Kwa Habari Kama hizi, Tafadhali sana Tanzania Daima Mtuombe Radhi Wananchi

Lizaboni Hongera mkuu naskia umeteuliwa kuwa msemaji wa basht....lkn kazi yenyewe haina malipo...unajitolea ....Hongera kwa kuwa n'a moyo wa kujitolea hivyo

Ova
 
Tanzania Daima hawanabudi kuomba radhi ila wamueleze ukweli aweke vyeti ili kuondoa hizi rapsha rapsha
 
.. kuna habari ulileta jf haikuwahi kutokea..gazeti na wewe ngoma droo
 
Waambie tbc kwanza wawaombe radhi watanzania kwa kutangaza habari za kubumba yaani wanatumia kodi zetu kwa habari za kubumba?
 
Makonda atamwondoa Magufuli Ikulu , Magufuli hajitambuwi anadhani nchi ni sawa na chato Daudi bashite is a down fall of Magufuli hakuna jeshi wala usalama wa taifa utaweza hii vita, vita hii ya kumuondoa mwizi wa vyeti vya watu si vya Mbowe ni vya taifa na wananchi tunataka kumthibitishia magufuli kwamba alipachikwa kwenye uraisi lakini hatuwezi kuruhusu akaunajisi kwa kumkingia kifua Daudi Bashite halafu aje atambe kwenye mitandao Bashite ulilia machozi ya chumvi safari hii wewe na Magufuli mutatoa machozi ya damu . Tanzania ya wajinga na wanyafuzi wa akili ilishaisha
 
Lizabon kati ya watu ambao akili yao inawaacha we unaongoza ndugu kwani akina machali hawakuwa upinzani mbona wamepokelewa na Chama cha dikteta uchwara acha upuuzi
 
babu yangu kaniambia hata le mutuz alizungusha Kwiro form 4-sijui huko majuu alitumia vyeti gani kujiendeleza- naweza kuapa kwa jina la mungu Le mutuz ni great thinker pekee humu JF kutokuwa na certificate ya form four
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…