Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Umetizama video?heshimu mpira
Mnakariri misemoheshimu mpira
Mchezaji WA ASEC adui alivyopata mpira akamkimbia🤣🤣Yaniiii wamepambana lakini wapiiiii mnyama yuleeee...waarabu wameishiwa kwa sasa..tunaenda kuwaondoa kwenye utawala tunataka mtu mweusi pure achukue hili kombe....
Hata mimi nimeshangaa sana.Mchezaji WA ASEC adui alivyopata mpira akamkimbia[emoji1787][emoji1787]
Hata mimi nimeshangaa snMchezaji WA ASEC adui alivyopata mpira akamkimbia[emoji1787][emoji1787]
Dalili ni kubwa sana kuhusu hili goliAngalieni video ya goli la Wydad vs ASEC, hii ilikuwa live ni FIXED MATCH.
CAF wanapaswa kufuatilia skendo hii na kuchukua hatua kali kwa wahusika
Bahasha zinatembea hadi CAF?
View attachment 2923061
Labda Al Ahly nae achokeYaniiii wamepambana lakini wapiiiii mnyama yuleeee...waarabu wameishiwa kwa sasa..tunaenda kuwaondoa kwenye utawala tunataka mtu mweusi pure achukue hili kombe....
Acha ubaguzi.Yaniiii wamepambana lakini wapiiiii mnyama yuleeee...waarabu wameishiwa kwa sasa..tunaenda kuwaondoa kwenye utawala tunataka mtu mweusi pure achukue hili kombe....
Eti jamaniMchezaji WA ASEC adui alivyopata mpira akamkimbia🤣🤣
😂😂Eti jamani
Umeangalia video mkuu au huna bando?[emoji23]Mpira sio kama kuosha matako unapotoka kunya