Kwa Gavana tuliyenaye, sikushangaa nilipoona habari ya shilingi ya Tanzania kufanya vibaya zaidi Duniani

Chuo cha Mzumbe, kimeungaunga wee hadi kufikia kumtoa Rais wa nchi na Gavana wa Benki kuu ya Tanzania.... Halafu kuna Professor Mashingo pale....Lolote linaweza kutokea kama lile la mfano la CPA Makalla.... 😎 😎
 
Chuo cha Mzumbe, kimeungaunga wee hadi kufikia kutoa kumtoa Rais wa nchi na Gavana wa Benki kuu ya Tanzania.... Halafu kuna Professor Mashingo pale....Lolote linaweza kutokea kama lile la mfano la CPA Makalla.... 😎 😎
Bado Gavana hajapewa udaktari wa heshima kutoka MU..
 
Kabla alikua Mchumi

Jamaa alianza km Mchumi wa kawaida kwenye Halmashauri ,AKaja kuwa Afisa Mipango Wilaya ya Ngorongoro
Akaenda Wizara ya Fedha ,
Akaja kuwa RAS
Kwa vile kafundishwa na Dkt Mpango mambo ya uchumi na anatoka Buhigwe basi akapata connection , nchi ilimradi uwe tu TISS, UNAPATA TEUZI nyeti hata km hauna uzoefu..
Dkt Mpango ndo yupo nyuma ya huyu jamaa kiufupi ni muadilifu ,mchapakazi ila anakosa sifa ya kuwa mchumi mbobezi
Kwa hiyo kumbe alipandishwa kuwa PST na baadae amepewa ugavana kwa sababu ya Dkt. Mpango? Kwak uwa wote ni wa Kigoma sio?

Sasa naelewa. Mpango ni tatizo sana na undugu na kujuana ni tatizo zaidi nchi hii.
 
Tutuba hana distinguished credentials, hilo ni tqtizo.

Lakini, tatizo kubwa zaidi ya hilo ni ukweli kuwa Benki Kuu haina uhuru wa kufanya maamu,i kiuchumi, inaendeshwa kisiasa kwa amri kutoka juu.

Ukichanganya hayo matatizo mawili, na tatizo la tatu kuwa akiye juu naye mtupu, unapata bomu la hatari sana.

Wakiambiwa kuwa Emmanuel Tutuba nafasi ya u Gavana imemzidi kimo, wanakataa

Gavana Tutuba hawezi kuzungumza mbele ya magavana wenzie chochote bila kusoma kutoka andiko alioandikiwa na wasaidizi wake wenye PhD ambao wamemsoma na kumjua bosi wao hivyo kumpatia kitu chepesi katika andiko (paper) ili asije akaadhirika akitoa muhadhara.
 
Hivi Msaidizi wake nani siku hizi? Ila nchi hii inatia hasira kwa kweli. Ndo hivyo tu tuna wanajeshi wengi wajinga. Ingekuwa Afrika Magharibi saivi CCM ingekuwa marehemu tayari.
 
Kwa miaka mingi sana, nimekuwa mfuatiliaji wa CV za Magavana wa Benki Kuu za nchi mbalimbali duniani.

Katika ufuatiliaji wangu, miaka yote kwenye mataifa mbalimbali, Magavana wa Benki Kuu wamekuwa wakiteuliwa wabobezi wa masuala ya Uchumi , Fedha au Sheria na wenye uzoefu wa kufanya kazi katika eneo la uchumi ndani na nje ya nchi zao. Pia wenye uzoefu wa kufanya kazi kwenye Taasisi mbalimbali za kifedha zenye historia ya kufanya vizuri kwenye masuala ya Fedha.

Kwenye mataifa mbaimbali, nafasi ya Gavana wa Benki Kuu inahusisha kuteuliwa watu wenye PhD katika masuala ya Uchumi, Fedha na Biashara au Sheria. Hata kama asipokuwa na PhD basi anapaswa kuwa mtu mwenye rekodi ya outstanding performance kwenye masuala ya Fedha, Uchumi na Sheria.

Kwa utafiti wangu mdogo, haya hayafanyiki kwa bahati mbaya. Gavana wa Benki Kuu anapaswa kuwa kichwa cha nchi kwenye suala nyeti la uchumi. Anapaswa kuwa mshauri wa mwisho pale nchi inapokuwa kwenye crisis yeyote ya kiuchumi.

kwenye kufanya haya anatakiwa awe mbobezi sana kwenye masuala ya uchumi. Anatakiwa kuwa na exposure kubwa sana ya kimataifa na kitaaluma katika masuala ya kiuchumi.

