Huyu mama simfahamu ila nafikiri ni mchawi.Huyo ni mwingine tuliyanae anayechangia sana Taifa letu kuwa nyuma kimaendeleo.
Huyu mama simfahamu ila nafikiri ni mchawi.Huyo ni mwingine tuliyanae anayechangia sana Taifa letu kuwa nyuma kimaendeleo.
Achana nae mjinga huyu.Acha ujinga Mkuu.
Kuongoza ni karama Hadi kwenye Suala linalohitaji Taaluma ya kutukuka .
Kwa hiyo Karama yake ndio itaenda kuzuia kuporomoka Kwa thaman ya Shilingi yetu?.
Tusahau maendeleo ya kweli CCM ikiendelea kuwa madarakani na zaidi tukiendelea kutumia Katiba hii tuliyonayo.CCM na maendeleo ya kweli ni vitu visivyoshabihiana, wanapenda taifa liendelee kuwa la hovyo ili wazidi kutawala bila wasiwasi huku wakiendelea kudanganya watu na majengo ya hospitali yasiyo na vifaa na watumishi na majengo ya shule yasiyokuwa na walimu wa kutosha na matundu ya Vyoo ambalo ni hitaji muhimu Kwa binadamu
Yule Luoga alikua Brain nyingine kabisa ,huenda ndio Gavana Bora kuwahi kua naye .Sahihi kabisa.
Magufuli pamoja na kumpinga kwenye ukatili wake na roho mbaya ila kwenye maeneo niliyomkubali ni kwenye ku pick the right candidates in sensitive positions.
Gavana Luoga pamoja na uchapombe wake alikuwa the best. Nakumbuka hadi alipewa tuzo ya kuongoza vizuri uchumi na kuisaidia nchi kupita vizuri kipindi cha Covid. Tena alipewa na Taasisi za Nje sio zetu za hapa bongo.
Kwa nini mkuu?🤣🤣🤣nje ya mada:zamani nilikuwa siamini kama uchawi upo ila doh! kwa sasa ninaamini asilimia zote kweli uchwawi upo
To meYule Luoga alikua Brain nyingine kabisa ,huenda ndio Gavana Bora kuwahi kua naye .
Jamaa aliimarisha Thamani ya Shilingi dhidi ya Dola .
Unaweza kuwa na hoja, lakini unaweza kuwa na hoja ya kijinga kama ujinga mwingine:Kwa miaka mingi sana, nimekuwa mfuatiliaji wa CV za Magavana wa Benki Kuu za nchi mbalimbali duniani.
Katika ufuatiliaji wangu, miaka yote kwenye mataifa mbalimbali, Magavana wa Benki Kuu wamekuwa wakiteuliwa wabobezi wa masuala ya Uchumi , Fedha au Sheria na wenye uzoefu wa kufanya kazi katika eneo la uchumi ndani na nje ya nchi zao. Pia wenye uzoefu wa kufanya kazi kwenye Taasisi mbalimbali za kifedha zenye historia ya kufanya vizuri kwenye masuala ya Fedha.
Kwenye mataifa mbaimbali, nafasi ya Gavana wa Benki Kuu inahusisha kuteuliwa watu wenye PhD katika masuala ya Uchumi, Fedha na Biashara au Sheria. Hata kama asipokuwa na PhD basi anapaswa kuwa mtu mwenye rekodi ya outstanding performance kwenye masuala ya Fedha, Uchumi na Sheria.
Kwa utafiti wangu mdogo, haya hayafanyiki kwa bahati mbaya. Gavana wa Benki Kuu anapaswa kuwa kichwa cha nchi kwenye suala nyeti la uchumi. Anapaswa kuwa mshauri wa mwisho pale nchi inapokuwa kwenye crisis yeyote ya kiuchumi.
kwenye kufanya haya anatakiwa awe mbobezi sana kwenye masuala ya uchumi. Anatakiwa kuwa na exposure kubwa sana ya kimataifa na kitaaluma katika masuala ya kiuchumi.
Nakumbuka wakati Emmanuel Tutuba anateuliwa kuwa Gavana wa Benki Kuu niliwahi toa maoni yangu kuwa ule haukuwa uteuzi sahihi.
Kwa haya matokeo ya shilingi yetu kufanya vibaya zaidi nadhani sasa niko sahihi nikisema uteuzi wa Tutuba kuwa Gavana wa Benki Kuu haukuwa sahihi. Ni bahati mbaya sana mamlaka za Uteuzi nchi hii hazihojiwi kutokana na kuwa na Katiba mbovu.
