Kwa goli hili, Mechi ya Wydad vs ASEC ilikuwa ni Fixed Match?

Kwa goli hili, Mechi ya Wydad vs ASEC ilikuwa ni Fixed Match?

Kwani hata hizo 6, kwa mara ya mwisho mlimfunga nani? Na kwa nini tusiamini Makirikiri nao walipokea bahasha!
 
Duh! jamaa kama kaukwepa mpira kwa makisudi.
Kuna mtu nilimwambia Simba akifungwa na Asec basi shughuli itakuwa imeisha, kwasababu mechi ya Wydad vs Asec ni mtelemko wa kulipana fadhira za AFCON baina ya Morocco na Ivory coast. Ile sare ndio pona ya Simba.

Lile goli la Wydad ni goli la aibu sana aiser yaani wameshindwa hata kuandaa script nzuri ambayo angalau tuweze kuamini.

Ni bora ingekuwa mpira wa kona halafu mtu karuka free header kuliko move yao ya mtu kuukimbia mpira
 
Wafanye mazoezi Avic,wapokeleww na Uto then wapokee bahasha,watakuwa punguani
Kwani kosa liko wapi kufanyia mazoezi Avic Town, au kule Bunju Mo Arena? Hiyo ni fair play tu.
 
Kwani kosa liko wapi kufanyia mazoezi Avic Town, au kule Bunju Mo Arena? Hiyo ni fair play tu.
Kocha wa galaxy anawalaani uto, alikuja na mbinu zake mkampa za kwenu akaishia kushangaa, anahisi uto wamemuhujumu anadai uto na mikia lao moja
 
Kocha wa galaxy anawalaani uto,alikuja na mbinu zake mkampa za kwenu akaishia kushangaa,anahisi uto wamemuhujumu anadai uto na mikia lao moja
Kama ni hivyo, basi ni jambo zuri pia.
 
Mchezaji WA ASEC adui alivyopata mpira akamkimbia🤣🤣
Mchezaji wa Asec aliporudisha mpira mwingine alikuwa na uwezo wa kufikia akauacha,hata hivo waarabu hawakushagilia na wachezaji wa Asec wala hawakusikitika kujilaumu.
 
Kuna mtu nilimwambia Simba akifungwa na Asec basi shughuli itakuwa imeisha, kwasababu mechi ya Wydad vs Asec ni mtelemko wa kulipana fadhira za...
Hii ni fixing ya wazi, mwarabu anakimbia mwenyewe
 
Kwa kweli kabisa hii ni aibu. Yaani wameshindwa kutengeneza la goli lisiwe na mashaka?. Kwenye pilikapilika zile za kona ndio palikuwa pa kutengeneza tukio. Sio kifara hivi
 
Hapa Tanzania kila mtu akishiba akaingia Jf au media yeye ni MCHAMBUZI 😅
 
Galaxy alipokelewa na Yanga akalazwa pale avic town. Wakapewa hadi mganga wa uto. Lakini wapi ikabuma
Sijui ni kwanini kila shabiki wa Simba akizungumzia jambo lazima aweke neno Mganga au uchawi. Sio humu tu Jf yaani hata tunaokutana nao mitaani, makazini, safarini nk mkiongea mada yoyote lazima mtu aongelee mambo ya giza. Hata maofisini wanaoendekeza mambo ya ulozi wengi hushabikia Simba.

Hadi ninawaza huenda hivi vilabu vyetu viwili ni VITA KATI YA NURU NA GIZA.

Halafu sijui ni kwanini Simba mechi nyingi alizofungwa ni zile alizocheza jumapili na Ijumaa
 
Yaniiii wamepambana lakini wapiiiii mnyama yuleeee...waarabu wameishiwa kwa sasa..tunaenda kuwaondoa kwenye utawala tunataka mtu mweusi pure achukue hili kombe....
Hata kwenye michuno ya mataifa ya Africa 2023 walikuwa wanaburuza mkia na wachache waliobaki walitolewa mapema
 
Back
Top Bottom