Nakumbuka wakati Emmanuel Tutuba anateuliwa kuwa Gavana wa Benki Kuu niliwahi toa maoni yangu kuwa ule haukuwa uteuzi sahihi.

Kwa haya matokeo ya shilingi yetu kufanya vibaya zaidi nadhani sasa niko sahihi nikisema uteuzi wa Tutuba kuwa Gavana wa Benki Kuu haukuwa sahihi. Ni bahati mbaya sana mamlaka za Uteuzi nchi hii hazihojiwi kutokana na kuwa na Katiba mbovu.

Angalieni wenyewe biography kwa kifupi za Gavana wetu wa Benki Kuu alafu linganisha na Magavana wa Mataifa mengine.

Hii ndo Bio ya Gavana wetu Tutuba
👇- Amesoma Diploma Mzumbe na Master kwenye chuo hiko tena kipindi kinachojulikana kuwa Chuo hiko hakikuwa Chuo chenye hadhi ya Chuo Kikuu hata kwa Tanzania. Zaidi kafanya kazi public sector tu tena Tanzania.
View attachment 3282699

Hii ndo Bio ya Gavana wa Benki Kuu Kenya👇
View attachment 3282700

Hii ndo Bio ya Gavana wa Benki Kuu Uganda👇
View attachment 3282701

Hii ndo Bio ya Gavana wa Benki Kuu ya Marekani. Hana PhD ya Uchumi ila angalia rekodi yake ya utendaji kwenye sekta ya Umma na sekta binafsi hasa kwenye firms zinazotambulika vizuri Marekani kwenye masuala ya Fedha na Mitaji👇
View attachment 3282704

Mwisho.
Ni hitimisho langu kuwa Tanzania tupambane sana kupata Katiba Mpya maana tutapata watu wasiostahili kwenye nafasi za juu hadi tutajikuta tunazikwa kabisa kimaendeleo na Kiuchumi.
 
Wewe huna akili, Unapotaja majina hayo, linganisha na Wakati ,Dunia inataka nn .
Kwenda huko kwani wasomi wetu hawaendi na current affairs za dunia ? Unatakakaje kuwa akiwepo msomi nchi hii hana maana ? Hadi aende kufanya kazi kwa Trump Marekani? Bwege wewe

Kuwa akisoma Tanzania hawezi kuwa independent thinking mind ya Benki kuu ? Mpuuzi wewe mwabudu wazungu
 
5 March 2025

Gavana Tutuba - Sababu riba kubwa Tanzania zatajwa

View: https://m.youtube.com/watch?v=0mdwEixj1GU

Kwa mwaka wa 2024 deni letu la taifa la takriban shillingi trilioni 100, lipo katika uwiano wa takriban asilimia 44% ikilinganishwa na ukomo wa asilimia 55%unaokubalika kimataifa’’

-Gavana wa Benki kuu ya Tanzania (BOT) Emmanuel Tutuba amekiri kuwa deni la taifa hilo linazidi kukua ila bado lipo chini ya ukomo wa uwiano wa deni la taifa na pato la taifa unaokubalika kimataifa wa asilimia 55%.

-‘’Deni letu ni himilifu kwa muda mfupi wa kati na mrefu na lipo ndani ya viwango vinavyokubalika kimataifa.’’

-Kauli hiyo imetolewa na wakati wa mahojiano maalum na mwandishi wa BBC Florian Kaijage.
 
Chuo cha Mzumbe, kimeungaunga wee hadi kufikia kutoa kumtoa Rais wa nchi na Gavana wa Benki kuu ya Tanzania.... Halafu kuna Professor Mashingo pale....Lolote linaweza kutokea kama lile la mfano la CPA Makalla.... 😎 😎
Makalla nae kasoma Mzumbe.

Vyovyote vile! Tuweke watu wanaostahili kwenye nafasi nyeti. Sio vituko maana hasara ni kwa Taifa.
 
Kwa miaka mingi sana, nimekuwa mfuatiliaji wa CV za Magavana wa Benki Kuu za nchi mbalimbali duniani.

