri pekee lazima upigwe.
 
Siasa za CCM zimewafanya wasiwe na akili. Hawaelewi unyeti wa haya mambo hawa.
 
1742988048914.png

mmesema vibaya gavana wa watu maskini
 
Swala la furaha ni personal ,hai make sense kwamba exchange rate ya Tzs vs USD ndio iwanyime furaha kuliko ghasia za wake zenu au njaa 😁😁

So tumia akili sawa sawa

Tunakubaliana chawa kila kitu powa Mama oyee🤮😂. Una point sana achana na hao wajinga😂😂
 
Back
Top Bottom