Kwa Habari Kama hizi, Tafadhali sana Tanzania Daima Mtuombe Radhi Wananchi

ZOEZI LA KUHAKIKI VYETI LIMEISHAAA NA HAMTOLISIKIAAA KWA HYO KWA YOYOTE YULE ALIYE FOJI CHETI ASIWE. NA PRESHA....AENDELE KUISHI

OVA
 
naomba kujua kaja na vyeti vyake au bado ni vile vya sauli?
 
ZOEZI LA KUHAKIKI VYETI LIMEISHAAA NA HAMTOLISIKIAAA KWA HYO KWA YOYOTE YULE ALIYE FOJI CHETI ASIWE. NA PRESHA....AENDELE KUISHI

OVA

- Please usiharibu mada yangu kama unataka mambo ya vyeti fungua thread yako please

le Mutuz
 
Kama kwa sababu yake mambo mengi yameweza kupindishwa pindishwa kumpa nafasi kujifanyia atakavyo si ajabu hata hilo limepindishwa ili kumpa nafasi kuendeleza jeuri anayopewa.
 
Watendaji waliosababisha haya sio kwamba walikuwa na vyeti feki hapana ila mfumo wa Nyerere hakuandaa watu wa kumrithi sasa walioingia wakawa na vipajmbele tofauti.
 
- duh kumbe wewe ndiye uliyempa likizo aliyoikatiza? hahahahahhahahaa

le Mutuz
Kaka , Hakuna ambaye anakataa kuwa Makonda amejitahidi baadhi ya mambo licha ha Kwamba mambo mengi anakurupuka hii inatokana either Na ushauri anaoupata au uwezo wake wa kufikiri.
Kama ni uthubutu wa kuwasingizia watu kwa kweli anao pia.
Lakini licha ya mazuri aliyoyafanya hatuwezi kusema kuwa hajaghushi vyeti haliyakuwa ameghushi.
Makonda vyeti ameghushi Na Hili halina mjadala Na Ndio Maana hawezi kusema au kuweka wazi.
Mbona wewe ulivyotuhumiwa kuhusu apartment Yako . Uliweka ushahidi kesi ikaisha. Mbona Yule mteule wa RAIS aliweka vyeti vyake vya master alipotuhumiwa. Na Vipi kauli ya Magufuli kuwa ktk utawala wake ukituhumiwa unaondoka. Ikiwa mh RAIS alikuw wakwAnza kwenda kuhakikiwa silaha yake kwanini kiongozi wako Makonda asionyeshe mfano wa kuwa wa kwanza kwenda kuhakikiwa vyeti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…