Katika ufuatiliaji wangu, miaka yote kwenye mataifa mbalimbali, Magavana wa Benki Kuu wamekuwa wakiteuliwa wabobezi wa masuala ya Uchumi , Fedha au Sheria na wenye uzoefu wa kufanya kazi katika eneo la uchumi ndani na nje ya nchi zao. Pia wenye uzoefu wa kufanya kazi kwenye Taasisi mbalimbali za kifedha zenye historia ya kufanya vizuri kwenye masuala ya Fedha.

Kwenye mataifa mbaimbali, nafasi ya Gavana wa Benki Kuu inahusisha kuteuliwa watu wenye PhD katika masuala ya Uchumi, Fedha na Biashara au Sheria. Hata kama asipokuwa na PhD basi anapaswa kuwa mtu mwenye rekodi ya outstanding performance kwenye masuala ya Fedha, Uchumi na Sheria.

Kwa utafiti wangu mdogo, haya hayafanyiki kwa bahati mbaya. Gavana wa Benki Kuu anapaswa kuwa kichwa cha nchi kwenye suala nyeti la uchumi. Anapaswa kuwa mshauri wa mwisho pale nchi inapokuwa kwenye crisis yeyote ya kiuchumi.

kwenye kufanya haya anatakiwa awe mbobezi sana kwenye masuala ya uchumi. Anatakiwa kuwa na exposure kubwa sana ya kimataifa na kitaaluma katika masuala ya kiuchumi.

Nakumbuka wakati Emmanuel Tutuba anateuliwa kuwa Gavana wa Benki Kuu niliwahi toa maoni yangu kuwa ule haukuwa uteuzi sahihi.

Kwa haya matokeo ya shilingi yetu kufanya vibaya zaidi nadhani sasa niko sahihi nikisema uteuzi wa Tutuba kuwa Gavana wa Benki Kuu haukuwa sahihi. Ni bahati mbaya sana mamlaka za Uteuzi nchi hii hazihojiwi kutokana na kuwa na Katiba mbovu.

Angalieni wenyewe biography kwa kifupi za Gavana wetu wa Benki Kuu alafu linganisha na Magavana wa Mataifa mengine.

Hii ndo Bio ya Gavana wetu Tutuba
👇- Amesoma Diploma Mzumbe na Master kwenye chuo hiko tena kipindi kinachojulikana kuwa Chuo hiko hakikuwa Chuo chenye hadhi ya Chuo Kikuu hata kwa Tanzania. Zaidi kafanya kazi public sector tu tena Tanzania.
View attachment 3282699

Hii ndo Bio ya Gavana wa Benki Kuu Kenya👇
View attachment 3282700

Hii ndo Bio ya Gavana wa Benki Kuu Uganda👇
View attachment 3282701

Hii ndo Bio ya Gavana wa Benki Kuu ya Marekani. Hana PhD ya Uchumi ila angalia rekodi yake ya utendaji kwenye sekta ya Umma na sekta binafsi hasa kwenye firms zinazotambulika vizuri Marekani kwenye masuala ya Fedha na Mitaji👇
View attachment 3282704

Mwisho.
Ni hitimisho langu kuwa Tanzania tupambane sana kupata Katiba Mpya maana tutapata watu wasiostahili kwenye nafasi za juu hadi tutajikuta tunazikwa kabisa kimaendeleo na Kiuchumi.
Wivu tu. Tuwekee hapa CV ya Edwin Mtei governor wa kwanza wa BOT, Charles Nyirabu govenor wa pili wa BOT na Gilman Rutihinda governor wa tatu wa BOT.

Ma governor wa Benki ni adminsrators tu ila kila kitengo kina wataalamu walio bobea. Kumhusisha Emmanuel Tutuba na kudorora wa Tsh dhidi ya USD siyo kumtendea haki.

Dawa ya Tsh kupanda thamani ni kuongeza exports tu na kupunguza imports.

Sasa kama nchi inaagiza toothpick, yeboyebo au kiwi kutoka China, CV ya Tutuba inaingiaje hapo??
 
Hapa nakubaliana na wewe.

Huyu mtu aliteuliwa kutokana na kujuana na Dkt. Mpango kwa sababu ni home boy wake na sio kwa merit kama ilivyosemwa na mtoa hoja mmoja humu.
 
