peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Sinunui nyumba yenye kaburi kwa inje ...... understand....?Huyu Massawe ni Lecturer wa UDSM.
Mke kawaida mbogo
Mke anaona kaburi likiwa uwanjani mke ataleta mtu?Sinunui nyumba yenye kaburi kwa inje ...... understand....?
Baadaye anataka kupauza hapoMke anaona kaburi likiwa uwanjani mke ataleta mtu?
Nasikia kasema hawezi kupauza kisa anataka kupangisha mzungu ndoa hizi 🙌Baadaye anataka kupauza hapo
Amna anazingua huyo. Hayo maneno tu akizikwa hapo kuna shida gani kwani? Au kuona mali zimekua nyingi anataka amiliki mwenyewe?Nasikia kasema hawezi kupauza kisa anataka kupangisha mzungu ndoa hizi 🙌
Kwanini mnaweka ma link yenu bila maelezo halafu mkipigwa ban mnaanza lalamika
Anazingua,au anadhani yeye ataishi milele....upendo gani unataka mwenzio akakae mbali huko pekeyake😆Amna anazingua huyo. hayo maneno tu.akizikwa hapo kuna shida gani kwani???au kuona mali zimekua nyingi anataka amiliki mwenyewe?
Hao ndio wale wanawake tunaoa Af daily anawaza kukutoa ili amiliki mali.huyu anatamaa za mali kwa njia hakushauri mumewe wakajenge huko moshi??Anazingua,au anadhani yeye ataishi milele....upendo gani unataka mwenzio akakae mbali huko pekeyake😆
Maisha haya ni vice versa....tunaacha wazuri tunabeba mazimwi ndaniHao ndio wale wanawake tunaoa Af daily anawaza kukutoa ili amiliki mali.huyu anatamaa za mali kwa njia hakushauri mumewe wakajenge huko moshi??
Ndo nimetoka kuandika hili sasa iviWanawake wapumbavu siku hizi ndo wanaolewa.
Sio poaMaisha haya ni vice versa....tunaacha wazuri tunabeba mazimwi ndani