Kwa Gavana tuliyenaye, sikushangaa nilipoona habari ya shilingi ya Tanzania kufanya vibaya zaidi Duniani

Kwa Gavana tuliyenaye, sikushangaa nilipoona habari ya shilingi ya Tanzania kufanya vibaya zaidi Duniani

Hiyo post ipo juu ya uwezo wako wa uelewa.

Reja-reja = retail

Sasa hela wanazochukua bank ni kwa sababu ya retail tu?

Hiyo habari yako ya YouTube ainihusu mimi naongelea banking finance.

Unajua kwanini nikasema neno sahihi ni ‘financial intermediary’ na si kutumia commercial bank.

Au hata unaelewa tofauti ya direct na indirect financing, google hizo concept; sikiliza clip uone alivyo na maelezo ambayo terminologies zinampiga chenga.

Alipoulizwa kwanini Tanzania aizalishi hata toothpaste majibu yake ndio ukawa mwisho wa kusikiliza interview yenyewe. Hajui hata role ya BoT kwenye kuchochea uchumi.

Idea yake ya commercial bank kupunguza NPL ni kuandika a good business proposal. Yaani default risk inaangaliwa kupitia a business plan, hakuna moral hazard, adverse selection, and so forth.

Yeye ni kilaza, wewe ni kilaza maradufu
Unakwepa kwepa tu wewe unajitia kiswahili unajua kuwa Gavana hajui ndio nikakuuliza wewe youtu.be kiswahili inaitwaje?

Hayo mambo ya tooth paste kuwa kwa nini Tanzania haizalishi tooth paste hivi huyo muuliza swali akili zimo kichwani kweli pumbavu.Kazi ya benki kuu ni kusimamia uzalishaji wa dawa za meno? Hiyo ni kazi ya wizara ya viwanda na biashara wewe na huyo mwandishi wote mabwege

Dawa za miswaki.mbona viwanda kibao vinazalisha Tanzania.kama whitedent nk

Huyo muuliza swali bwege kazi za benki kuu sio kuzalisha dawa za meno mpuuzi huyo pamoja na wewe
 
Umepewa nondo badala ujifunze unapuyanga.

Kweli ujinga kipaji.
 
Mimi natumia info za interview, maswali aliyoulizwa na majibu yake.

Huko kwengine unapotaka kwenda, itabidi uwe una google sana, ili tujadiliane.

Majibu ambayo anatakiwa kuyasemea kwa production costs za Tanzania, yeye analeta hadithi za mazingira mazuri ya uwekezaji.

Mazingira mazuri ya uwekezaji mashine za uzalishaji utaziwekea, VAT ya 20 + import duty + 6 libor rate + banks interest.

Halafu unashangaa watu wanaagiza vitu wakati nchi ina raw material.

Tafadhali naomba usini-quote kwa sababu ya kujibu ujinga wako,
 
Umepewa nondo badala ujifunze unapuyanga.

Kweli ujinga kipaji.
Wewe ndio akili huna na huyo kamhoji Gavana huwezi muhoji Gavana maswali ya kuzalisha dawa za meno mjinga wewe

Ndio maana kuna wakati ilipendejezwa kuwa waandishi wa habari lazima wawe na digrii kuepuka hawa wajinga wanakutana na Gavana wa Benki kuu halafu wanamuuliza kuhusu uzalishaji wa dawa za meno pumbavu zao

Hiyo sio kazi ya Gavana wa benki kuu
 
Endelea kupuyanga.
 
Kipindi cha nyuma kusoma hizo Diploma unazo/unazoziita kwenye vyuo vya DIT/ Mzumbe/IFM ilikua mpaka upata ufaulu wa juu mfano point 12 kuliko sasa hivi vyuo vilivyoongezeka kwa cut point za 5 au 4 ( DDD) Kijana anatinga Chuo Kikuu
Pia kumbuka tuna Miradi Mikubwa inatekelezwa ambayo inasababisa importation of Materials.. mfano SGR
Mimi nimesoma IDM -Mzumbe ADBA na kisha MBA na nilikofanya kazi niliwaburuza kinyama wa graduate wa UDSM tulio kuwa level moja. Na nikistaafu baadaye kwa nafasi ya CEO kwenye taasisi za Serikali.

Syllabus za Advanced Diploma enzi hizo hazikuwa tofauti na syllabus za Degree kwenye same discipline. Na ndiyo maana hata Serikali ilikuwa inatoa entry level positioning iliyo sawa kwa mhitimu wa Advanced Diploma as well as kwa mhitimu wa Degree. Hata mishahara walikuwa wanatoa sawa. Na maeneo mengi kwenye fani za Accounting, Finance, Human Rrsources, Marketing, Supplies wahitimu wa IDM/ IFM walikuwa juu kuliko wale wa Bcom ya UDSM.

Ukiibisha ni kilema chako, hamna namna ya kukusaidia
 
Non Performance Loan = madeni chechefu.

Tafadhali acha kulazimisha watu wajibu ujinga wako
Hiyo ni kazi ya board na management za benki husika sio kazi ya benki kuu ku deal na hayo madeni chefu chefu

Benki kuu haiteui management au board za benki husika

Hilo tatizo la madeni chefu chefu likiwepo ni management na board za benki husika ndio hutakiwa kujibu sio Gavana wa benki kuu
 
Hebu bagamoyo maliza tofauti zako na Emmanuel Tutuba. Nimesikia English yake sijaona broken yeyote katika maeneo aliyochangia kwenye huo mjadala wa financial inclusion prosperity.

