cotyledon JF-Expert Member Joined Aug 25, 2018 Posts 2,260 Reaction score 1,629 Mar 4, 2024 #41 Tate Mkuu said: Kwani hata hizo 6, kwa mara ya mwisho mlimfunga nani? Na kwa nini tusiamini Makirikiri nao walipokea bahasha! Click to expand... Wewe utakuwa mgeni. Zile saba hujaona
Tate Mkuu said: Kwani hata hizo 6, kwa mara ya mwisho mlimfunga nani? Na kwa nini tusiamini Makirikiri nao walipokea bahasha! Click to expand... Wewe utakuwa mgeni. Zile saba hujaona
Mr Pixel3a JF-Expert Member Joined Sep 15, 2021 Posts 5,710 Reaction score 8,579 Mar 4, 2024 #42 Johnny Sack said: Huu sio uchambuzi mbona, au huelewi maana ya uchambuzi? Click to expand... Una uelewa mdogo kuhusu football analysis
Johnny Sack said: Huu sio uchambuzi mbona, au huelewi maana ya uchambuzi? Click to expand... Una uelewa mdogo kuhusu football analysis
DesertStorm JF-Expert Member Joined Nov 22, 2015 Posts 3,131 Reaction score 2,537 Mar 4, 2024 #43 Johnny Sack said: Angalieni video ya goli la Wydad vs ASEC, hii ilikuwa live ni FIXED MATCH. CAF wanapaswa kufuatilia skendo hii na kuchukua hatua kali kwa wahusika Bahasha zinatembea hadi CAF? View attachment 2923061 Click to expand... Umejuaje? Angefungwa wydad goli kama hilo ungekuja kuanzisha mjadala humu!
Johnny Sack said: Angalieni video ya goli la Wydad vs ASEC, hii ilikuwa live ni FIXED MATCH. CAF wanapaswa kufuatilia skendo hii na kuchukua hatua kali kwa wahusika Bahasha zinatembea hadi CAF? View attachment 2923061 Click to expand... Umejuaje? Angefungwa wydad goli kama hilo ungekuja kuanzisha mjadala humu!
DesertStorm JF-Expert Member Joined Nov 22, 2015 Posts 3,131 Reaction score 2,537 Mar 4, 2024 #44 Kalpana said: Yaniiii wamepambana lakini wapiiiii mnyama yuleeee...waarabu wameishiwa kwa sasa..tunaenda kuwaondoa kwenye utawala tunataka mtu mweusi pure achukue hili kombe.... Click to expand... Acha ubaguzi dada, na wao wakisema wanataka mtu mweupe pure achukue hili kombe utajisikiaje kwa mfano!
Kalpana said: Yaniiii wamepambana lakini wapiiiii mnyama yuleeee...waarabu wameishiwa kwa sasa..tunaenda kuwaondoa kwenye utawala tunataka mtu mweusi pure achukue hili kombe.... Click to expand... Acha ubaguzi dada, na wao wakisema wanataka mtu mweupe pure achukue hili kombe utajisikiaje kwa mfano!