Angalieni wenyewe biography kwa kifupi za Gavana wetu wa Benki Kuu alafu linganisha na Magavana wa Mataifa mengine.
Hii ndo Bio ya Gavana wetu Tutuba
👇- Amesoma Diploma Mzumbe na Master kwenye chuo hiko tena kipindi kinachojulikana kuwa Chuo hiko hakikuwa Chuo chenye hadhi ya Chuo Kikuu hata kwa Tanzania. Zaidi kafanya kazi public sector tu tena Tanzania.
View attachment 3282699
Hii ndo Bio ya Gavana wa Benki Kuu Kenya👇
View attachment 3282700
Hii ndo Bio ya Gavana wa Benki Kuu Uganda👇
View attachment 3282701
Hii ndo Bio ya Gavana wa Benki Kuu ya Marekani. Hana PhD ya Uchumi ila angalia rekodi yake ya utendaji kwenye sekta ya Umma na sekta binafsi hasa kwenye firms zinazotambulika vizuri Marekani kwenye masuala ya Fedha na Mitaji👇
View attachment 3282704
Mwisho.
Ni hitimisho langu kuwa Tanzania tupambane sana kupata Katiba Mpya maana tutapata watu wasiostahili kwenye nafasi za juu hadi tutajikuta tunazikwa kabisa kimaendeleo na Kiuchumi.
Wewe ulifikiria silijui Hilo, Kwa Taarifa yako JPM anamchagua Luoga, Jina la Tutuba lilipelekwa pia mezani .Punguza ujuaji na uwe na uhakika wa mambo kabla hujamshambulia mtu. Prof. Luoga ndiye alikuwa Gavana wa BoT kipindi cha Rais Magufuli na wala Magufuli hakumteua Tutuba kuwa ganava wa BoT bali ni Rais Samia Hassan. View attachment 3282720
Soma mada uelewe.Unaweza kuwa na hoja, lakini unaweza kuwa na hoja ya kijinga kama ujinga mwingine:
1. Tanzania imewahi kuwa na magavana 8. kati ya hao Ma Dr (2), Prof. (2). Hivyo, yeye siyo Gavana wa kwanza asiyekuwa na PhD. Hata hivyo, tumewahi kuwa na wabobevu waliowahi kushika taasisi na nafasi kubwa na nyeti. Did them bring any significant changes?
2. Experience ni kitu muhimu saana. Lakini, katika institutional performance, mtu mmoja hawezi kuwa na kila expertise inayohitajika. Trust me, hata wewe unaweza kuwa mkuu wa Taasisi na ikafanya vizuri.m only when you have brain. Siyo kwa huo ubongo wako.
3. Kuporomoka kwa shilingi kuna mambo mengi. Mfano (1) balance of trade - tuna import sana kuliko ku export. Hapo unataka Gavoo afanyaje? (2) low productivity - uzalishaji viwandani, mashambani, mifugo, uvivu haukuwi inavyostahili. Unataka Gavoo aingie shambani kulima ili azalishe pamba ya kuleta dorali? au akavue samaki wa kutosha ili kulisha matumbo yenu na muache kuagiza kibua?
Kwa mujibu wa Rais aliyeisaidia nchi kipindi cha crisis ni Marehemu Mafuru sio Tutuba.Ilipofanya vizuri gavana alikuwa nani?
Wewe huna akili, Unapotaja majina hayo, linganisha na Wakati ,Dunia inataka nn .Vigezo vyako ulivyoweka vya mtu kuwa Gavana ndio nabisha unajitia ujuaji mwingiii kuwa hujawahi ona Gavana kama huyu aliyepo kwa waliopita wote kuwa walikuwa na vigezo ulivyoainisha ndio maana nikakupa majina halisi kabisa ya magavana wa BoT ambao hawakuwa na na vigezo vyako vya kibwege ulivyoweka
Takwimu hupingwa kwa Takwimu mjinga wewe
Unaweza ikawa Iko sahihi, lakini bado uko bias. Umeweza kupata taarifa za magavana wa nchi zingine, lakini hujaweka chochote cha Tutuba. Sio fair. Na pia umeshindwa kumlinganisha na wasomi wengine wa Kitanzania ambao wangeweza kuwa Magavana "kwa vigezo" vyako.Kwa miaka mingi sana, nimekuwa mfuatiliaji wa CV za Magavana wa Benki Kuu za nchi mbalimbali duniani.
Katika ufuatiliaji wangu, miaka yote kwenye mataifa mbalimbali, Magavana wa Benki Kuu wamekuwa wakiteuliwa wabobezi wa masuala ya Uchumi , Fedha au Sheria na wenye uzoefu wa kufanya kazi katika eneo la uchumi ndani na nje ya nchi zao. Pia wenye uzoefu wa kufanya kazi kwenye Taasisi mbalimbali za kifedha zenye historia ya kufanya vizuri kwenye masuala ya Fedha.