Kama kuna màkosa yeyote hapa ya grammar basi andika ni dakika ya ngapi kwenye hiyo YouTube link.

Acheni kuchukia watu waliowazidi nyazifa na maisha, hatakusaidii chochote

Sijamsikia akizungumzia masuala mazito ambayo ma gavana wa nchi zingine hufafanua kupitia interviews za vyombo vya habari vikubwa.

Gavana Tutuba huongea zaidi kisiasa na kugusia mambo mepesi ambayo hata sisi maamuma wa masuala ya kifedha, uchumi na kibenki tunayangamua ingawa siyo wasomi wa faini hizo.

Watu wa VICOBA wamekuwa ndiyo washauri wakuu kwa waTanzania jinsi ya kupata mitaji, kuwekeza n.k

BOT kuna PhD kibao lakini kutokana na nidhamu ya kikazi wanampenyezea taarifa chepesi ambazo bosi wao anaweza kuongeoa kwa kwa ubabaufi kidogo, yale magumu wameamua kumnusuru kabisa kumuandikia maana atashindwa kutatetea kutokana na mapungufu ya uelewa .

TOKA MAKTABA :
7 August 2024

GAVANA TUTUBA ATEMBELEA MAONESHO YA NANE NANE
Leo Tarehe 7/ 8/ 2024, Gavana wa Benki Kuuu ya Tanzania (BOT) Emmanuel Tutuba, ametembelea Maonesho ya Kilimo Tanzania (Nanenane) katika Viwanja vya Nzuguni Jijini Dodoma, huku akisema ni kwa namna gani Uchumi wa Tanzania ulivyo imara.... sera ya taifa ya kifedha ...

View: https://m.youtube.com/watch?v=Kgm5bnjjT-Y
 
NANE

Hapa gavana wa benki kuu Tutua anaongea mada rahisi kama za mlipaji mkuu wa serikali / Paymaster General, mambo mazito ya kuelekeza uchumi mkubwa macro economics hata uchumi mdogo micro economics yanavyo fungamana na maamuzi na ushauri wa gavana wa benki kuu yanampiga chenga kwa mbali sana.
 
Gavana Emmanuel M. Tutuba anaongea mambo ya mlipaji mkuu wa serikali / Paymaster General,

Mlipaji mkuu wa serikali

HUYU NDIYE MLIPAJI MKUU WA SERIKALI​

View: https://m.youtube.com/watch?v=0LODn6aVxDE

TOKA MAKTABA :

26 May 2021
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango na Mlipaji Mkuu wa Serikali, Emmanuel Tutuba na Bi. Nnenna Nwabufo, Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Maendeleo ya Afrika, Kanda ya AfrikaMashariki,

View: https://m.youtube.com/watch?v=IWFji2mRg98
leo 26 Mei 2021 Wamesaini mikataba miwili ya mkopo wenye thamani ya dola za Marekani milioni 140 (takriban shilingi bilioni 323.4) kwa ajili ya kufadhili Mradi wa kufua Umeme wa Mto Malagarasi, Jijini Dar es Salaam.
 
Sijamsikia akizungumzia masuala mazito ambayo ma gavana wa nchi zingine hufafanua kupitia interviews za vyombo vya habari vikubwa.

Gavana Tutuba huongea zaidi kisiasa na kugusia mambo mepesi ambayo hata sisi maamuma wa masuala ya kifedha, uchumi na kibenki tunayangamua ingawa siyo wasomi wa faini hizo.

Watu wa VICOBA wamekuwa ndiyo washauri wakuu kwa waTanzania jinsi ya kupata mitaji, kuwekeza n.k

BOT kuna PhD kibao lakini kutokana na nidhamu ya kikazi wanampenyezea taarifa chepesi ambazo bosi wao anaweza kuongeoa kwa kwa ubabaufi kidogo, yale magumu wameamua kumnusuru kabisa kumuandikia maana atashindwa kutatetea kutokana na mapungufu ya uelewa .

TOKA MAKTABA :
7 August 2024

GAVANA TUTUBA ATEMBELEA MAONESHO YA NANE NANE
Leo Tarehe 7/ 8/ 2024, Gavana wa Benki Kuuu ya Tanzania (BOT) Emmanuel Tutuba, ametembelea Maonesho ya Kilimo Tanzania (Nanenane) katika Viwanja vya Nzuguni Jijini Dodoma, huku akisema ni kwa namna gani Uchumi wa Tanzania ulivyo imara.... sera ya taifa ya kifedha ...

View: https://m.youtube.com/watch?v=Kgm5bnjjT-Y

Rubbish, ungekuwa una uwezo wangekupa wewe. U-Govenor wa BOT siyo sawa na matako, kila mtu anayo
 
Wapi imesemwa kazi ya gavana ni kupandisha thamani ya hela?

Umeishia darasa la ngapi?
Mkuu unajua namna Elvira governor wa Urusi alivyopambana kuregulate sarafu ya Urusi.Govenor ni mtu muhimu sana kwenye sarafu ya nchi.Hapa hatuzumgumzii goverment/market intervention bali kuregulate masoko na kuishauri serikali kwenye export na import policies,black markets,expenditure nk..hizo ni role za governor pia
 
Rubbish, ungekuwa una uwezo wangekupa wewe. U-Govenor wa BOT siyo sawa na matako, kila mtu anayo

Mada hizi hazitaki hasira bali, hoja zinaonesha gavana Tutuba nafasi yake ni ngazi ya katibu tawala wa mkoa RAS, ukatibu mkuu wa wizara pia utakuwa mzigo mzito kwa mtumishi huyu wa serikali
 
Back
Top Bottom