Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,194
- 911
Kabla hawajaenda huko Epl wacheze na YANGA kwanza ili tuone uhalisia.....kwasababu hauwezi kutumia kipimo cha ngumi Kati yako na mtoto wako halafu ujisifie kuwa unajua kupigana
Acha ushamba, ligi kubwa duniani ndiyo ipi
Ostadh huko munakoenda ni mbali nendeni mukajipime na YangaTuombe game na man u, tukiwafunga tupewe nafasi EPL wakitufumga hatufai kucheza EPL maana man u ndio vibonde wa EPL