Kwa Gavana tuliyenaye, sikushangaa nilipoona habari ya shilingi ya Tanzania kufanya vibaya zaidi Duniani

Kwa Gavana tuliyenaye, sikushangaa nilipoona habari ya shilingi ya Tanzania kufanya vibaya zaidi Duniani

Tuambie hapa. Issue gani inapangwa?

How comes vilaza ndo wanapewa nafasi nyeti? Kuna mkakati wa kuliangamiza Taifa letu kiuchumi au?
Tuombeane uzima , mpaka Mei tuone nini kitatokea hapo BOT, maana uchanguzi umekaribia , ndio wakati wa vigogo wa CCM kujichotolea fedha, na hii 👆 mfululizo wa Tabia Yao kuanzia miaka ya tisiini
 
Kwa Ufupi Tumepigwa, JPM hakutaka hata kumfikiria .


Watakuja kukuambia ana uzoefu, Uzoefu which ? When ? Where ?? Keshawah ongoza Taasisi gan kubwa ya kifedha nchini na akaipa matokeo chanya???.

Inawezekana kabisa, Magavana wote wa Bank Dunianiz ukiwapanga kw Elimu zao, huyu wetu ndio wa Mwisho.


Elimu kwenye suala husika, ndio nguzo sahihi ya mawazo mapya.
Jamani kama anao uzoefu na vicoba ndio awe hafai kuwa gavana??PhD ya michango ya msiba kwani haina soko???
 
Tuombeane uzima , mpaka Mei tuone nini kitatokea hapo BOT, maana uchanguzi umekaribia , ndio wakati wa vigogo wa CCM kujichotolea fedha, na hii 👆 mfululizo wa Tabia Yao kuanzia miaka ya tisiini
Amina.

Mungu akulinde.

Tunaelewa sana michezo yao ya kuchota mahela kipindi cha uchaguzi. Tunaomba wazalendo wa kweli mtudaidie huko.

Tunzeni ushahidi wote wa yanayofanyika huko. Lazima hawa nzi wa kijani wawajibishwe!
 
Unaruka ruka tu, from tatizo la mawazo ya wananchi, mara tuache kuimport magari, na mengine utakayo kuja nayo mbeleni. Kilicholetwa mbele yetu ni uwezo wa mhusika kutukwamua pamoja na changamoto zote zilizopo. Huongezi chochote kwenye mjadala kwa kutulistia changamoto. Jifunze kujadili. Hoja imeletwa kutaka wenye vigezo kuliko sote kati yetu ndio watuongoze. "Watanzania ni wajuaji" ingekua jibu kama kuna mtu humu angejigamba kuwa bora zaidi ya wanaowekwa.
kama mada unaona kabisa huna uelewa nayo ikwepe tu na kama unataka kujifunza engange kwa kuuliza maswali,
1) mada inahusiana na kushuka kwa THAMANI YA TSH na sio KUSHUKA KWA UCHUMI, ingekua kushuka kwa uchumi BOT wangeingilia kati ila thamani ya pesa ni jitihada za mwananchi mmoja mmoja

2) ata kiongozi ukiwekewa akawa bilgates kama wananchi wako walioelemika wanawaza ajira na wasioelemika wanawaza biashara basi amna uchawi unaweza kufanya ziada
 
Mkuu unajua namna Elvira governor wa Urusi alivyopambana kuregulate sarafu ya Urusi.Govenor ni mtu muhimu sana kwenye sarafu ya nchi.Hapa hatuzumgumzii goverment/market intervention bali kuregulate masoko na kuishauri serikali kwenye export na import policies,black markets,expenditure nk..hizo ni role za governor pia
huezi regulate thamani ya sarafu, hio ni floating value, ukienda benki kuu kenya wana rate yao tshksh na ukija bongo wana rate yao tsh ksh ukienda mipakani wana rate zao, ukienda byuro de change wana rate zao na hata ukienda black market wana rate zao
 
Hiyo post ipo juu ya uwezo wako wa uelewa.

Reja-reja = retail

Sasa hela wanazochukua bank ni kwa sababu ya retail tu?

Hiyo habari yako ya YouTube ainihusu mimi naongelea banking finance.

Unajua kwanini nikasema neno sahihi ni ‘financial intermediary’ na si kutumia commercial bank.

Au hata unaelewa tofauti ya direct na indirect financing, google hizo concept; sikiliza clip uone alivyo na maelezo ambayo terminologies zinampiga chenga.

Alipoulizwa kwanini Tanzania aizalishi hata toothpaste majibu yake ndio ukawa mwisho wa kusikiliza interview yenyewe. Hajui hata role ya BoT kwenye kuchochea uchumi.

Idea yake ya commercial bank kupunguza NPL ni kuandika a good business proposal. Yaani default risk inaangaliwa kupitia a business plan, hakuna moral hazard, adverse selection, and so forth.

Yeye ni kilaza, wewe ni kilaza maradufu
vijana wa jami forum wanadhan kua gavana unakaa pale ukiona tsh inashuka unatoa amri isishuke 🤣 🤣 🤣 vijna wetu ni useless sana
 
Ushawahi kuona cv ya igp ulinganishe na wa nchi jirani? Sifa ni kuwa kijani na uchawa no professionalism in bongolendi! Hawezi kwenda hata kwnye mikutano nje ya nchi akaongea sentensi 1
 
Ushawahi kuona cv ya igp ulinganishe na wa nchi jirani? Sifa ni kuwa kijani na uchawa no professionalism in bongolendi! Hawezi kwenda hata kwnye mikutano nje ya nchi akaongea sentensi 1
Mkuu
Ile Hapa Ya IJP, CGI
 
Mteuzi wake naye ana elimu ya hapa na pale. Hii nchi inapenda sana watu wenye elimu za kuunga unga.
😂😁😂😂😂😁😁😂😁🤣🤣🤣😂😂😁Ila Wewe Daku Leo Utasikia Kwa Jirani Tu
 
Mkuu
Ile Hapa Ya IJP, CGI
Haipo duniani zaidi ya hiki kipande
IMG_8638.jpeg
 
Kama kawaida tena, ujinga wa CCM.

Mtu hana international exposure yeyote unampa licheo likubwa la ugavana halafu unategemea matokeo chanya.

Sio kila kazi inahitaji Kada wa Chama au chawa wa fulani, kazi nyingine zinahitaji international exposure, career achievement in decision making positions nk.

Ndio yale yale anaibuka mtu na kuwaambia graduates waende VETA ilihali hajawahi kuset mfumo wowote kusaidia/kulinda ajira za hao graduate baada ya graduation.
 
Back
Top Bottom