Kwa hali hii hata kama huyu kijana ana akili, uonevu umepitiliza

Wewe ndiyo unampoteza kabisa kwa mawazo yako ya kipuuzi.
 
Mtu yeyote anayesema duniani hapa hakuna uchawi basi mtu huyo ni mshirikina wa kiwango Cha juu kabisakabisa...

Mpe pole mkuu mwambie apende kujipaka na kunywa mafuta ya mzeituni itamsaidia, hiyo ni kama dawa ya kupunguza makali ya ugonjwa...
 
Na ukamuunga mkono..!!
 
Nchi ina utajiri wa mitume na manabii.
kwa nini asiende huko
au kwa sbb ni mgonjwa wa ukweli kweli!
 
Mtu yeyote anayesema duniani hapa hakuna uchawi basi mtu huyo ni mshirikina wa kiwango Cha juu kabisakabisa...

Mpe pole mkuu mwambie apende kujipaka na kunywa mafuta ya mzeituni itamsaidia, hiyo ni kama dawa ya kupunguza makali ya ugonjwa...
Ni kweli aisee wachawi wanaosababisha mateso kwa watu wengine tupo nao humu humu na wengine ni watu wa karibu sana..ndio hao wenye comments ya kikatili sana dhidi ya mateso ya watu wengine.
 
Mwambie azipuuzie imani za kufikirika na asi-over think mambo., ni kawaida kwa watu wenye akili sana kuishi na sonona kwa sababu wanayaelewa mambo kwa undani sana kiasi kwamba akiongea na watu wenye akili ndogo hawawezi kumuelewa.
 
nikweli..nitamshauri jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…