Kabla alikua Mchumi

..
Dkt Mpango ndo yupo nyuma ya huyu jamaa kiufupi ni muadilifu ,mchapakazi ila anakosa sifa ya kuwa mchumi mbobezi
Mchumi mbobevu kwako sifa zake zipi labda kwa definition yako? Awe amefanya kazi kwa mabeberu ulaya na marekani ndio umwamini ubobezi wake au ? Kuwa ubobezi wa uchumi lazima ufanye kazi kwa mabeberu na wakoloni?
 
Wivu tu. Tuwekee hapa CV ya Edwin Mtei governor wa kwanza wa BOT, Charles Nyirabu govenor wa pili wa BOT na Gilman Rutihinda governor wa tatu wa BOT.

Ma governor wa Benki ni adminsrators tu ika kila kitengo kina wataalamu walio bobea. Kumhusisha Emmanuel Tutuba na kudorora wa Tsh dhidi ya USD siyo kumtendea haki.

Dawa ya Tsh kupanda thamani no kuongeza exports tu na kupunguza imports.

Sasa kama nchi inaagiza toothpick, yeboyebo au kiwi kutoka China, CV ya Tutuba inaingiaje hapo??
Ndo akili zenu zinavyowaza huko CCM. Kila kitu mnaleta tafsiri za wivu na chuki wakati watu wanaongelea masuala serious kwa Taifa.

Hao Mtei na Nyirabu walikuwa magavana kipindi gani? Idadi ya wasomi ilikuwaje hapa nchini?

Unaweza linganisha na sasa ambapo tuna Watanzania wabobezi wa uchumi na masuala ya fedha wa kutosha hadi wengine wanafanya kazi kwenye Mashirika Makubwa kabisa duniani huko?

Tatizo kila kitu mnawaza ulaji ndo mana mkiambiwa ukweli mnakimbilia eti wivu. Nyie ni majinga sana kwa kweli.
 
Mchumi mbobevu kwako sifa zake zipi labda kwa definition yako? Awe amefanya kazi kwa mabeberu ulaya na marekani ndio umwamini ubobezi wake au ? Kuwa ubobezi wa uchumi lazima ufanye kazi kwa mabeberu na wakoloni?
Unaelewaje unaposikia neno Exposure? Au shule za kata zimeshakula ubongo wako?
 
Chuo cha Mzumbe, kimeungaunga wee hadi kufikia kutoa kumtoa Rais wa nchi na Gavana wa Benki kuu ya Tanzania.... Halafu kuna Professor Mashingo pale....Lolote linaweza kutokea kama lile la mfano la CPA Makalla.... 😎 😎
Tatizo kumbe ni chuo alichosoma? Kwani UDSM ina nini cha ajabu dhidi ya MU?

Acheni kukariri na dharau vyuo vyetu.
 
Mchumi mbobevu kwako sifa zake zipi labda kwa definition yako? Awe amefanya kazi kwa mabeberu ulaya na marekani ndio umwamini ubobezi wake au ? Kuwa ubobezi wa uchumi lazima ufanye kazi kwa mabeberu na wakoloni?
Ulivyo zumbukuku huwezi elewa maana ya mtu kuwa na exposure ya nje ya nchi yake.

Huwezi elewa maana ya mtu kuwa na uzoefu wa kufanya kazi kwenye Taasisi kubwa na zikapata mafanikio.

Huwezi elewa maana ya mtu kuwa na elimu inayotambulikq kama elimu bora inayoendana na nafasi anayoshikilia.

Ukielewa majukumu ya Benki Kuu Duniani na Majukumu ya Magavana basi utaelewa kwa nini watu wenye Cv za kipekee kabisa huwa wanateuliwa kushika nafasi za ugavana duniani kote.

Kwa kuwa nyie mnazingatia kujuana na kupata wajinga acha sasa shilingi yetu iwe the worst performing currency duniani nzima.

Tena kama hamjui hii habari imetangazwa hadi kwenye vyombo vya kimataifa.
 
Unaelewaje unaposikia neno Exposure? Au shule za kata zimeshakula ubongo wako?
Exposure sio lazima kwenda nje au kuajiriwa nje

Viwanda mfano vya china na japan vya magari na pikipiki vina idara ya research and Development yaan8 R&D wanajikita tu kwenye research ku develop new products bila kukanyaga nchi yeyote

Exposure waweza ipata tu kwenye simu yako au compter bila kwenda popote duniani vyote viko online
 
Back
Top Bottom