Kwenye mataifa mbaimbali, nafasi ya Gavana wa Benki Kuu inahusisha kuteuliwa watu wenye PhD katika masuala ya Uchumi, Fedha na Biashara au Sheria. Hata kama asipokuwa na PhD basi anapaswa kuwa mtu mwenye rekodi ya outstanding performance kwenye masuala ya Fedha, Uchumi na Sheria.
Kwa utafiti wangu mdogo, haya hayafanyiki kwa bahati mbaya. Gavana wa Benki Kuu anapaswa kuwa kichwa cha nchi kwenye suala nyeti la uchumi. Anapaswa kuwa mshauri wa mwisho pale nchi inapokuwa kwenye crisis yeyote ya kiuchumi.
kwenye kufanya haya anatakiwa awe mbobezi sana kwenye masuala ya uchumi. Anatakiwa kuwa na exposure kubwa sana ya kimataifa na kitaaluma katika masuala ya kiuchumi.
Nakumbuka wakati Emmanuel Tutuba anateuliwa kuwa Gavana wa Benki Kuu niliwahi toa maoni yangu kuwa ule haukuwa uteuzi sahihi.
Kwa haya matokeo ya shilingi yetu kufanya vibaya zaidi nadhani sasa niko sahihi nikisema uteuzi wa Tutuba kuwa Gavana wa Benki Kuu haukuwa sahihi. Ni bahati mbaya sana mamlaka za Uteuzi nchi hii hazihojiwi kutokana na kuwa na Katiba mbovu.
Angalieni wenyewe biography kwa kifupi za Gavana wetu wa Benki Kuu alafu linganisha na Magavana wa Mataifa mengine.
Hii ndo Bio ya Gavana wetu Tutuba
👇- Amesoma Diploma Mzumbe na Master kwenye chuo hiko tena kipindi kinachojulikana kuwa Chuo hiko hakikuwa Chuo chenye hadhi ya Chuo Kikuu hata kwa Tanzania. Zaidi kafanya kazi public sector tu tena Tanzania.
View attachment 3282699
Hii ndo Bio ya Gavana wa Benki Kuu Kenya👇
View attachment 3282700
Hii ndo Bio ya Gavana wa Benki Kuu Uganda👇
View attachment 3282701
Hii ndo Bio ya Gavana wa Benki Kuu ya Marekani. Hana PhD ya Uchumi ila angalia rekodi yake ya utendaji kwenye sekta ya Umma na sekta binafsi hasa kwenye firms zinazotambulika vizuri Marekani kwenye masuala ya Fedha na Mitaji👇
View attachment 3282704
Mwisho.
Ni hitimisho langu kuwa Tanzania tupambane sana kupata Katiba Mpya maana tutapata watu wasiostahili kwenye nafasi za juu hadi tutajikuta tunazikwa kabisa kimaendeleo na Kiuchumi.
Na Kwa Elimu hiyo hiyo ya hapa na pale, matokeo yake ,wetujazia watu kwenye nafasi za Uwaziri, Naibu, n.k wenye Elimu z ahapa na pale.Pamoja na kwamba elimu yetu ni mbovu lakini hakuna kitu nakiogopa kama viongozi wenye elimu ya hapa na pale.
Hawajawahi kushaurika.
Kipi cha Tutuba sijakiweka? Umesoma uzi wote au umeishia juu juu tu?Unaweza ikawa Iko sahihi, lakini bado uko bias. Umeweza kupata taarifa za magavana wa nchi zingine, lakini hujaweka chochote cha Tutuba. Sio fair. Na pia umeshindwa kumlinganisha na wasomi wengine wa Kitanzania ambao wangeweza kuwa Magavana "kwa vigezo" vyako.
Kabla alikua MchumiMimi naomba kujua from 2001 alikuwa wapi hadi akaibukia u-RAS 2020
View attachment 3282712
Jamaa alianza km Mchumi wa kawaida kwenye Halmashauri ,AKaja kuwa Afisa Mipango Wilaya ya NgorongoroMimi naomba kujua from 2001 alikuwa wapi hadi akaibukia u-RAS 2020
View attachment 3282712
Tunapokosa kazi tunaanza kuwakejeli wasomi wetu kwa kuwalinganisha na wa mataifa mengine hatujui kuwa kwa kufanya hivyo tunajitukana sisi wenyewe!. Aliyeturoga alishakufa.