cotyledon
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 2,260
- 1,629
Wewe utakuwa mgeni. Zile saba hujaonaKwani hata hizo 6, kwa mara ya mwisho mlimfunga nani? Na kwa nini tusiamini Makirikiri nao walipokea bahasha!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe utakuwa mgeni. Zile saba hujaonaKwani hata hizo 6, kwa mara ya mwisho mlimfunga nani? Na kwa nini tusiamini Makirikiri nao walipokea bahasha!
Una uelewa mdogo kuhusu football analysisHuu sio uchambuzi mbona, au huelewi maana ya uchambuzi?
Angalieni video ya goli la Wydad vs ASEC, hii ilikuwa live ni FIXED MATCH.
CAF wanapaswa kufuatilia skendo hii na kuchukua hatua kali kwa wahusika
Bahasha zinatembea hadi CAF?
View attachment 2923061
Acha ubaguzi dada, na wao wakisema wanataka mtu mweupe pure achukue hili kombe utajisikiaje kwa mfano!Yaniiii wamepambana lakini wapiiiii mnyama yuleeee...waarabu wameishiwa kwa sasa..tunaenda kuwaondoa kwenye utawala tunataka mtu mweusi pure achukue hili kombe....