Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
Huyu ni jamaa nilikuwa nimesoma naye shule ya msingi na sekondari, huyu jamaa kweli alikuwa ana akili sana, sasa nimekutana naye juzi kati duh! maisha yake tuliotegemea ayaishi sio yale niliyomuona naye, basi tumekaa naye akanisumulia mapito yake. Kiukweli nilijikuta machozi yananitoka from no where. Huu ni mfano wa mateso ambayo kijana mwenye ndoto na akili anapitia afrika.
Kwasababu ameonekana darasani ana akili na ni handsome yamemkuta haya:-
1. Kapigwa jini mahaba ambaye alikuwa anafanya naye mapenzi usiku na kwa usiku mmoja anamwaga hata mara 5 pasipo kuona shahawa zake. Mbaya zaidi kesho awe na appointment na msichana usiku lazima atumikishwe kingono haswa mpaka wahakikishe hayo mahusiano hayatafanikiwa, akiwa na mwanamke basi huyo jini humtokea huyo mwanamke na kumpa onyo kali kisha akiamka mwanamke anaweza akavimba uso na macho gafla.
2. Wachawi haijatosha wameamua kumuharibu uso na kumuoteshea uvimbe usoni kwa kijana wa watu handsome, kijana anadai kafanya operation mara 5 ila uvimbe unarudi pale pale.
3. Kija wamemfunga hasioe na asiwe na familia mpaka sasa.
4. Kupitia kuzini majini mahaba safari yake ya elimu imekuwwa mwiba kiasi kwamba alianza kusoma kwa shida form 5 na 6 kwenye mazingira magumu mno.
5. Alijikuta ana postpone elimu ya chuo kikuu zaidi ya mara 4 kwasababu ya shida zinazojitokeza tu pasipo yeye kutarajia.
7. Kamamaliza masomo yake kwa shida, kwenye kazi ndio wamemfunga kijana wa watu hata kila akiomba chochote hakuna anayemsikiliza.
Nimemshauri alale kanisani kwenye maombi. hakika Dunia ni hadaa
Aisee sio kila mtu mwenye maisha ya chini ni maisha yake wengine wametengenezewa mzee...
Afrika tutaendeleaje kama watu wenye akili na nyota ndio huchukiwa namna hii?